Mwanamke kama huna bikra na hujaolewa wewe ni chombo cha starehe. Acha kuulizauliza eehh una mpango gani na Mimi au unataka kunichezea?

Ushauri mzuri kama mtu unataka kuoa nenda bush kule wengi bikra na ndio wife materials sio wa mjini wengi wanaishi kwa kuuza mbususu
 
Umepoteza bikra hapo subiri mwendelezo wa kuchezewa mpaka siku Mungu akikuonea huruma ndipo utaolewa au atakupumzisha mahali pema.😂😂😂😂😂😂😂
 
Umepoteza bikra hapo subiri mwendelezo wa kuchezewa mpaka siku Mungu akikuonea huruma ndipo utaolewa au atakupumzisha mahali pema.😂😂😂😂😂😂😂
 
Hii imeenda
 
W
Watu huku mitaani wanaolewa mno, Mim mwenyewe toka huu mwaka umeanza nimepamba harusi za masingle maza wawili, wameolewa na wanaume wenye mawe bwana weeh.

Wanaume pekee ambao hawana pesa ndio wanawaita masingle maza, Ila hawa wenzetu wenye nazo wanawaita Toto's zenye vizazi.
 
Jamani hawa watoto bikra watatoa wapi wakati dunia yaleo ni mapenzi mapenzi kila kona? Kwenye tv unakutana na zuchu na wenzake wanakwambia mwagia ndani, kwenye redio sasahvi kudiskasi ngono ndio kipindi kinanoga, shuleni waalimu nao ndio hawahawa yanyoa kiduku na vjana wa ovyo,,, mtoto ataponea wapi, akienda saluni analo, ukimtuma dukani kuna bodaboda, ukimfungia nyumbani kuna dada wa kazi au kaka wa kazi plus muvie za kileo,,, yaani kila kona ni nchalee,,,
Ukiacha hayo kuna ma blubendi, na energy drink na machakula mengi ya ovyo mtoto anakula mwili unawaka moto kama transfoma bila ya kupoozwa na dudu anaweza kuwakamoto au kuwa mwehu...
Kiujumla nipagumuuu
 
Endelea kujifariji
 
Umesema?🤣🤣🤣
Totoz zenye vizazi, sikandii single moms lakini.....waolewe na wanaume waliokwisha zaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…