John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Inawezekana.Mkuu huyo namka wiki atatafutwa na atanyongwa either publicly au atapotelea kusiko julikana.
kwa akili yako unadhani una bandodata pekeako!! kapotezewa na dingiyako...ngoja kesho tusikilize DW dira ya Dunia kama amechinjwaHapo sio mtaani ni Chuo, na the way watu wanavyompotezea speak louder kuliko yeye alivyokaa uchi
Mojawapo ya mambo yanayonifanya kuendelea kusimama na Israel ni hili la uhuru, Israel ndio nchi pekee ya Mashariki ya kati unavaa vyovyote, unapata kitimoto, unakunywa chochote na unaweza kuabudu chochote bila kusumbuliwa au hofu.Ndio maana Netanyahu anapendwa kila mahali middle east.
Hata ikiwa kwa expenses ya kuuliwa watoto na wanawake? Hata kwa expense ya kuuliwa ndugu zako siera Leone, Congo na kwengineko?Mojawapo ya mambo yanayonifanya kuendelea kusimama na Israel ni hili la uhuru, Israel ndio nchi pekee ya Mashariki ya kati unavaa vyovyote, unapata kitimoto, unakunywa chochote na unaweza kuabudu chochote bila kusumbuliwa au hofu.
Iran siyo waarabu,muwe mnajielimishaWaarabu ni wanafki
Kitimoto/kosheli utapata wapi israel yenye wayahudi na waislam wengi?..hawali nguruwe haoMojawapo ya mambo yanayonifanya kuendelea kusimama na Israel ni hili la uhuru, Israel ndio nchi pekee ya Mashariki ya kati unavaa vyovyote, unapata kitimoto, unakunywa chochote na unaweza kuabudu chochote bila kusumbuliwa au hofu.
Tuache unafiki,kwahiyo hapo amependeza? Siyo tu uislam wala ukristo ambao unaona huyo amevaa vema bali hata tamaduni zetu......utajisikiaje Mama yako, Dada yako au mtoto wako akitoka mitaani amevaa hivyo? Huo ni upumbavu na ujinga kushangilia upuuzi kwa kisingizio cha uhuruNdio maana Netanyahu anapendwa kila mahali middle east.
Mimi najiuliza binti akivaa hivyo mungu anadinda au
Lazima utolewe mfano ili kusudi wengine wasifuate..Kwa sheria za huko, sishangai kuskia huyo kesho amechinjwa
Wanawake wamechoka kulazimishwa cha kuvaa na Ayatolah kukaa hivyo ana Protest sheria kali za Ayatolah.
Kuna taarifa zinasema ameshauwawa na Revolutionary Guards.
Na mashoga wanaheshimiwa sana hata kuwa na maonyesho makubwa ya kitaifa.Mojawapo ya mambo yanayonifanya kuendelea kusimama na Israel ni hili la uhuru, Israel ndio nchi pekee ya Mashariki ya kati unavaa vyovyote, unapata kitimoto, unakunywa chochote na unaweza kuabudu chochote bila kusumbuliwa au hofu.
Kupendeza au kutopendeza sio suala la msingi, unavyojisikia kuhusu mama yako, dada yako au mtoto wako anavyovaa sio suala la msingi pia. Suala la msingi ni uhuru wake wa yeye au wao kuvaa wanavyojisikia kwa uhuru bila kubughudhiwa, yani kama mke wako au mama yako amechagua kuvaa hijabu na mke au mama wa mwingine amechagua kuvaa kimini na top tu wote wawe na haki sawa.Tuache unafiki,kwahiyo hapo amependeza? Siyo tu uislam wala ukristo ambao unaona huyo amevaa vema bali hata tamaduni zetu......utajisikiaje Mama yako, Dada yako au mtoto wako akitoka mitaani amevaa hivyo? Huo ni upumbavu na ujinga kushangilia upuuzi kwa kisingizio cha uhuru
Sasa ndugu yangu kama wewe hupendi mama yako avae hivyo wewe inakuhusu nini mama yangu akifanya usichopenda?Tuache unafiki,kwahiyo hapo amependeza? Siyo tu uislam wala ukristo ambao unaona huyo amevaa vema bali hata tamaduni zetu......utajisikiaje Mama yako, Dada yako au mtoto wako akitoka mitaani amevaa hivyo? Huo ni upumbavu na ujinga kushangilia upuuzi kwa kisingizio cha uhuru
Ana matatizo ya afya ya akili. Atapelekwa mental asylum. Kutembea na underwear haikubaliki sehemu nyingi hata Ulaya.
Shida siyo hijab,we kwa utashi wako alivyovyaa unaona ndiyo maana halisi ya uhuru? Kama Uhuru ni kuvaa uchi,basi hiyo tafsiri inatumika vibayaKupendeza au kutopendeza sio suala la msingi, unavyojisikia kuhusu mama yako, dada yako au mtoto wako anavyovaa sio suala la msingi pia. Suala la msingi ni uhuru wake wa yeye au wao kuvaa wanavyojisikia kwa uhuru bila kubughudhiwa, yani kama mke wako au mama yako amechagua kuvaa hijabu na mke au mama wa mwingine amechagua kuvaa kimini na top tu wote wawe na haki sawa.
Natumaini mashabiki wengine wa Israel watakuelewa.Ndiyo, kila mtu na uhuru wake ili mradi haumdhuru mwingine.
Kama kuvaa uchi ni uhuru basi,huo ni ubakaji wa neno uhuruSasa ndugu yangu kama wewe hupendi mama yako avae hivyo wewe inakuhusu nini mama yangu akifanya usichopenda?
Unawashwa? au nini unapungukiwa
Alikuwa amevaa hijabu akakamatwa na kusumbuliwa na polisi wa maadili kwamba hajavaa hijabu vizuri ndipo akakasirika na akaamua kuitupa kabisa hiyo hijabu, hana matatizo yoyote ya akili.Ana matatizo ya afya ya akili. Atapelekwa mental asylum. Kutembea na underwear haikubaliki sehemu nyingi hata Ulaya.