Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Huyo kijana akikamatwa alipe deni la taifa
Pengine Mimi ni good behave personnel ndio maana hata mwanamke akijilengesha nisipo mfeel Huwa na mkwepaga.

Sipendezwi na kuumiza mtu/ Kuna mdada mmoja mitaa ya kariakoo Kuna sehemu nilikuaga napendaga kwenda wao kwao ni ghorofani mzee wape pia ni mfanya biashara mwenye ukwasi.

Yule binti akaniita akaniomba namba na akaleta ukaribu na Mimi yupo vizuri sana tuu siku tukapanda ghorofani aka ni HUG na Kuni french kiss nikamuangalia TU ananiwekea miadi sitokei ananikutanisha na ndugu zake Kuna watu wanajua kupenda.

Miaka imepita Sasa miezi miwili iliyo pita kaanza nipigia simu anajua nimeoa lakini anapiga sana simu niongee nae mixer kunilaumu kwanini Mimi sikutaka nimuoe yeye kinacho nishangaza Kuna muda haya week simpokelei simu dada wa watu sijui kwanini yule dada alinipenda na ananipenda takrinani miaka tisaa sasa Kuna muda ananambia niende kwao kumtembelea Mimi nazuga zuga sijui kwanini yule dada alitokea kunipenda vile
 
Back
Top Bottom