kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #21
Mkuu kosa la baadhi ya wanawake usitujumuishe wote maana wastaarabu tupo na bado mnaamua kutudanganyaIngekuwa miaka ya zamani ingekuwa ni kweli wanawake mnadanganywa na kurubunika. Ila sio wanawake wa sasa.
Wengi wenu ndio wezi wa mapenzi na matapeli wa mahusiano mpo after money 💰. Mkikutana na wajanja wamewazidi mbinu na ujanja mnakuja kulia lia kuwa mnachezewa kumbe ukweli mnacholalamika ni kuwa wale mliowadhania kuwa ni mafala nowadays wanawazidi kete na ninyi mnaambulia patupu.
Kuna mdada juzi kati hapa kisa chake ukisikiliza unasema wanawake wa kizazi hiki wengi mtazeekea kwa wazazi au mtaishi maisha ya nje ya ndoa hadi uzeeni.
Dada ni mzuri kabisa pisi ya maana. Alipangishiwa nyumba kubwa na jamaa akalipia kodi miezi mitatu. Akawekewa baadhi ya vitu ndani na akapewa gari ya kutembelea.
Tukio halijachukua hata miezi miwili. Mwamba alikula sana mzigo halafu akapita hivi.
Gari ilikuwa ni ya watu iliwekwa bond alikuja kufuatwa na watu tofauti wamekuja chukua gari yao. Vitu vya ndani furniture zilikuwa zinadaiwa ni za mtu ziliwekwa bond pia zilikuwa bado mpya.
Nyumba ililipwa kodi miezi mitatu tu inatakiwa kulipiwa tena baada ya hapo na kodi ni 400K.
Mdada alikuwa kashajiweka comfortable. Ingawa ana kazi ila jamaa alimtengeneza kuwa atasimamia show kumbe ni wahuni tu wa mjini.
Kwa kifupi mlianzisha michezo ya uhuni kwenye mahusiano hadi wanaume serious wamepungua sana siku hizi mnapata matapeli wenzenu. Kuleni chuma hicho.
Huyo jamaa ni muhuni haswaIngekuwa miaka ya zamani ingekuwa ni kweli wanawake mnadanganywa na kurubunika. Ila sio wanawake wa sasa.
Wengi wenu ndio wezi wa mapenzi na matapeli wa mahusiano mpo after money 💰. Mkikutana na wajanja wamewazidi mbinu na ujanja mnakuja kulia lia kuwa mnachezewa kumbe ukweli mnacholalamika ni kuwa wale mliowadhania kuwa ni mafala nowadays wanawazidi kete na ninyi mnaambulia patupu.
Kuna mdada juzi kati hapa kisa chake ukisikiliza unasema wanawake wa kizazi hiki wengi mtazeekea kwa wazazi au mtaishi maisha ya nje ya ndoa hadi uzeeni.
Dada ni mzuri kabisa pisi ya maana. Alipangishiwa nyumba kubwa na jamaa akalipia kodi miezi mitatu. Akawekewa baadhi ya vitu ndani na akapewa gari ya kutembelea.
Tukio halijachukua hata miezi miwili. Mwamba alikula sana mzigo halafu akapita hivi.
Gari ilikuwa ni ya watu iliwekwa bond alikuja kufuatwa na watu tofauti wamekuja chukua gari yao. Vitu vya ndani furniture zilikuwa zinadaiwa ni za mtu ziliwekwa bond pia zilikuwa bado mpya.
Nyumba ililipwa kodi miezi mitatu tu inatakiwa kulipiwa tena baada ya hapo na kodi ni 400K.
Mdada alikuwa kashajiweka comfortable. Ingawa ana kazi ila jamaa alimtengeneza kuwa atasimamia show kumbe ni wahuni tu wa mjini.
Kwa kifupi mlianzisha michezo ya uhuni kwenye mahusiano hadi wanaume serious wamepungua sana siku hizi mnapata matapeli wenzenu. Kuleni chuma hicho.
Yaani mtu aliyekuja kwako kwa target yake yeye anapotezaje muda, kuzalishwa kama unaweza kumlea huyo mtoto ni barakaKwahiyo mwanaume muda wake haupotei mkiwa pamoja?
Na kuzalishwa ukapata mtoto ni Baraka au laana?.
Ila mademu wanajiangaliaga wao.Kwahiyo mwanaume muda wake haupotei mkiwa pamoja?
Na kuzalishwa ukapata mtoto ni Baraka au laana?.
Haya mambo ya hisia, na upendo yana mengi sana mkuu. Ukweli sina neno , nyie pambaneni na hali zetu tuJibu swali mkuu
Akikuacha ndo alikuja kukuchezea je kama tabia zako ajaridhika nazo.Yaani mtu aliyekuja kwako kwa target yake yeye anapotezaje muda, kuzalishwa kama unaweza kumlea huyo mtoto ni baraka
Wanawake ni watu wa ajabu sana:Husika na mada hapo juu, swali kwenu enyi wanaume, mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?
Hivi huwa mnajisikiaje kutudanganya na kutuharibia maisha, unakuta mwanaume anafanya juhudi zote kukutongoza unamkubali, una fall in love, anakwambia maneno mazuri, mna panga mipango mingi ya maisha ila ghafla kila kitu kinabadilika.
Unashangaa mbona mwenzangu kachange na hamtoi hata taarifa, ni kimya tu simu hazipokelewi meseji hazijibiwi, ukija kuchunguza kumbe ana mahusiano yake permanently💔 tena mwingine anaweza hata kukuacha na mimba kabisa na wala hajali.
Hivi, huwa mnafikiria mara mbili mnachokifanya? Just imagine dada yako au ndugu yako wa kike ndiyo anafanyiwa unyama kama huo, utajisikiaje eti, kumbukeni what goes around, comes around. Na baadae mwanaume kama huyu anakuja kupiga vita single mother 💔
Wanaume wa namna hii ndiyo mnaofanya baadhi ya wanawake tunakuwa wakatili.
Safi sanaKama simpendi siwezi kuingia kwenye maisha yake nitaingia kwa ninae mpenda tu
Yaani mtu aliyekuja kwako kwa target yake yeye anapotezaje muda, kuzalishwa kama unaweza kumlea huyo mtoto ni baraka
Kiukweli mimi napenda mtu mkweli nipo tofauti na hao wengineWanawake ni watu wa ajabu sana:
Mkidanganywa shida!
Mkiambiwa ukweli shida!
Mnataka nini sasa? Ukiwa msema kweli aisee hutakaa upate mbususu. Mimi nimewahi kujikosesha mbususu za maana sana kisa tabia yangu ya kusema ukweli japo mara nyingi mabinti huwa wana-appreciate kwamba nilifanya vizuri kusema ukweli badala ya kudanganya na kuwapotezea muda wao.
Wanawake mngejua mnachokitaka na mkakisimamia wala kusingekuwa na hii mikanganyiko!
😂Kuna vidada visumbufu kuliko mbuzi 😣View attachment 3433426
🤣🤣🤣🤣 mbuzi sio kabisa.
Anakuja ili anitumie kingono, mimi nakubali kwasababu najua ni mtu ana malengo na mapenzi ya dhatiKwahiyo huyo mwanaume anakuja kwako ili apate nini na wewe unamkubalia ili upate nini ?
Ikiwa MTU kakufanya uitwe mama unahisi amekufanyia ubaya ?.
Siyo wanawake wote tuna hiyo tabia ya kula vya watu"Mwanaume kama humpendi unakula hela zake na zawadi zake za nini.....
Wanawake wa namna hiyo ndio mnafanya wanaume tunakuwa mkatili"
Kama simpendi siwezi kuingia kwenye maisha yake nitaingia kwa ninae mpenda tu
Dahh kama muviIngekuwa miaka ya zamani ingekuwa ni kweli wanawake mnadanganywa na kurubunika. Ila sio wanawake wa sasa.
Wengi wenu ndio wezi wa mapenzi na matapeli wa mahusiano mpo after money [emoji383]. Mkikutana na wajanja wamewazidi mbinu na ujanja mnakuja kulia lia kuwa mnachezewa kumbe ukweli mnacholalamika ni kuwa wale mliowadhania kuwa ni mafala nowadays wanawazidi kete na ninyi mnaambulia patupu.
Kuna mdada juzi kati hapa kisa chake ukisikiliza unasema wanawake wa kizazi hiki wengi mtazeekea kwa wazazi au mtaishi maisha ya nje ya ndoa hadi uzeeni.
Dada ni mzuri kabisa pisi ya maana. Alipangishiwa nyumba kubwa na jamaa akalipia kodi miezi mitatu. Akawekewa baadhi ya vitu ndani na akapewa gari ya kutembelea.
Tukio halijachukua hata miezi miwili. Mwamba alikula sana mzigo halafu akapita hivi.
Gari ilikuwa ni ya watu iliwekwa bond alikuja kufuatwa na watu tofauti wamekuja chukua gari yao. Vitu vya ndani furniture zilikuwa zinadaiwa ni za mtu ziliwekwa bond pia zilikuwa bado mpya.
Nyumba ililipwa kodi miezi mitatu tu inatakiwa kulipiwa tena baada ya hapo na kodi ni 400K.
Mdada alikuwa kashajiweka comfortable. Ingawa ana kazi ila jamaa alimtengeneza kuwa atasimamia show kumbe ni wahuni tu wa mjini.
Kwa kifupi mlianzisha michezo ya uhuni kwenye mahusiano hadi wanaume serious wamepungua sana siku hizi mnapata matapeli wenzenu. Kuleni chuma hicho.
Kwahiyo mtoto mmoja au wawili unashindwa kuwalea je ukiolewa na mume akafariki na akakuachia watoto watano utaweza kuwalea au utawatelekeza na kukimbia ?Anakuja ili anitumie kingono, mimi nakubali kwasababu najua ni mtu ana malengo na mapenzi ya dhati
Mtu anayekufanya uitwe mama ukiwa hujajiandaa na akakukimbia kukuachia jukumu lote amefanya ubaya kwasababu swala la malezi siyo swala jepesi kabisa, kuweni na huruma