Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Kwahiyo mtoto mmoja au wawili unashindwa kuwalea je ukiolewa na mume akafariki na akakuachia watoto watano utaweza kuwalea au utawatelekeza na kukimbia ?

Mbona nyie wanawake wa zama hizi mmekuwa waoga wa maisha sana ?
Kufiwa na mwanaume ni suala jingine na kutelekezwa ni swala jingine
 
Huyu sasa ni tapeli wa mapenzi.
 
1: kuna kasoro ameziona kwako Ila akikuambia zitakuathiri kisaikojia mno,bora asikuambie lolote.
2: mwingine hajayake nikupata joto na kutoa mchanganyo wa mayai kabla ya kukaangwa ikiisha tu anakua hisia hana tena kwakua dhamira haikua kua na mtu.
3: gubuuu,uchafu,demand and supplies ni kubwa sana kwa jinsia za Ke.
4: waoaji hakuna kwa sasa
 
Duh! Hatari sana, unataka uniingize kwenye mfumo naona😂😂😂
 
Mh! Sidhani kama ni kweli hayo
 
Kufiwa na mwanaume ni suala jingine na kutelekezwa ni swala jingine

Ngoja nikupe maarifa ya bure.

Katika Maisha hakuna MTU anampotezea MTU muda au kumchezea MTU .

Wanawake wengi wana tatizo la kufanya maamuzi sahihi na kuchagua vitu sahihi .

Kama umewahi kufanya Kazi au biashara na Mwanamke utakuwa unaelewa nacho maanisha.

Wanawake kutokana na tamaa zao huongozwa na hisia kufanya maamuzi na mwisho , kuingia katika mikono ya wajanja .


Kwahiyo unabidi kujilaumu wewe na sio kulaumu wanaume wote yaani ukiona unapata watu wa hit and run ujue shida IPO kwako zaidi.
 
Mwanamme rijali hakatai mimba!huwezi ongeza makosa wakati yajayo kukuhusu no giza!huwezi jua ni mtoto yupi atakufaa!

Kuna dogo Huwa anamzimia mama yake sim akiwa na hela!watoto wamepinda nyie!
 
Ngoja waje kusema haiombwi hivyo 😀
 
Oooh! Sawa naona unawatetea wanaume wenzio
 
Ukiwa katili unahisi unamuumiza huyo bwege mwenzako kumbe unajiumiza mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…