Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

ILIKUA MIAKA YA 200***** DILI ZIMEKATA NA MJI MGUMU IKABIDI NIJIONGEZE KWA KUMCHEKI MWANANGU MODO MKIA MZEE WA KKOO.
MODO MKIA BROTHER NA MTOTO WA MJINI ANANIPA DILI SASA NAMNUKUU
****** Dogo ukiwa unapata hela kirahisi hautokomaa kiakili...sasa nakupa dili za kimjini mjini uache kulia njaa sawa dogo janja******
JAMAA AKANIPA CASH KIASI KADHAA NA AKANIONGEZEA TENA CASH KIASI KADHAA KWA AJILI YA UTARATIBU NAMBA TATU HAPO CHINI...
MOSI: NITAFUTE PASSPORT YA HALALI YA TANZANIA
PILI: NIANZE MAFUNZO KIDOGO YA PAKISTAN CULTURE NA NIJUE JUE TAMADUNI NA SALAM ZA CULTURE HIYO..
YAANI KUNA USTAADHI ATAKUJA ILI ANIPE DARASA ILI NIJUE VITU BASIC KUHUSU PAKSTAN CULTURE.
TATU: NITAFUTE PASSPORT BANDIA MBILI ZA SUDAN NA CHAD.
MPAKA HAPO AKANIAMBIA DOGO TUMESHAKULA HELA ZA WATU NA KAZI ZA WAKULUNGWA WAGA HAZILALI TUTAWAFANYIA KAZI YAO NA TUTAPATA CHETU ILA USIWE MAPEPE ILI USIJE UKAWA MBUZI WA KAFARA DOGO.
SASA KAZI YENYEWE ITAANZA MIEZI MITATU KUTOKA SIKU HIYO,,ILA MM NIENDELEE NA MAFUNZO YA LUGHA YA KIARABU NA KUJUA VITU BASIC KUHUSU PAKSTAN CULTURE.
MODO MKIA AKANIAMBIA KUA ILE KAZI NITAFANYA NA MADOGO JANJA FLAN HV WA KKOO WAJUAJI KINOMA AFU WANA KIHEREHERE NA WABNAFSI.
BASI HOME BOI NIKAANZA ZOEZI LA KUTAFUTA PASSPORT HALALI NA ZILE PASSPORT MBILI ZA MAGUMASHI.
VILEVILE NIKAANZA SOMO LA KUJUA BAADHI YA VITU BASIC KUHUSU PAKSTAN CULTURE.
KUMBE MODO MKIA ALIKUA NA PLAN B MIMI SIKUJUA ILA ALIPANGA ATUJUZE MIMI NA WALE MADOGO JANJA KABLA YA ILE MIEZI MITATU KUTIMIA..TATIZO LA MADOGO JANJA WALE WA KKOO WAJUAJI KICHIZI AFU DILI WAMEPEWA TU KAMA MIMI ILA WAJUAJI NA WANATAKA KUWEKA MAZOEA NA WAKURUNGWA WALIOLETA DILI MEZANI....
SASA BAADA YA MIEZI MIWILI KUTIMIA NA MPAKA KUFIKIA HAPO NIMESHAPEWA KIASI KADHAA CHA PESA SI HABA NA MODO MKIA ILI NIKAMILISHE ZILE ISSUE NA MATUMIZI YANGU BINAFSI.
MODO MKIA AKANIITA AKANIAMBIA MDOGO WANGU SIKIA
******Wewe ni mdogo wangu wa kitaa nimekupokea kkoo kitambo hicho siwezi kukumwaga wala kukuuza,,ila hawa madogo janja wajuaji sana wacha waingie mkenge....maana madogo mapepe sana kama wale uliopiga nao dili kule lilongwe
Akaniambia nipe hizo passport mbili za magumashi na ile issue ya kusoma vitu basic kuhusu pakstan culture ilikua geresha tu ili WAKURUNGWA wajue tupo serious na kazi watoe hela ya maandalizi ya safari......hata yule ustaadhi aliyekua anakufundisha ni mwanangu nilimpanga ila wewe hukujua hilo......na hizi passport mbili za magumashi nitazitumia mimi......
WAKURUNGWA HAWAKUJUI ILA MM NDIO NAJULIKANA KWAO NA WEWE NA WALE MADOGO NI KAMA VITENDEA KAZI TU,,NDIO MAANA HUKUWAHI KUWAONA MABOSI ZANGU (WAKURUNGWA) ILA MADOGO ZAKO HAO MAPEPE SANA WAMEJIPENYEZA MPAKA KWA WAKURUNGWA ILI WACHUKUE NAFASI YANGU KAMA MTU WA KATI (DALALI WA KAZI CHAFU),,,,,KATIKA HIZI MISHEMISHE....NGOJA NIWAINGIZE MKENGE WATOTO WASHAMBA TU WANATAKA KUNIPINDUA.
Akaendelea kusema SASA NI HV MDOGO WANGU......ULITAKIWA UENDE PAKSTAN KWA KUPITIA SUDAN AU CHAD NA KUTOKEA PALE UNGEPANDA NDEGE MPAKA PAKSTAN KAMA MSHIRIKA WA SEMINA ZA KIDINI KWA KUTOKEA PORT SUDAN AU NDJAMENA.
ISSUE UKIWA KULE NDIO UNGEPEWA UTARATIBU KAMILI WA KAZI HUSIKA YA KUFANYA UKIWA KULE....
ILA KIUKWELI MDOGO WANGU HII KAZI UKIWA KULE KUTOBOA NI ASILIMIA 45% YA UHAI WAKO.......KULE KIFO NI KITU CHA KAWAIDA SANA KULIKO UNAVYOFIKIRIA.....SASA HAWA MADOGO JANJA NI WAJUAJI NA HAWANA SIRI BASI KAMA WAKURUNGWA WAKIMCHAGUA MMOJAWAPO ILI AENDE,,,,,,AKIRUDI HAI BASI ATAMBIKE,,,,,ILA WALINIAMBIA NIWAPELEKEE WATU WAWILI....NA NYINYI MPO WATANO ILA WATACHAGULIWA WAWILI WEWE UKIWEMO SABABU UPO CLEAN KWENYE PASSPORT.
SASA MDOGO WANGU MIMI PESA YA WAKURUNGWA NIMESHAKULA ADVANCE NA NINA MPANGO WA KUPOTEA MBELE KWA MBELE NIACHANE NA HUU UDALALI WA KAZI CHAFU.......
NILIKUPA KIASI CHA PESA NA KINGINE UKANITENGENEZEA PASSPORT ZA MAGUMASHI,,,,,,NA NITAKUPA KIASI KINGINE LEO.
NAFASI YAKO ATAKWENDA YULE MWANANGU ALIEKUA ANAZUGA KUKUFINDISHA PAKSTAN BASIC CULTURE ILI WAKURUNGWA WAONE NIPO SERIOUS NA KAZI YA KUPELEKA WATU WAWILI PAKISTAN........YEYE NDIO KANIOMBA AENDE KWA MBADALA WAKO USISAFIRI KABISA SABABU NI MZITO WA KUELEWA MAMBO....AKIDAI KUA WEWE UNAONEKANA NEW COMER SANA KATIKA HARAKATI,,,UTATUANGUSHA YEYE NA MIMI.
NA PILI : HIYO HELA ANAHIITAJI KULIKO WEWE BWANA MDOGO...
NA TATU: YEYE ANA PLAN B KAMA MIMI NILIVYO NA PLAN B.......YA KUTOKOMEA MBELE KWA MBELE.
SASA WEWE NITAKUPA HELA AFU UTAPOTEA KIDOGO..........MAMBO MENGINE NIACHIE MIMI.
HIZI KAZI HUZIWEZI DOGO UTAKUFA MAPEMA NA KUNA RISK KUBWA YA KUJENGA MAADUI AU KUUAWA ILI SIRI ZISIVUJE.......
HAYO MAMBO NIACHIE MIMI KAKA YAKO MWENYE ROHO YA PAKA.
AKAENDELEA MODO MKIA KUSEMA....PESA NINAYOKUPA MDOGO WANGU KALIPIE CHUO USOME ILE KOZI ULIYONIAMBIA YA*********SABABU BIASHARA UTAFELI UNAHITAJI MTAJI MKUBWA SIO HIZI HELA ZA MSIMU...
NILIKUSHIRIKISHA HUU MPANGO KWA ASILIMIA 20% ILI UONE PESA ZILIVYO NGUMU NA SIO KAKA ZAKO UNAVYOTUONA TUNATANUA MJINI NA WEWE UKALETA TAMAA.........PESA NGUMU NA INATAFUTWA KIROHO NGUMU.
BAS BRAZA MODO MKIA AKANIPATIA HELA SI HABA NA HUO NDIO ULIKUA MWISHO WA MIMI KUONANA NA MODO MKIA NA YULE USTAADHI MTOTO WA MJINI ALIYEWAZUGA WAKURUNGWA ANANIFUNDISHA SOME BASIC PRINCIPAL ZA KWENDA KUSAVAIVU PAKISTAN😂😂.
NIKACHUKUA ULE MPUNGA NIKAINGIA ZANGU MKOANI NIKALIPIA ADA CHUO NIKAANZA KUPIGA KITABU KWA MSAADA MKUBWA WA TAGI LA BROTHER YANGU WA KITAA MODO MKIA...
MUNGU AKUZIDISHIE NA UTOKE JELA THAILAND UKIWA MZIMA WA AFYA IT'S BEEN LONGTIME BRO SINCE WE MEET.
Mchizi sikusoma nae tulikutana tuu kitaani.........Udogoni sikucheza nae ila ndio mchizi wangu wa ukubwani
WALE MADOGO JANJA SIJUI ILIKUAJE MAANA NI MMOJA TU NDIO ALICHAGULIWA KWENDA UMANGANI NITAELEZEA BAADAE SIKU NYINGINE...CODE MUHIMU
ILA YULE USTAADH MPAKA LEO HAKURUDI BONGO NA SIJUI KAMA PLAN ZAKE ZILIENDA ILIVYOTAKIWA AU ALIKUFA AU ALIKIMBIA NA MAZAGAZAGA YA WATU HUKO UMANGANI( PAKISTAN).
NILIPOTEZA MAWASILIANO NA MODO MKIA BAADA YA KWENDA MKOANI KUJICHIMBIA NA KIBUNDA ALICHONIPA.
NA KUZINGATIA ITIFAKI NILIBADILI NAMBA ZA MAWASILIANO KAMA ALIVYONIAMBIA BROTHER MODO MKIA ILI NITULIE NIPIGE KITABU MAANA KIBUNDA KILIKUA KIZITO.....NAJILIPIA ADA NA KUPANGA NYUMBA MIAKA MITATU BILA MATATIZO....
MDA UNAKIMBIA NA BINADAMU SIO MILIMA TUNAKUTANA...KUMBE WAKATI SIPO TOWN.....IMEPITA KAMA MIEZI SABA HV NAKUTANA NA MWANANGU MKOANI ANANIAMBIA KUA...YULE DOGO MUCH KNOW KIHEREHERE ALIYETAKA KUMPINDUA MODO MKIA KWENYE NAFASI YAKE YA UDALALI WA KAZI CHAFU ALIKWAMA HUKO UMANGANI SIJUI NN KILITOKEA ILA KAMA MARA MBILI HV ALIWAPIGIA SIMU WASHIKAJI AKINITAFUTA NA SAFARI HII AKINIITA BROTHER KWA HESHIMA ZOTE 🤣🤣 MPAKA WANA WANASHANGAA
SASA NAKUTANA NA MWANA NDIO ANANIPA STORY YA DOGO NA JINSI ALIVYOTELEKEZWA UMANGANI NA KUAMBULIA KIFUNGO CHA MIAKA MINNE NA FAINI JUU.......
AKASEMA ATAMPA NAMBA YANGU YA WHATSUP DOGO ANICHEKI.
KUHUSU MODO MKIA NA USTAADHI NI KWAMBA WALIPOTEA KKOO NI KAMA WALISAFIRI PAMOJA NA DOGO ILA NDIO HIVYO DOGO AKAENDA KUKAMATWA KARACHI NA KUFUNGWA HUKO.
KWELI DOGO ALINICHEKI WHATSUP TUKAONGEA MENGI NA AKAOMBA TUMCHANGIE PESA KIDOGO AKIRUDI TZ ASIAIBIKE.....NA KUHAIDI KUA AMEACHA UJUAJI...
BAADAE ALIMALIZA KIFUNGO AKARUDI NA MAISHA YANAENDELEA MENGINE SIO MAHALI PAKE HAPA JF KUYAZUNGUMZA CODE NI MUHIMU...ILI STORY ZINOGE
NB: MWANANGU MODO MKIA MPAKA NAMALIZA KUSOMA CHUO HATUNA MAWASILIANO ILA BAADA YA MIAKA SITA NDIO TUNAWASILIANA AKIWA JELA THAILAND NA MAISHA YANAENDELEA...
NB: Jamaa aliniokoa na tamaa ya kusafiri na huenda ningeishia jela kama dogo.....akanipa kibunda na akanishauri niende chuo kusoma kozi flan hv nilikua naizimia.....
Jamaa alikua kama big braza kwa madogo kama sie tuliokua tunatafuta maisha na hatujui pa kutokea.
Kwa wengine kkoo ni sehemu ya kwenda kufanya biashara au shoping ila kwetu watoto wa mjini hapo kkoo ni sehemu iliyotufungulia fursa tukapambanie makombe sehemu za mbali....WATOTO WA MJINI WANAELEWA
Japokua washikaji wazawa wa kkoo mbwembwe nyiingi wanadharau fursa zilizopo kisa wanajiita wazawa wanasubiri nyumba za urithi.
BIG UP KWA WATOTO WOTE WA MJINI HASA MABRAZA MLIOTUFUNGULIA NJIA WADOGO ZENU.....HAMKUTUPA KIKUBWA ILA MLITUPA KIDOGO KWA UPENDO HATUTAWASAHAU KABISA.
BIG UP KWA MABROTHER WOTE....!!!
MODO MKIA ( UTAKUA HURU SOON)
LOKETO WA KEKO GEREZANI
SLAY SHAGGY MSHUA WETU
MEDDY NYANGEMA
KOMANDO KIPENSI
MWARABU KOKO
MPEMBA
SHEGGY DANCY
ORIJINO YG
BROTHER PEPE
SOME MEMBERS OF KINGOKO CLAN
MEMBERS OF AZANIA SEC SCHOOL 90,S
SOME MEMBERS OF TAMBAZA SEC 90,S
SOME MEMBERS WA ZERO BRAIN POSTA MPYA ENZI HIZO
NA WENGINE WENGI SIWEZI KUWAMALIZA WOTE HAPA ILA MADOGO TUNAWAAPRICIATE WOTE.
Mabrother wa zamani walikua hawana roho za kukunja na wakikuona una jitihada wanakupa ramani,,,,japokua watoto wa mama na wakuda walikuepo pia...ila maisha yalisonga.
HUU MCHANGO KATIKA HUU UZI WA NIFFER NI KUWAKUMBUKA WATOTO WA MJINI WALIOKUA WASHIKAJI KWELI NA MABROTHER WA UKWELI......HAWAKUA NA PESA NYINGI ILA WALIKUA NA UTAJIRI WA ROHO NZURI...
STORY NI NYINGI ILA MDA MCHACHE......!!!!!!!!!
TUPO PAMOJA WADAU SIKUKUU NJEMA.
 
MEDDY NYANGEMA
KOMANDO KIPENSI
MWARABU KOKO
MPEMBA
SHEGGY DANCY
ORIJINO YG
BROTHER PEPE
SOME MEMBERS OF KINGOKO CLAN
MEMBERS OF AZANIA SEC SCHOOL 90,S
SOME MEMBERS OF TAMBAZA SEC 90,S
SOME MEMBERS WA ZERO BRAIN POSTA
Duh! Unawajua hawa watu? Kweli wewe mwamba na umekulia Dar halisi! Jamaa wanyamwezi na hawana roho ya kukunja na hawaogopi kitu!
 
Aiseeee! Modo Mkia akirudi mpe heshima sana, sana!
Mungu amfanyie wepesi huko jela.

Ila watoto wa mjini mna misala? Nikikumbuka niliyokuwa nayaona Magomeni nakosa cha kusema!
Na ujuaji mnao mwingi sana ndio tatizo, kisha starehe na wanawake!
 
Nikikumbuka niliyokuwa nayaona Magomeni nakosa cha kusema!
Kama kweli unayajua ya Magomeni ,basi utakumbuka siku FBI walipovamia nyumba maarufu hapo magomeni mara baada ya kutokea mlipuko kwenye ubalozi wao! Kama movie vile!

Nb: Enzi hizo mtoto wa Dar (Halisi) anatamani kwenda mbele wakati yule wa kijijini anatamani kuja Dar!
 
Mkuu wakati huo nilikuwa mtoto mdogo sana wa miaka 6/7 nikiwa kwetu mkoani huko!
 
SIKU MOJA NIPO CHIMBO LA BE........ KINYA.......A ENZI HIZO LIPO KWENYE CHATI ALIINGIA MGANGA MIKUFU NA MDAU MMOJA HV...
LAKINI POZI ZAO MMMH ZILINITIA SHAKA...
HUYO MDAU YUPO MJENGONI KITAMBO......
KUMBE ALIKUA ANAWALA 🤣🤣🤣🤣🤣
Be... Kinya kwa kumuangalia tu mara moja unajua kabisa hii chakula ya watu......
 
Kama kweli unayajua ya Magomeni ,basi utakumbuka siku FBI walipovamia nyumba maarufu hapo magomeni mara baada ya kutokea mlipuko kwenye ubalozi wao! Kama movie vile!

Nb: Enzi hizo mtoto wa Dar (Halisi) anatamani kwenda mbele wakati yule wa kijijini anatamani kuja Dar!
1996.....Daaah namkumbuka braza Ephraumu Kibonde......ripota wa enzi hizo
 
ILIKUA MIAKA YA 200***** DILI ZIMEKATA NA MJI MGUMU IKABIDI NIJIONGEZE KWA KUMCHEKI MWANANGU MODO MKIA MZEE WA KKOO.
MODO MKIA BROTHER NA MTOTO WA MJINI ANANIPA DILI SASA NAMNUKUU
****** Dogo ukiwa unapata hela kirahisi hautokomaa kiakili...sasa nakupa dili za kimjini mjini uache kulia njaa sawa dogo janja******
JAMAA AKANIPA CASH KIASI KADHAA NA AKANIONGEZEA TENA CASH KIASI KADHAA KWA AJILI YA UTARATIBU NAMBA TATU HAPO CHINI...
MOSI: NITAFUTE PASSPORT YA HALALI YA TANZANIA
PILI: NIANZE MAFUNZO KIDOGO YA PAKISTAN CULTURE NA NIJUE JUE TAMADUNI NA SALAM ZA CULTURE HIYO..
YAANI KUNA USTAADHI ATAKUJA ILI ANIPE DARASA ILI NIJUE VITU BASIC KUHUSU PAKSTAN CULTURE.
TATU: NITAFUTE PASSPORT BANDIA MBILI ZA SUDAN NA CHAD.
MPAKA HAPO AKANIAMBIA DOGO TUMESHAKULA HELA ZA WATU NA KAZI ZA WAKULUNGWA WAGA HAZILALI TUTAWAFANYIA KAZI YAO NA TUTAPATA CHETU ILA USIWE MAPEPE ILI USIJE UKAWA MBUZI WA KAFARA DOGO.
SASA KAZI YENYEWE ITAANZA MIEZI MITATU KUTOKA SIKU HIYO,,ILA MM NIENDELEE NA MAFUNZO YA LUGHA YA KIARABU NA KUJUA VITU BASIC KUHUSU PAKSTAN CULTURE.
MODO MKIA AKANIAMBIA KUA ILE KAZI NITAFANYA NA MADOGO JANJA FLAN HV WA KKOO WAJUAJI KINOMA AFU WANA KIHEREHERE NA WABNAFSI.
BASI HOME BOI NIKAANZA ZOEZI LA KUTAFUTA PASSPORT HALALI NA ZILE PASSPORT MBILI ZA MAGUMASHI.
VILEVILE NIKAANZA SOMO LA KUJUA BAADHI YA VITU BASIC KUHUSU PAKSTAN CULTURE.
KUMBE MODO MKIA ALIKUA NA PLAN B MIMI SIKUJUA ILA ALIPANGA ATUJUZE MIMI NA WALE MADOGO JANJA KABLA YA ILE MIEZI MITATU KUTIMIA..TATIZO LA MADOGO JANJA WALE WA KKOO WAJUAJI KICHIZI AFU DILI WAMEPEWA TU KAMA MIMI ILA WAJUAJI NA WANATAKA KUWEKA MAZOEA NA WAKURUNGWA WALIOLETA DILI MEZANI....
SASA BAADA YA MIEZI MIWILI KUTIMIA NA MPAKA KUFIKIA HAPO NIMESHAPEWA KIASI KADHAA CHA PESA SI HABA NA MODO MKIA ILI NIKAMILISHE ZILE ISSUE NA MATUMIZI YANGU BINAFSI.
MODO MKIA AKANIITA AKANIAMBIA MDOGO WANGU SIKIA
******Wewe ni mdogo wangu wa kitaa nimekupokea kkoo kitambo hicho siwezi kukumwaga wala kukuuza,,ila hawa madogo janja wajuaji sana wacha waingie mkenge....maana madogo mapepe sana kama wale uliopiga nao dili kule lilongwe
Akaniambia nipe hizo passport mbili za magumashi na ile issue ya kusoma vitu basic kuhusu pakstan culture ilikua geresha tu ili WAKURUNGWA wajue tupo serious na kazi watoe hela ya maandalizi ya safari......hata yule ustaadhi aliyekua anakufundisha ni mwanangu nilimpanga ila wewe hukujua hilo......na hizi passport mbili za magumashi nitazitumia mimi......
WAKURUNGWA HAWAKUJUI ILA MM NDIO NAJULIKANA KWAO NA WEWE NA WALE MADOGO NI KAMA VITENDEA KAZI TU,,NDIO MAANA HUKUWAHI KUWAONA MABOSI ZANGU (WAKURUNGWA) ILA MADOGO ZAKO HAO MAPEPE SANA WAMEJIPENYEZA MPAKA KWA WAKURUNGWA ILI WACHUKUE NAFASI YANGU KAMA MTU WA KATI (DALALI WA KAZI CHAFU),,,,,KATIKA HIZI MISHEMISHE....NGOJA NIWAINGIZE MKENGE WATOTO WASHAMBA TU WANATAKA KUNIPINDUA.
Akaendelea kusema SASA NI HV MDOGO WANGU......ULITAKIWA UENDE PAKSTAN KWA KUPITIA SUDAN AU CHAD NA KUTOKEA PALE UNGEPANDA NDEGE MPAKA PAKSTAN KAMA MSHIRIKA WA SEMINA ZA KIDINI KWA KUTOKEA PORT SUDAN AU NDJAMENA.
ISSUE UKIWA KULE NDIO UNGEPEWA UTARATIBU KAMILI WA KAZI HUSIKA YA KUFANYA UKIWA KULE....
ILA KIUKWELI MDOGO WANGU HII KAZI UKIWA KULE KUTOBOA NI ASILIMIA 45% YA UHAI WAKO.......KULE KIFO NI KITU CHA KAWAIDA SANA KULIKO UNAVYOFIKIRIA.....SASA HAWA MADOGO JANJA NI WAJUAJI NA HAWANA SIRI BASI KAMA WAKURUNGWA WAKIMCHAGUA MMOJAWAPO ILI AENDE,,,,,,AKIRUDI HAI BASI ATAMBIKE,,,,,ILA WALINIAMBIA NIWAPELEKEE WATU WAWILI....NA NYINYI MPO WATANO ILA WATACHAGULIWA WAWILI WEWE UKIWEMO SABABU UPO CLEAN KWENYE PASSPORT.
SASA MDOGO WANGU MIMI PESA YA WAKURUNGWA NIMESHAKULA ADVANCE NA NINA MPANGO WA KUPOTEA MBELE KWA MBELE NIACHANE NA HUU UDALALI WA KAZI CHAFU.......
NILIKUPA KIASI CHA PESA NA KINGINE UKANITENGENEZEA PASSPORT ZA MAGUMASHI,,,,,,NA NITAKUPA KIASI KINGINE LEO.
NAFASI YAKO ATAKWENDA YULE MWANANGU ALIEKUA ANAZUGA KUKUFINDISHA PAKSTAN BASIC CULTURE ILI WAKURUNGWA WAONE NIPO SERIOUS NA KAZI YA KUPELEKA WATU WAWILI PAKISTAN........YEYE NDIO KANIOMBA AENDE KWA MBADALA WAKO USISAFIRI KABISA SABABU NI MZITO WA KUELEWA MAMBO....AKIDAI KUA WEWE UNAONEKANA NEW COMER SANA KATIKA HARAKATI,,,UTATUANGUSHA YEYE NA MIMI.
NA PILI : HIYO HELA ANAHIITAJI KULIKO WEWE BWANA MDOGO...
NA TATU: YEYE ANA PLAN B KAMA MIMI NILIVYO NA PLAN B.......YA KUTOKOMEA MBELE KWA MBELE.
SASA WEWE NITAKUPA HELA AFU UTAPOTEA KIDOGO..........MAMBO MENGINE NIACHIE MIMI.
HIZI KAZI HUZIWEZI DOGO UTAKUFA MAPEMA NA KUNA RISK KUBWA YA KUJENGA MAADUI AU KUUAWA ILI SIRI ZISIVUJE.......
HAYO MAMBO NIACHIE MIMI KAKA YAKO MWENYE ROHO YA PAKA.
AKAENDELEA MODO MKIA KUSEMA....PESA NINAYOKUPA MDOGO WANGU KALIPIE CHUO USOME ILE KOZI ULIYONIAMBIA YA*********SABABU BIASHARA UTAFELI UNAHITAJI MTAJI MKUBWA SIO HIZI HELA ZA MSIMU...
NILIKUSHIRIKISHA HUU MPANGO KWA ASILIMIA 20% ILI UONE PESA ZILIVYO NGUMU NA SIO KAKA ZAKO UNAVYOTUONA TUNATANUA MJINI NA WEWE UKALETA TAMAA.........PESA NGUMU NA INATAFUTWA KIROHO NGUMU.
BAS BRAZA MODO MKIA AKANIPATIA HELA SI HABA NA HUO NDIO ULIKUA MWISHO WA MIMI KUONANA NA MODO MKIA NA YULE USTAADHI MTOTO WA MJINI ALIYEWAZUGA WAKURUNGWA ANANIFUNDISHA SOME BASIC PRINCIPAL ZA KWENDA KUSAVAIVU PAKISTAN[emoji23][emoji23].
NIKACHUKUA ULE MPUNGA NIKAINGIA ZANGU MKOANI NIKALIPIA ADA CHUO NIKAANZA KUPIGA KITABU KWA MSAADA MKUBWA WA TAGI LA BROTHER YANGU WA KITAA MODO MKIA...
MUNGU AKUZIDISHIE NA UTOKE JELA THAILAND UKIWA MZIMA WA AFYA IT'S BEEN LONGTIME BRO SINCE WE MEET.
Mchizi sikusoma nae tulikutana tuu kitaani.........Udogoni sikucheza nae ila ndio mchizi wangu wa ukubwani
WALE MADOGO JANJA SIJUI ILIKUAJE MAANA NI MMOJA TU NDIO ALICHAGULIWA KWENDA UMANGANI NITAELEZEA BAADAE SIKU NYINGINE...CODE MUHIMU
ILA YULE USTAADH MPAKA LEO HAKURUDI BONGO NA SIJUI KAMA PLAN ZAKE ZILIENDA ILIVYOTAKIWA AU ALIKUFA AU ALIKIMBIA NA MAZAGAZAGA YA WATU HUKO UMANGANI( PAKISTAN).
NILIPOTEZA MAWASILIANO NA MODO MKIA BAADA YA KWENDA MKOANI KUJICHIMBIA NA KIBUNDA ALICHONIPA.
NA KUZINGATIA ITIFAKI NILIBADILI NAMBA ZA MAWASILIANO KAMA ALIVYONIAMBIA BROTHER MODO MKIA ILI NITULIE NIPIGE KITABU MAANA KIBUNDA KILIKUA KIZITO.....NAJILIPIA ADA NA KUPANGA NYUMBA MIAKA MITATU BILA MATATIZO....
MDA UNAKIMBIA NA BINADAMU SIO MILIMA TUNAKUTANA...KUMBE WAKATI SIPO TOWN.....IMEPITA KAMA MIEZI SABA HV NAKUTANA NA MWANANGU MKOANI ANANIAMBIA KUA...YULE DOGO MUCH KNOW KIHEREHERE ALIYETAKA KUMPINDUA MODO MKIA KWENYE NAFASI YAKE YA UDALALI WA KAZI CHAFU ALIKWAMA HUKO UMANGANI SIJUI NN KILITOKEA ILA KAMA MARA MBILI HV ALIWAPIGIA SIMU WASHIKAJI AKINITAFUTA NA SAFARI HII AKINIITA BROTHER KWA HESHIMA ZOTE [emoji1787][emoji1787] MPAKA WANA WANASHANGAA
SASA NAKUTANA NA MWANA NDIO ANANIPA STORY YA DOGO NA JINSI ALIVYOTELEKEZWA UMANGANI NA KUAMBULIA KIFUNGO CHA MIAKA MINNE NA FAINI JUU.......
AKASEMA ATAMPA NAMBA YANGU YA WHATSUP DOGO ANICHEKI.
KUHUSU MODO MKIA NA USTAADHI NI KWAMBA WALIPOTEA KKOO NI KAMA WALISAFIRI PAMOJA NA DOGO ILA NDIO HIVYO DOGO AKAENDA KUKAMATWA KARACHI NA KUFUNGWA HUKO.
KWELI DOGO ALINICHEKI WHATSUP TUKAONGEA MENGI NA AKAOMBA TUMCHANGIE PESA KIDOGO AKIRUDI TZ ASIAIBIKE.....NA KUHAIDI KUA AMEACHA UJUAJI...
BAADAE ALIMALIZA KIFUNGO AKARUDI NA MAISHA YANAENDELEA MENGINE SIO MAHALI PAKE HAPA JF KUYAZUNGUMZA CODE NI MUHIMU...ILI STORY ZINOGE
NB: MWANANGU MODO MKIA MPAKA NAMALIZA KUSOMA CHUO HATUNA MAWASILIANO ILA BAADA YA MIAKA SITA NDIO TUNAWASILIANA AKIWA JELA THAILAND NA MAISHA YANAENDELEA...
NB: Jamaa aliniokoa na tamaa ya kusafiri na huenda ningeishia jela kama dogo.....akanipa kibunda na akanishauri niende chuo kusoma kozi flan hv nilikua naizimia.....
Jamaa alikua kama big braza kwa madogo kama sie tuliokua tunatafuta maisha na hatujui pa kutokea.
Kwa wengine kkoo ni sehemu ya kwenda kufanya biashara au shoping ila kwetu watoto wa mjini hapo kkoo ni sehemu iliyotufungulia fursa tukapambanie makombe sehemu za mbali....WATOTO WA MJINI WANAELEWA
Japokua washikaji wazawa wa kkoo mbwembwe nyiingi wanadharau fursa zilizopo kisa wanajiita wazawa wanasubiri nyumba za urithi.
BIG UP KWA WATOTO WOTE WA MJINI HASA MABRAZA MLIOTUFUNGULIA NJIA WADOGO ZENU.....HAMKUTUPA KIKUBWA ILA MLITUPA KIDOGO KWA UPENDO HATUTAWASAHAU KABISA.
BIG UP KWA MABROTHER WOTE....!!!
MODO MKIA ( UTAKUA HURU SOON)
LOKETO WA KEKO GEREZANI
SLAY SHAGGY MSHUA WETU
MEDDY NYANGEMA
KOMANDO KIPENSI
MWARABU KOKO
MPEMBA
SHEGGY DANCY
ORIJINO YG
BROTHER PEPE
SOME MEMBERS OF KINGOKO CLAN
MEMBERS OF AZANIA SEC SCHOOL 90,S
SOME MEMBERS OF TAMBAZA SEC 90,S
SOME MEMBERS WA ZERO BRAIN POSTA MPYA ENZI HIZO
NA WENGINE WENGI SIWEZI KUWAMALIZA WOTE HAPA ILA MADOGO TUNAWAAPRICIATE WOTE.
Mabrother wa zamani walikua hawana roho za kukunja na wakikuona una jitihada wanakupa ramani,,,,japokua watoto wa mama na wakuda walikuepo pia...ila maisha yalisonga.
HUU MCHANGO KATIKA HUU UZI WA NIFFER NI KUWAKUMBUKA WATOTO WA MJINI WALIOKUA WASHIKAJI KWELI NA MABROTHER WA UKWELI......HAWAKUA NA PESA NYINGI ILA WALIKUA NA UTAJIRI WA ROHO NZURI...
STORY NI NYINGI ILA MDA MCHACHE......!!!!!!!!!
TUPO PAMOJA WADAU SIKUKUU NJEMA.
Mkuu nina jambo na najua unaweza kuwa msaada sana
 
Sio mbaya....yote maisha tu
View attachment 2851623

Mafanikio ni mafanikio, haijalishi njia zilizotumika kuyafikia… mwisho yataitwa mafanikio bila kujali kama ni kwa njia halali au kupitia njia haramu.
Na daima mafanikio hutukuzwa, na waliofanikiwa hupewa heshima!

Muigizaji mkongwe, mfanyabiashara na mshereheshaji maarufu Mahsein Awadhi ‘Dr. Cheni ’ yeye mafanikio yake yamepitia kwa mwanamke, ndio vijana huita 'mishangazi '!

Si huwa wanasema mwanaume aliyefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke? Ndivyo ilivyokuwa kwa Dr. Cheni… mwanamke aliyekuwa katika mafaniko yake sio mwanamke wa mchezo mchezo, ni mwanamke wa shoka kwelikweli!
Ukisikia mabalaa yake utabaki mdomo wazi, sio mwanamke, ni chuma!

NI SALMA MTAMBO!

View attachment 2851628
Bibie Salma Mtambo ni tapeli wa kupindukia. Akitapeli vijana kwa wazee, wanaume kwa wanawake.
Utapeli wa magari na kughushi nyaraka kwake ni jambo dogo na la kawaida kama kufumba na kufumbua macho!

Licha ya yote hayo, hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
Bibie alikufa na kuoza kwa Dr. Cheni! Nini hakumpa Dr. Cheni? Mapenzi alimpa na mtaji wa biashara ya magari ambayo imemtajirisha sana Dr. Cheni alimpa yeye!
Kifedha na kwa kumpa baadhi ya magari yake mengi yaliyopatikana katika utapeli wake aanzie biashara hiyo.

Licha ya tofauti kubwa iliyokuwepo baina yao kiumri, haikuweza kuzuia mapenzi hayo mazito baina yao.
Kila mmoja akinufaika kwa namna yake, kimapenzi na kifedha!
Mapenzi yao yalikuwa mazito na yaliyojaa kufuru ya hela kutokana na utajiri wa kupindukia wa Salma!

ZA MWIZI AROBAINI…
Hakuna marefu yasiyo na ncha! Penzi la Dr. Cheni na ‘rich auntie’ Salma liliingia mdudu mara baada ya mfululizo wa kesi zilizomuandama Salma kutokana na ‘mission’ zake zilizomuweka mjini na kumpa heshima kubwa kutokana na ukwasi aliokuwa akiumiliki.

Ifahamike kwamba, utapeli wa Salma ulianzia miaka ya 90! Hivyo alikuwa na ‘Misala’ kibao!

Tamati ilifikia September 18 mwaka 2019 alipohukumiwa miaka 99 jela baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka 17 ikiwemo kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu!

SALMA ALIA GEREZANI!
Baada ya Salma kupewa hukumu hiyo Dr. Cheni alipotelea kusikojulikana na Salma! Hakuwahi kuonekana kokote wala kumtembelea gerezani!

Salma anaumia zaidi kwa kuona kijana aliyempenda kwa moyo wote na kumpa kila kitu ikiwemo kushiriki katika ujenzi wa jumba la kifahari la Dr. Cheni akimtelekeza wakati alipokumbwa na matatizo!

Lakini, kesi za Salma ni mbaya na ni hatari zaidi kwa mtu maarufu na sasa mfanyabiashara mkubwa kujihusisha nae moja kwa moja.
Pengine ndio maana Dr. Cheni ameamua ‘kula kona’.

Hivyo basi, kama ilivyo ada ya muosha huoshwa na mshahara wa dhambi ni mauti… ndiyo yanayomsibu Salma! Anachuma aliyoyapanda kwa dhulma!

Ni yuleyule ripota kutokea JF mwenye chanzo chake nyeti…

Nawatakia sikukuu njema ya Krismasi,

Nifah

Nimeambatanisha baadhi ya nyaraka za kesi zilizokuwa zikimkabili Salma Mtambo.

View attachment 2852178
View attachment 2852179

Na hii

View attachment 2852170
View attachment 2852171
 
Back
Top Bottom