Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Sasa wewe pewa mimba huko uje utegemee tutakuoa, Mimi kijana Sina mtoto staki mwanamke mwenye mtoto nataka tuanze maisha na kijana mwenzangu ambaye hajapewa mimba Wala hajazaa.

Mnatongozwa muolewe hamtaki mnajifanya tyari mpo kwenye mahusiano, mwisho wa siku mnapigwa mimba mnaachwa, mie nilie taka nikuoe tyari nishapata mke wangu na maisha yanasonga mbele utamlaumu nani kama sio ujinga wako??????????????

🖕🖕🖕🖕
Ulianza vizuri ila huku mwishoni hizi emoji hazikuwa na umuhimu
 
Kimsingi hata mwanamke alie kwenye ndoa anachezewa vile vile hulka ya mwanaume ni kupenda ngono na wanawake tofauti tofauti kuona mumeo hachepuki ni amekuficha tu.kudumu kwene mapenzi ni kuvumiliana ukimvumilia na kujibebelembeza kwa mwanaume yoyote ata kama ana permanently love wake ata wewe unakua permanent wake vile vile.
 
Unaweza ukavumilia, ukajibembeleza na bado ukachinjiwa baharini
 
Nakubaliana na wewe mkuu lakini huku mwisho kusema kuwa ukidate na mwanaume aliyekuzidi mwaka mmoja hawezi kukuoa ni siyo kweli wapo watu wengi tu wa age sawa na wanapendana na kuoana, pia unaweza kudate na mtu amekuzidi miaka mingi na akaishia kukuchezea tu, hayanaga formula muhimu upate mtu sahihi.
Ni kwa asilimia ndogo na sio umri sawa ila ni umri gani??

Kuna umri mnakua hamjajitambua, na kama nyote ni wapenzi kutoboa ni ngumu. Tofauti na ile nyote mko over 25 au Me ndo mkubwa zaidi.

That's why mapenz ya kichuochuo huwa hayafiki mbali 😂😂
 
Back
Top Bottom