Mwanamke kujitafutia kipato kwa njia ya heshima na halali ni wajibu wa lazima kama mtu mzima

Mwanamke kujitafutia kipato kwa njia ya heshima na halali ni wajibu wa lazima kama mtu mzima

Siku za nyuma kuna member aliandika kuhusu mabinti wa chuo kikuu ambao wanafanya kazi kwenye mgahawa wa kuuza chakula wakiwa bado wanasoma. Members wengi waliwapongeza lakini ukiangalia cha ajabu haukioni.

Kwanza kabisa mabinti wanakosa vipindi. Utaratibu wa wanafunzi kufanya kazi upo hata nchi zilizoendelea lakini lazima tuelewe kule tayari mifumo imetengenezwa kuwezesha ilo. Part time jobs wanalipa kwa masaa ni tofauti na hapa kwetu. Lakini hiyo ni mada ya siku nyingine tuachane nayo kwanza.

Huu ujinga wa wanawake kujiita independent woman au kuona ni kama vile wanastahili noble prize for being decent or for making honest life, ni kwa sababu ya hii kasumba ya kuwamwagia sifa wanapofanya mambo ambayo ni bare minimum. A woman having decent income and paying her bills is not a flex, it's personal responsibility as an adult.

Watu wanapongeza badala ya hao mabinti kudanga wameamua kujitafutia kipato kwa njia za heshima. Kwanini kudanga ionekane njia mbadala ya mwanamke ku-skip wajibu wake wa kufanya kazi?

Mbona hatuwapongezi bodaboda badala ya kuwa majambazi wameamua kubeba abiria kwa pikipiki?

Watu wengi wanafikiri mwanamke kubadilisha maisha yake kwa kutumia sehemu zake za siri ni jambo rahisi rahisi tu. People think once a woman start sleeping around for money her life will automatically change. Its not easy as it seems.

Kuwa mdangaji wa viwango vya juu bado mwanamke atahitaji connections and kujifanyia marketing na kupitia mapito magumu kama ilivyo kwenye career zingine. Vinginevyo ataishia kupewa hizi elfu 20,30 ambazo hazitamfikisha popote.

The society must understand nobody owes women a noble prize for their lifestyle. It's for them. Even if she decide to embrace promiscuos to afford her basic needs, at the end of the day it still her body that will suffer for it
Mkuu Natafuta Ajira umeongea uhalisia. Atakayepinga ulichoandika hana chembe ya akili.
 
Ila mleta mada lazima kuna kitu kinakufanya uwachukie hawa viumbe sio siri. All in all kila mtu lazima ashinde mechi zake
Mimi napenda mtu akinipinga kwa hoja. Tujadiliane, tuelekezane. Masuala ya saikolojia tuwaachie wenye taaluma zao.
 
Hakuna ubaya kumpongeza mtu anayefanya vema hata kama ni wajibu wake na analipwa.
Suala sio kupongezwa suala ni mtu kutimiza wajibu wake ionekane kama ni flex, badala ya personal responsibility. Embu nikuulize ushawahi kuona mwanaume akiitwa au akijiita independent man?
 
Upo sahihi kabisa. Achana na majike shupa ya JF inayochukizwa na mada zako. Wanachukia humu JF ila ndani ya mioyo inakubali hiki usemacho.
 
Inashanhaza sana. Tunajenga fikra kwamba mwanamke kujitimizia majukumu yake kama mtu mzima ni exceptional. Bi mkubwa alikua mwajiriwa serikalini, dada angu ni branch manager wa benki kubwa hapa bongo lakini sijawahi kuina siku wamejiita independent woman
malezi na hawakujazwa hiz fikra za MALKIA WA NGUVU
 
Back
Top Bottom