Mwanamke kujitafutia kipato kwa njia ya heshima na halali ni wajibu wa lazima kama mtu mzima

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
14,421
Reaction score
40,936
Siku za nyuma kuna member aliandika kuhusu mabinti wa chuo kikuu ambao wanafanya kazi kwenye mgahawa wa kuuza chakula wakiwa bado wanasoma. Members wengi waliwapongeza lakini ukiangalia cha ajabu haukioni.

Kwanza kabisa mabinti wanakosa vipindi. Utaratibu wa wanafunzi kufanya kazi upo hata nchi zilizoendelea lakini lazima tuelewe kule tayari mifumo imetengenezwa kuwezesha ilo. Part time jobs wanalipa kwa masaa ni tofauti na hapa kwetu. Lakini hiyo ni mada ya siku nyingine tuachane nayo kwanza.

Huu ujinga wa wanawake kujiita independent woman au kuona ni kama vile wanastahili noble prize for being decent or for making honest life, ni kwa sababu ya hii kasumba ya kuwamwagia sifa wanapofanya mambo ambayo ni bare minimum. A woman having decent income and paying her bills is not a flex, it's personal responsibility as an adult.

Watu wanapongeza badala ya hao mabinti kudanga wameamua kujitafutia kipato kwa njia za heshima. Kwanini kudanga ionekane njia mbadala ya mwanamke ku-skip wajibu wake wa kufanya kazi?

Mbona hatuwapongezi bodaboda badala ya kuwa majambazi wameamua kubeba abiria kwa pikipiki?

Watu wengi wanafikiri mwanamke kubadilisha maisha yake kwa kutumia sehemu zake za siri ni jambo rahisi rahisi tu. People think once a woman start sleeping around for money her life will automatically change. Its not easy as it seems.

Kuwa mdangaji wa viwango vya juu bado mwanamke atahitaji connections and kujifanyia marketing na kupitia mapito magumu kama ilivyo kwenye career zingine. Vinginevyo ataishia kupewa hizi elfu 20,30 ambazo hazitamfikisha popote.

The society must understand nobody owes women a noble prize for their lifestyle. It's for them. Even if she decide to embrace promiscuos to afford her basic needs, at the end of the day it still her body that will suffer for it
 
Wanaume wenyewe pia wana mchango kwenye hili tatizo kwa sababu wapo wanaume wengi wanaamini mwanamke hatakiwi kufanya kazi bali kuolewa tu na kuwa mama wa nyumbani.

Wanaume wengi pia wanaamini mwanaume "ameumbwa" kuwa provider.
 
Jamii ya wanaume inaanza kuondoka kwenye hiyo dhana. Ukifatilia sasa hivi wanawake wanaoolewa ni wenye vipato. Ni nadra sana kuona mwanamke ambaye hana chochote anaolewa labda awe binti mdogo
 
Watoto wakike wanapongezwa kwasababu ni empowerment, kuhakikisha wanainuka na kuacha kusubiri pesa za kuomba omba. Infact wanapokuwa stable wataweza kuchangia katika ujenzi wa taifa lolote.

Kwa sasa baada ya kuwa empower kifuatacho ni kuanza propaganda za 50/50 ili sasa nao waelewe kuwa wanatakiwa kuchangia kuanzia kodi ya maji, umeme, nyumba na ada za shule.

Ni mawazo ya kapuku mkuu wa JF
 
Siku za nyuma kuna member aliandika kuhusu mabinti wa chuo kikuu ambao wanafanya kazi kwenye mgahawa wa kuuza chakula wakiwa bado wanasoma. Members wengi waliwapongeza lakini ukiangalia cha ajabu haukioni.

Kwanza kabisa mabinti wanakosa vipindi. Utaratibu wa wanafunzi kufanya kazi upo hata nchi zilizoendelea lakini lazima tuelewe kule tayari mifumo imetengenezwa kuwezesha ilo. Part time jobs wanalipa kwa masaa ni tofauti na hapa kwetu. Lakini hiyo ni mada ya siku nyingine tuachane nayo kwanza.

Huu ujinga wa wanawake kujiita independent woman au kuona ni kama vile wanastahili noble prize for being decent or for making honest life, ni kwa sababu ya hii kasumba ya kuwamwagia sifa wanapofanya mambo ambayo ni bare minimum. A woman having decent income and paying her bills is not a flex, it's personal responsibility as an adult.

Watu wanapongeza badala ya hao mabinti kudanga wameamua kujitafutia kipato kwa njia za heshima. Kwanini kudanga ionekane njia mbadala ya mwanamke ku-skip wajibu wake wa kufanya kazi?

Mbona hatuwapongezi bodaboda badala ya kuwa majambazi wameamua kubeba abiria kwa pikipiki?

Watu wengi wanafikiri mwanamke kubadilisha maisha yake kwa kutumia sehemu zake za siri ni jambo rahisi rahisi tu. People think once a woman start sleeping around for money her life will automatically change. Its not easy as it seems.

Kuwa mdangaji wa viwango vya juu bado mwanamke atahitaji connections and kujifanyia marketing na kupitia mapito magumu kama ilivyo kwenye career zingine. Vinginevyo ataishia kupewa hizi elfu 20,30 ambazo hazitamfikisha popote.

The society must understand nobody owes women a noble prize for their lifestyle. It's for them. Even if she decide to embrace promiscuos to afford her basic needs, at the end of the day it still her body that will suffer for it
Society should understand that no one is entitled to praise or special recognition simply for the lifestyle choices they make. Those choices are primarily for the individual. If a woman chooses to engage in promiscuous behavior, even because of financial hardship or to meet basic needs, the consequences—whether physical, emotional, social, or health-related—ultimately affect her most directly.
 
Back
Top Bottom