Ni umasikini tu, ukiwa na mwanamke trust fund baby kuomba pesa actually ni suala la aibu.Wanawake kuomba pesa ni kwa sababu wao ni masikini na tegemezi zaidi kwa wanaume au kwa sababu ni wajibu wa wanaume kuwapa pesa wanawake wao bila kujali utofauti wa hali zao za uchumi / ukwasi ?
Naongelea Ile kuomba pesa na kuwa tegemezi kwa muendelezo kama omba omba wa barabarani.Hivi Kuna mwanamke anaependa kuomba tu kakaa tu hapendi kutafuta Hela yake?
Mi naona hakuna anaependa,inatokea tu kakwama.
Wapo! Njoo huku uswahilini wamama wanaamka wanakaa vibarazani usiku ukifika wanaingia kulala na waume zao.Hivi Kuna mwanamke anaependa kuomba tu kakaa tu hapendi kutafuta Hela yake?
Mi naona hakuna anaependa,inatokea tu kakwama.
Huoni aibu mkeo akope watu nje, wakati unajitutumua kua umemuoa?Naongelea Ile kuomba pesa na kuwa tegemezi kwa muendelezo kama omba omba wa barabarani.
Halafu kama ni kukwama kwa njnj usikope urudishe au uombe marafiki zako wa kike, wazazi au ndugu zako?
Labda uzungumzie mpenzi lakini mchepuko mara nyingi atakua na wewe kwa kigezo cha nipe nikupe.Mpenzi au mchepuko
Kwamba hakuna mchepuko ulio kwenye mahusiano kwa sababu ya mapenzi ya kweli bali yote iko kibiashara tu?!Labda uzungumzie mpenzi lakini mchepuko mara nyingi atakua na wewe kwa kigezo cha nipe nikupe.
Anajua una familia yako, yeye anakusanya vyake mapema kutoka kwako.
Sasa mchepuko umwambie usiniombe hela hiyo ulisikia wapi?
Kwahiyo unaumia mpenzi wako au mkeo kukuomba Hela akikwama?Naongelea Ile kuomba pesa na kuwa tegemezi kwa muendelezo kama omba omba wa barabarani.
Halafu kama ni kukwama kwa njnj usikope urudishe au uombe marafiki zako wa kike, wazazi au ndugu zako?
Wewe mwanaume uniambie hapo michepuko ulokua nao walikua kundi lipi?Kwamba hakuna mchepuko ulio kwenye mahusiano kwa sababu ya mapenzi ya kweli bali yote iko kibiashara tu?!
Iwe mpenzi au mchepuko, haulazimiki kumpa pesa coz sio wajibu wako. Ila kwa namna tumejiwekea, mchepuko nae anataka kuhudumiwa zaidi ya mke, wengi wao maisha sio mazuri so kujiweka kwako ni ili apate kitu, sio kwa sababu anakupenda. Japo kuna micheps inajiweza, inakosa tu mtu wa kumpa mapenzi, wamekuwa wahanga wa mapenzi so wanatafuta watu wa kuwapa tulizo la moyo.Mpenzi mwenye kutarajia ndoa.
Mchepuko wangu uko kundi la mshangazi independent woman, umenilipia gym, huwa unaweka mafuta gari, zawadi kama simu, saa na wallet pia napewa😁Wewe mwanaume uniambie hapo michepuko ulokua nao walikua kundi lipi?
Mimi naonaga kwenye movie
Nipe namba ya mkeo nimpe poleMchepuko wangu uko kundi la mshangazi independent woman, umenilipia gym, huwa unaweka mafuta gari, zawadi kama simu, saa na wallet pia napewa😁
Kama bado hana ramani inayompa maisha kumsupport siyo mbaya.Mpenzi mwenye kutarajia ndoa.