Mwanamke kujitafutia kipato kwa njia ya heshima na halali ni wajibu wa lazima kama mtu mzima

Mwanamke kujitafutia kipato kwa njia ya heshima na halali ni wajibu wa lazima kama mtu mzima

**** media ya CLOUDS FM inapiga kampeni sana juu ya mwanamke.
Wanaita "MALKIA WA NGUVU"
Inashanhaza sana. Tunajenga fikra kwamba mwanamke kujitimizia majukumu yake kama mtu mzima ni exceptional. Bi mkubwa alikua mwajiriwa serikalini, dada angu ni branch manager wa benki kubwa hapa bongo lakini sijawahi kuina siku wamejiita independent woman
 
Huu mwaka wangu wa mwisho kutafuta pesa kihalali....😁
Kwa hiyo tukufute kwenye list ya watakao enda mbinguni bro?
Screenshot_2026-06-13_154109.jpg
 
Shida ni mila na desturi zilizojengeka kumfanya mwanamke kuwa tegemezi kwa mwanaume hii imepelekea mwanamke kuonekana ni wa viwango vingine pale anapomudu mahitaji yake bila nguvu ya mwanaume nyuma yake, na ilizoeleka njia wanayotumia ni kujiuza tu lakini nyakati zimebadilika wanawake wapo ma ofisini katika kujipatia vipato vyao binafsi ila kwa nchi zilizoendelea ni jambo la kawaida kabisa
 
Kwa sasa baada ya kuwa empower kifuatacho ni kuanza propaganda za 50/50 ili sasa nao waelewe kuwa wanatakiwa kuchangia kuanzia kodi ya maji, umeme, nyumba na ada za shule.

Ni mawazo ya kapuku mkuu wa JF
Pagumu hapo 😀😀😀... Mimi sioni kama ni sahihi mtu kupongezwa anapotimiza majukumu yake ya msingi
 
Society should understand that no one is entitled to praise or special recognition simply for the lifestyle choices they make. Those choices are primarily for the individual. If a woman chooses to engage in promiscuous behavior, even because of financial hardship or to meet basic needs, the consequences—whether physical, emotional, social, or health-related—ultimately affect her most directly.
Absolutely
 
Mada inazungumzia wanawake , nimejikita na mada , wewe umejuaje sina?
Mada imezungumzia mwanamke kuwajibika na maisha yake kama mtu mzima. Wewe umeenda kwenye malezi kwa kuonyesha viashiria vya ubaguzi wa kijinsia ulipotoa msisitizo kwamba tuwapambanie watoto wetu wa kike, kimsingi kama mzazi hata mtoto wa kiume pia anastahili kupambaniwa
 
Shida ni mila na desturi zilizojengeka kumfanya mwanamke kuwa tegemezi kwa mwanaume hii imepelekea mwanamke kuonekana ni wa viwango vingine pale anapomudu mahitaji yake bila nguvu ya mwanaume nyuma yake, na ilizoeleka njia wanayotumia ni kujiuza tu lakini nyakati zimebadilika wanawake wapo ma ofisini katika kujipatia vipato vyao binafsi ila kwa nchi zilizoendelea ni jambo la kawaida kabisa
Labda nasi tutabadilisha fikira siku za mbeleni
 
Back
Top Bottom