Mwanamke huwezi pata mwanaume anayekupa mahitaji yote muhimu; na mwanaume huyohuyo aweze kula bata, kujiselfisha na kujipostisha na wewe kila wakati

Ahsante Sana
Nakazia hapo kwa wanaume..Mungu azidi kuwapigania wanaume wa Aina hiyo..awatangulie kwenye kila hatua zao .. awabariki kila watokapo majumbani na kurudi kwenye kutafuta riziki..nasi wanawake tujipongeze pia.. hallelujah!!!
Pasaka njema kwapo pia mama ake na D
Amen kwetu
 
Mwanamke anataka ampate wa ivo , na amkute singo, na asiwe mchepukaji akimpata.
 
Wapo na mnapishana nao kila siku ila sasa hawana yale mambo ya mwilini mnayoyathamini
Ila wana mambo mazuri sana ndani ya mioyo yao
kama ni kweli haunafkiii huku Jf, na kwa mumeo upo hivi ulivo, basi mumeo kaokota dodo chini ya muembe.
 
Una majibu mazuri walahi. Km upo really hivi km usemavyo mzee baba kabahatisha mpo wachache saana kwa huu uso wa dunia.

Kwani si ni kweli mwanaume anaamua kuoa kwa vigezo vyake mwenyewe?

Anashikiliwa lazima uoe huyu😅😅😅
 
Kweli kabsa. Kuoa muoaji ana angalia vigezo vyake ikiwa anatumia akili kama atatumia matamanio ya kimwili pasipo kuangalia mipango malengo na mengineyo muhimu basi kuna ile kuoa kwa msukumo wa moyo, ndugu au ili mradi umeoa. Na mwanaume akitaka kitonga ataoa bila kuangalia misingi bora kwa huyo mwenza wake
 
Umejitahidi kuwaza lakini ulichowakilisha hapo ni ujinga wa wewe mwenyewe na maisha yako
Mawazo kama yako yanatolewaga na wale wavulana ambao walioa au kuingia kwenye mahusiano bila kujitambua wala kujua maana ya mahusiano na majukumu yake.

Kazi kwako kujitafakari jinsi ya kutafuta mafanikio na kutunza mke na familia au endelea kumchunga uliyemchagua na kuwa mbeba mapochi ya mkeo ukifikiri ndio kumtuliza.... hadi utakapokujashtuka kumekucha🤣🤣🤣🤣

Nakuongezea na ushauri wa baba wa kiroho

View attachment 2191609
Huyu kasema ukweli bana sister usiletee kutetea wanawake kijinga
 
Kwa thread hii lazima kiti chako kitakuwa kimeshaandaliwa huko Mbinguni.Ubarikiwe Sana mkuu.
 
Asante sana Christian Ray

Tuombeane mema Mungu atusaidie tuondoke tukiwa safi mkuu
 
Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta

View attachment 2191526

Kwa vijana wetu wa kiume wajue tuu kwamba kazi ndio maisha na heshma ya mwanaume

Kwa vijana wetu wa kike watambue mahusiano mazuri na ndoa yanajengwa na uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kula bata

Kwa wanawake wenye bahati ya kupata wanaume hawa watafutaji; waombeeni na watunzeni, ukimtesa au usipomuelewa huyo ataishia kupata msongo wa mawazo na kufa halafu kupata mwingine sahau!

Pasaka njema
Umesema kweli aiseh

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ahsante Sana
Nakazia hapo kwa wanaume..Mungu azidi kuwapigania wanaume wa Aina hiyo..awatangulie kwenye kila hatua zao .. awabariki kila watokapo majumbani na kurudi kwenye kutafuta riziki..nasi wanawake tujipongeze pia.. hallelujah!!!
Pasaka njema kwapo pia mama ake na D

Ameeen[emoji28]
 
Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta

View attachment 2191526

Kwa vijana wetu wa kiume wajue tuu kwamba kazi ndio maisha na heshma ya mwanaume

Kwa vijana wetu wa kike watambue mahusiano mazuri na ndoa yanajengwa na uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kula bata

Kwa wanawake wenye bahati ya kupata wanaume hawa watafutaji; waombeeni na watunzeni, ukimtesa au usipomuelewa huyo ataishia kupata msongo wa mawazo na kufa halafu kupata mwingine sahau!

Pasaka njema
"Kwa vijana wetu wa kike watambue mahusiano mazuri na ndoa yanajengwa na uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kula bata" Mwisho wa kumnukuu mama D
 
Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta

View attachment 2191526

Kwa vijana wetu wa kiume wajue tuu kwamba kazi ndio maisha na heshma ya mwanaume

Kwa vijana wetu wa kike watambue mahusiano mazuri na ndoa yanajengwa na uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kula bata

Kwa wanawake wenye bahati ya kupata wanaume hawa watafutaji; waombeeni na watunzeni, ukimtesa au usipomuelewa huyo ataishia kupata msongo wa mawazo na kufa halafu kupata mwingine sahau!

Pasaka njema

nisaidie npate clp ya hii video tafadhali.
 
Back
Top Bottom