Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Ukiwafungulia tu kila mmoja anakuonesha tabia yake... Mwingine ataanza kupigana na ukuta, wengine shambani kwa jirani, wengine wanakuangalia usoni bila aibu na kuna wale wanaokataa kwenda unakotaka kuwapeleka.

Ukisikia style ya mbuzi kagoma ujue kuna mbuzi hata ukiwasukuma wanashika break na miguu ya mbele hawataki kwenda wala kurudi ilimradi uchanganyikiwe 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 kuchanganyikiwa lazima. Kila mmoja na njia yake huku unataka waende sehemu moja🙆‍♂️🙆‍♂️
 
No reform no election.

Chino nikuambie kitu
Usikasirike lakini
Mi na mtu wangu anajulikana mpaka nyumbani na process zote Za uchumba kafuata.

Acha nijilie nyama nyama za shawarma kwa mtoto wa Kinga tu cc Lamomy
 
Husika na mada hapo juu, swali kwenu enyi wanaume, mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Hivi huwa mnajisikiaje kutudanganya na kutuharibia maisha, unakuta mwanaume anafanya juhudi zote kukutongoza unamkubali, una fall in love, anakwambia maneno mazuri, mna panga mipango mingi ya maisha ila ghafla kila kitu kinabadilika.


Unashangaa mbona mwenzangu kachange na hamtoi hata taarifa, ni kimya tu simu hazipokelewi meseji hazijibiwi, ukija kuchunguza kumbe ana mahusiano yake permanently💔 tena mwingine anaweza hata kukuacha na mimba kabisa na wala hajali.


Hivi, huwa mnafikiria mara mbili mnachokifanya? Just imagine dada yako au ndugu yako wa kike ndiyo anafanyiwa unyama kama huo, utajisikiaje eti, kumbukeni what goes around, comes around. Na baadae mwanaume kama huyu anakuja kupiga vita single mother 💔

Wanaume wa namna hii ndiyo mnaofanya baadhi ya wanawake tunakuwa wakatili.
[/QUOTENNaomba ruhusa ya kuingia pm
 
Shida ya wanawake unampata akupendae vizuri tu lakini unaendelea kuwa na wanaume wengine kwa lengo ukiachwa ubaki na wa akiba sasa huyo umpendae hataki msongamano lazima upigwe chini hakuna namna
 
Husika na mada hapo juu, swali kwenu enyi wanaume, mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Hivi huwa mnajisikiaje kutudanganya na kutuharibia maisha, unakuta mwanaume anafanya juhudi zote kukutongoza unamkubali, una fall in love, anakwambia maneno mazuri, mna panga mipango mingi ya maisha ila ghafla kila kitu kinabadilika.


Unashangaa mbona mwenzangu kachange na hamtoi hata taarifa, ni kimya tu simu hazipokelewi meseji hazijibiwi, ukija kuchunguza kumbe ana mahusiano yake permanently💔 tena mwingine anaweza hata kukuacha na mimba kabisa na wala hajali.


Hivi, huwa mnafikiria mara mbili mnachokifanya? Just imagine dada yako au ndugu yako wa kike ndiyo anafanyiwa unyama kama huo, utajisikiaje eti, kumbukeni what goes around, comes around. Na baadae mwanaume kama huyu anakuja kupiga vita single mother 💔

Wanaume wa namna hii ndiyo mnaofanya baadhi ya wanawake tunakuwa wakatili.
Sasa wewe pewa mimba huko uje utegemee tutakuoa, Mimi kijana Sina mtoto staki mwanamke mwenye mtoto nataka tuanze maisha na kijana mwenzangu ambaye hajapewa mimba Wala hajazaa.

Mnatongozwa muolewe hamtaki mnajifanya tyari mpo kwenye mahusiano, mwisho wa siku mnapigwa mimba mnaachwa, mie nilie taka nikuoe tyari nishapata mke wangu na maisha yanasonga mbele utamlaumu nani kama sio ujinga wako??????????????

🖕🖕🖕🖕
 
Husika na mada hapo juu, swali kwenu enyi wanaume, mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Hivi huwa mnajisikiaje kutudanganya na kutuharibia maisha, unakuta mwanaume anafanya juhudi zote kukutongoza unamkubali, una fall in love, anakwambia maneno mazuri, mna panga mipango mingi ya maisha ila ghafla kila kitu kinabadilika.


Unashangaa mbona mwenzangu kachange na hamtoi hata taarifa, ni kimya tu simu hazipokelewi meseji hazijibiwi, ukija kuchunguza kumbe ana mahusiano yake permanently💔 tena mwingine anaweza hata kukuacha na mimba kabisa na wala hajali.


Hivi, huwa mnafikiria mara mbili mnachokifanya? Just imagine dada yako au ndugu yako wa kike ndiyo anafanyiwa unyama kama huo, utajisikiaje eti, kumbukeni what goes around, comes around. Na baadae mwanaume kama huyu anakuja kupiga vita single mother 💔

Wanaume wa namna hii ndiyo mnaofanya baadhi ya wanawake tunakuwa wakatili.
Dah,Ongea na jirani yangu Binti wa zamani
 
Ingekuwa miaka ya zamani ingekuwa ni kweli wanawake mnadanganywa na kurubunika. Ila sio wanawake wa sasa.

Wengi wenu ndio wezi wa mapenzi na matapeli wa mahusiano mpo after money 💰. Mkikutana na wajanja wamewazidi mbinu na ujanja mnakuja kulia lia kuwa mnachezewa kumbe ukweli mnacholalamika ni kuwa wale mliowadhania kuwa ni mafala nowadays wanawazidi kete na ninyi mnaambulia patupu.

Kuna mdada juzi kati hapa kisa chake ukisikiliza unasema wanawake wa kizazi hiki wengi mtazeekea kwa wazazi au mtaishi maisha ya nje ya ndoa hadi uzeeni.

Dada ni mzuri kabisa pisi ya maana. Alipangishiwa nyumba kubwa na jamaa akalipia kodi miezi mitatu. Akawekewa baadhi ya vitu ndani na akapewa gari ya kutembelea.

Tukio halijachukua hata miezi miwili. Mwamba alikula sana mzigo halafu akapita hivi.

Gari ilikuwa ni ya watu iliwekwa bond alikuja kufuatwa na watu tofauti wamekuja chukua gari yao. Vitu vya ndani furniture zilikuwa zinadaiwa ni za mtu ziliwekwa bond pia zilikuwa bado mpya.

Nyumba ililipwa kodi miezi mitatu tu inatakiwa kulipiwa tena baada ya hapo na kodi ni 400K.

Mdada alikuwa kashajiweka comfortable. Ingawa ana kazi ila jamaa alimtengeneza kuwa atasimamia show kumbe ni wahuni tu wa mjini.

Kwa kifupi mlianzisha michezo ya uhuni kwenye mahusiano hadi wanaume serious wamepungua sana siku hizi mnapata matapeli wenzenu. Kuleni chuma hicho.
Maaaaaaamae wanajifanyaga Wana hadhi sana eti anataka aolewe na mbunge au waziri, mbunge mwenyewe mume wa mtu

Ukimuonya aachane na waume za watu anakwambia hadhi yake ni ya kuzaa na mbunge au waziri, anadiriki na kumtegea mimba mume wa mtu.

Akishazalishwa ubibi na ushangazi unanukia wakati huo vijana alotuacha na kutudharau tushajipata na tushaoa tunaishi Kwa amani kabisa na wake zetu, afu ndo anaanza kutusumbua tumsaidie maisha na kumtia hatutaki tyari tuna wake zetu.

Ndo hapo apambane na Hali yake, anaanza mpaka kuwang'ang'nia bodaboda na boda boda nao hawamtaki maaaamae, ashachuja ashazeeka, matokeo yake anakufa bila mume Kwa ufala wake wa kukataa vijana wenzake na kung'ang'ana na waume za watu.
 
Wanawake ni watu wa ajabu sana:

Mkidanganywa shida!

Mkiambiwa ukweli shida!

Mnataka nini sasa? Ukiwa msema kweli aisee hutakaa upate mbususu. Mimi nimewahi kujikosesha mbususu za maana sana kisa tabia yangu ya kusema ukweli japo mara nyingi mabinti huwa wana-appreciate kwamba nilifanya vizuri kusema ukweli badala ya kudanganya na kuwapotezea muda wao.

Wanawake mngejua mnachokitaka na mkakisimamia wala kusingekuwa na hii mikanganyiko!
Duuh!
 
Back
Top Bottom