Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

Mwanamke kunyoa sehemu zake za Siri bila ruhusa ya mme wake ni ishara ya ushirikina na kuleta mikosi Kwa familia

Mwanamke akitaka kunyoa laZima amjulishe mme wake nae aridhie,
Sio mwanaume Yuko safari anakuta kipara aisee laZima urudi kwenu na makovu
Kwa taarifa yako kuna dungadunga kibao wanazipenda, in other words mkeo akifuga zinampa soko mno
 
Aisee, wakati wengine tunaona ki nyaaaa. Tunakula huku tumefumba macho. Taarifa za kunyoa si ndio ushirikiana wenyewe Sasa huko. Kunyoa ni kutoa uchafu, sawa na kuoga na kuchamba.
 
Nadharia ya wapenzi kukuta mmoja wapo Kanyoa mavuzi bila ridhaa ya mwingine mana yake katoka kuliwa ila vijana wa siku hizi wanaona kawaida tu katoka safari kakuta mke wake ana kipara wala hana wasiwasi kabisa
 
Back
Top Bottom