Hata akiwa hana kazi as long as sio mkeo, kuhudumiwa ni wajibu wa wazazi wake. Mwanaume anawajibika kumuhudumia mke, sio girlfriend.Ni wajibu wa mwanaume kumhudumia mkewe......lakini ni ujinga kwa mwanaume kumhudumia mwanamke anayefanya kazi na kujiingizia kipato.....
Ni kwasababu wanaume tumesahau wajibu wetu au hatuwajibikiWanawake kuomba pesa ni kwa sababu wao ni masikini na tegemezi zaidi kwa wanaume au kwa sababu ni wajibu wa wanaume kuwapa pesa wanawake wao bila kujali utofauti wa hali zao za uchumi / ukwasi ?