Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
Dokta ikiwa katika harakati za dog style amejamba shida inakua ni nini mkuu. ?Wakuu mko salama?
Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence)
Nini maana ya Queefing??
ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba.
Utajiuliza inawezekanaje ?? ni hivi hewa huingia ndani uke kutokana na baadhi ya style za tendo au kulegea kwa misuli ya uke sasa baada ya muda hewa hiyo hutoka na kutoa hiyo sauti
Kwa ujumla, queefing ni hali ya kawaida haina harufu na haina madhara kiafya.
.JE MARA YAKO YA KWANZA KUSIKIA HIYO SAUTI ULIWAZA NINI tupe maoni yako๐ค
Mlio wa kama kujamba (unaoitwa "queefing") wakati wa tendo la ndoa, hasa kwenye mikao kama dog style, unasababishwa na hewa kuingia ndani ya uke halafu ikisukumwa nje inatoa huo mlio. Sio tatizo la kiafya wala haimaanishi kuna kitu kibaya kimetokea. Ni jambo la kawaida na hutokea zaidi kwenye mikao ambayo hewa inaweza kuingia kwa urahisi.Dokta ikiwa katika harakati za dog style amejamba shida inakua ni nini mkuu. ?
Nae anajamba mjombaSamia atawale hadi hadi 2045.
Doggystyle ndiyo sababu kuuSijui wataalam walimaanisha nini kusema hivyo, huenda ikawa kiba100 kina mchango. Kuna jamaa kasema doggy pia ni sababu...
Same to me na demu awe amezifunga shanga kiunoni halafu awe ana bonge ya chura vile nimezishikilia shanga nakoboa kweli kweli ๐Hiyo sauti hutokea sana hasa wakati wa dog style huwa naipenda sana
Nyie ndio wataalam mkuu, tunawasikiliza sana๐คฃDoggystyle ndiyo sababu kuu
Eti wataalam ๐คฃ๐คฃ hakuna mkuu tunashea tu Kwa tukijuacho!Nyie ndio wataalam mkuu, tunawasikiliza sana๐คฃ
Kwaiyo kumbe hii kitu inaonekana kuwatesa wenye Hali hiyo?Kuna mmoja nae anatoa saut ila namuandaa kisaikolojia tu kuwa asiwaze...mara nying hutokea pale umeisugua kwa muda mrefu sanaa..ila ukubwa wa papa nao unachangia
Una uhakika wakitafuta Pesa mlio hautakuwepo?Tafta hela maskini wwView attachment 3441161
Loh hii comment yako imenikumbusha mbali๐๐๐๐Sasa si nyau huyo lazima alie ๐น๐น
Hebu tupe huo ubuyu mahi ๐น๐นLoh hii comment yako imenikumbusha mbali๐๐๐๐
Acha bana,ni siri yangu na huyo mtu๐Hebu tupe huo ubuyu mahi ๐น๐น
Jamani kwani anakuona mahi? ๐น๐นAcha bana,ni siri yangu na huyo mtu๐
NakubaliMchawi mkao tu mzee ndo maana kifo cha ๐ชณ๐ชณhuwezi skia huo mlio