Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Pengine Mimi ni good behave personnel ndio maana hata mwanamke akijilengesha nisipo mfeel Huwa na mkwepaga.

Sipendezwi na kuumiza mtu/ Kuna mdada mmoja mitaa ya kariakoo Kuna sehemu nilikuaga napendaga kwenda wao kwao ni ghorofani mzee wape pia ni mfanya biashara mwenye ukwasi.

Yule binti akaniita akaniomba namba na akaleta ukaribu na Mimi yupo vizuri sana tuu siku tukapanda ghorofani aka ni HUG na Kuni french kiss nikamuangalia TU ananiwekea miadi sitokei ananikutanisha na ndugu zake Kuna watu wanajua kupenda.

Miaka imepita Sasa miezi miwili iliyo pita kaanza nipigia simu anajua nimeoa lakini anapiga sana simu niongee nae mixer kunilaumu kwanini Mimi sikutaka nimuoe yeye kinacho nishangaza Kuna muda haya week simpokelei simu dada wa watu sijui kwanini yule dada alinipenda na ananipenda takrinani miaka tisaa sasa Kuna muda ananambia niende kwao kumtembelea Mimi nazuga zuga sijui kwanini yule dada alitokea kunipenda vile
Pole yake na hongera yako ulichagua kutomuumiza
 
Sawa bwashee mwenye Rolls Royce. Ukisema neno lazima usikilizwe aisee. Ila hao mafeminist uchwara usiwe unawaita kwenye mijadala maana wako biased tayari hata kama ni wanamabaka baka....

Ila sikuizi min -me , vinywaji changamshii, nimeanza kuwakaaa

Woteeeeeee tuseme aminaa
Kaka nipo vizuri mno, nashangaa mtu anapanic mtu akifa , anataka na mimi ni panic , mimi binafsi nilishakufa zaidi ya mara kumi hivyo sishangai mtu kufa mara moja tu
 
Kaka rafiki yangu na kipenzi changu Jadda Naomba aje ajibu kwa heshima yako mkuu🙏
Mimi huyo nilishaacha kujibizana naye maana anajifanya kichwa ngumu badala ya kuongelea uhalisia anaongelea matamanio yake, anahisi wengine hatuoni yanayoendelea kwenye jamii acha waendelee kufarijiana itafika kipindi watachoka wenyewe, walikuwepo wengi kama yeye humu siku hizi wameacha baada ya kukubaliana na uhalisia na kujua kumbe wasaliti wao wa kwanza ni wanaume wenzao
 
Maneno matamu mnayokuja nayo huwa yanatupumbaza
Utamu wa pipi ni mate ya anayeimumunya. Utamu wa maneno ya mwanaume ni yale matamanio uliyo nayo kusikia mwanaume atakutimizia bila shida yoyote. So sio mwanaume ni wewe umeshindwa kupambana na tamaa zako. Ukizimudu tamaa zako hakuna mwanaume atakaeweza kukuvua chupi.
 
Mimi huyo nilishaacha kujibizana naye maana anajifanya kichwa ngumu badala ya kuongelea uhalisia anaongelea matamanio yake, anahisi wengine hatuoni yanayoendelea kwenye jamii acha waendelee kufarijiana itafika kipindi watachoka wenyewe, walikuwepo wengi kama yeye humu siku hizi wameacha baada ya kukubaliana na uhalisia na kujua kumbe wasaliti wao wa kwanza ni wanaume wenzao
Mimi niwe kichwa ngumu kweli,wewe utakuwa nani?🤔

Wewe sema umekutana na kiboko yako nakukata hoja zako na majibu ya kukutafakarisha. Huwezi sema mtu anaongelea matamanio yake halafu idadi kubwa ya wanaume wanaweza kurelate na anachokisema.
 
Utamu wa pipi ni mate ya anayeimumunya. Utamu wa maneno ya mwanaume ni yale matamanio uliyo nayo kusikia mwanaume atakutimizia bila shida yoyote. So sio mwanaume ni wewe umeshindwa kupambana na tamaa zako. Ukizimudu tamaa zako hakuna mwanaume atakaeweza kukuvua chupi.
Sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom