Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Muhimu kupata mtu sahihi, age is nothing but just a number.
 
Ukienda na swaga bila hela watakutukana na kukuaibisha Hawa wanawake bhan😅
 
Ukienda na swaga bila hela watakutukana na kukuaibisha Hawa wanawake bhan😅
Saa hii wameamua iwe ni biashara huria,wanajiuza ila ukiwahoji wanajiuma uma.

Mimi nilikuwa siamini hii ila nilikuja kushuhudia mara kadhaa mademu wakihama kambi sababu ya offer na baadae walishazalishwa au kuchakaa unaona wanaanza kutafuta kurudi kwa waliowazingua mwanzo,na wanakiri kuwa walifanya kusudi.
 
Kaz kweli kweli na wanajua kumganda mtu hapo sasa wanaplay wao victim , wanatafuta retirement plan
 
Ka google love bombing hapo ndipo kwenye mtego kama hauna self control lazima unase,,,unatumiwa sana na watu wenye avoidant attachment (aka Players) 90days rule inawakimbiza au muombe hela japo wengine wanavumilia wakulize tu
 
Yani uwe katili kwa sababu mtu hakupendi ? au amekuacha?
Jamani, msicomplicate mapenzi hivyo.
Yaliavyoanza ndo yalivyoisha, unaendelea na maisha mengine.

Yeye lengo lilikuwa kukuchezea(though siaminigi sana hii victim syndrome)
Wewe lengo lilikuwa kumpenda.
Mkitofautiana malengo kwenye biashara si kila mtu anaenda lwake jamani?
Maisha sio magumu hivyo aiseeeh!
 
Ka google love bombing hapo ndipo kwenye mtego kama hauna self control lazima unase,,,unatumiwa sana na watu wenye avoidant attachment (aka Players) 90day rules inawakimbiza au muombe hela japo wengine wanavumilia wakulize tu
Au siku hizi anatangaza shida yeye.
Utaamua ubaki au uitatue na iwe ndo amekuingiza king hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…