DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Kwamba nyie wadada hamchezei hisia za mtu na kumuharibia masiha yake ,?Kabisa mkuu kuliko kuanza kucheza na hisia za mtu na kumuharibia maisha yake
Si aniambie nijirekebisheAkikuacha ndo alikuja kukuchezea je kama tabia zako ajaridhika nazo.
Sisi ndiyo tunaathirika zaidi, nyie hambebi mimbaKwamba nyie wadada hamchezei hisia za mtu na kumuharibia masiha yake ,?
Ukilala na mtu na msioane au kufikia malengo yenu hapo wote mmechezeana tu.
Kuna dada mmoja tulikuwa tunakutana kwenye pub moja,tunakunywa ila hatukuwa na mazoea nae,basi tukazoeana sana.Siku moja nikamuomba mzigo,akaniuliza je umenipenda au umenitamani? nikamjibu kuwa mie naomba mzigo na hamu na wewe kwa ajili ya kusex tu.Akacheka sana,akasema tukishasex?Nikamwambua basi kila mtu ashike hamsini zake,basi akakubali akanipa mzigo tukafurahi wote,kila mtu akaenda zake.Sasa siku na yeye akitamani ananiomba mzigo nami nampaKabisa mkuu kuliko kuanza kucheza na hisia za mtu na kumuharibia maisha yake
Huyu siyo wa humu mkuu.Huyu atakuwa wa 10๐ ๐ ๐๐๐
Na kuna vijana wengi wana upendo wa kweli , ila hawana pesa, na wapo tayari waanze moja , ila wadada nao wanataka vilivyotayari ๐คTatizo wanawake wengi siku hizi wanataka Husbank na sio Husband ndio maana wanakutana na matapeli wa mjini
Siyo kweliHata wanaume tunachezewa na kuachwa tu.
๐๐๐dah! Wewe kibokoBado nadunda..
Alafu kila nayemuweka anasema tumbo linamuuma et imefika tumboni na bado atataka tena
Hivi anae takiwa aamue kubeba mimba au asibebe ni mwanaume au mwanamke? Nchi za wenzetu mwanamke anayo haki ya kutoa mimba hata kama ni mimba ya mumewe na wapo ndoani, mwenye maamuzi ya kubeba ni mwanamke na sio mwanaume.Sisi ndiyo tunaathirika zaidi, nyie hambebi mimba
Mbona mimi nilichezewa na kuachwa na mama watoto wangu.Siyo kweli
Inasikitisha sanaMwanaume ni kichwa, na mwanamke ni shingo; kazi ya shingo ni kuzungusha kichwa upande wowote anaotaka, sasa kama shingo imeshindwa kazi yake, nani alaumiwe?
Mwanamke ana nafasi kubwa sana ya kumtengeneza mtu wake na kuwa mchumba sahihi kwake, kushindwa kwake huko, mwanamke anakuwa hajui wajibu wake; hajatumia nafasi yake kama mwanamke.
Eti waifu material ya kweli haya? ๐ณNgoja waje kusema haiombwi hivyo ๐
Pole sana mkuu huyo hakukupendaMbona mimi nilichezewa na kuachwa na mama watoto wangu.
Ndio maana nikakuambia pande zote ni tabu tu wanawake na wanaume wote wanachezeana,rejea kisa cha haji manara.Pole sana mkuu huyo hakukupenda
Muhimu kubadilikaInasikitisha sana
๐๐mwaga hayo masifa hapa hapa mkuuNdugu waifu material umelalamika sana kuhusu wanaume ila umewahi kuwaza ikiwa utakuwa wangu unadhani hizi tabu wanazokupa watoto wa elfu mbili zinaweza kuwa historia ?
Embu zama PM ukutane na mme wa ndoto zako japokuwa ukihitaji nimwage sifa zangu tukuka niko tayari kujieleza kwa mapana future waifu