Uholanzi prime minister kuonekana hvyo si ajabu hata baskeli pia wanaendanazo job kwa sana so hakuna kilichopangwa hapo. Hawana Kiki za kishamba km za kwenu huko uswahiliniPolitic ata work. Kila taifa la Ulaya, America au Asia linatafuta njia ya kuboresha uhusiano wake na Africa kwa kupitia njia mbali mbali kama hizi.
Huyo dada wa kiafrica kapangwa mahususi kwa ajili ya kazi hiyo.
Haina tofauti na kumkuta Lowasa, Lisu au Majaliwa kapanda daladala wakati wa kampeni za uchaguzi.
Dah hii hatari sanaSisi tumeinvest kwenye u bishoo zaidi kuliko maendeleo
Wafrica kama wewe huwa mnaingizwa mkenge kizembe sana.Sio kapangwa wenzetu Uongozi kwao ni kitu cha kawaida huwezi kufananisha Kiongozi wa Ulaya na Afrika wanavyojichukulia na tunavyowachukulia kwanza viongozi wa kiafrika wakishaingia madarakani wanawaona wananchi kama wajinga wenyewe ndio wenye akili sana kuliko raia yoyote
Kuna video nyingine ya aliekuwa waziri wa Uingeleza
Je nayo wazungu walipangwa kwa nia ipi labda na kwa nini wapangwe ?
Hapa ni uswahilini pia?Uholanzi prime minister kuonekana hvyo si ajabu hata baskeli pia wanaendanazo job kwa sana so hakuna kilichopangwa hapo. Hawana Kiki za kishamba km za kwenu huko uswahilini
Hakuna huwezi fananinisha uzalendo wa wenzetu na sisiWafrica kama wewe huwa mnaingizwa mkenge kizembe sana.
Mnashindwa kutofautisha siasa na maisha ya kawaida.
Siasa ina njia nyingi za kulaghai watu. Hata raisi wa nchi anaweza kuigiza analala kwenye mkeka, huku kiuhalisia hajawahi hata kukalia mkeka achilia mbali kuulalia.
Ila hayo wanayoyafanya wazungu yakifanywa na kina Kikwete kwenda kununua samaki feri ungesema muuzaji sio raia wa kawaida ni mwanausalama, au ile ya hayati Magufuli kupitia kijiweni kunywa kahawa wadau wakaanza kupinga kuwa muuza kahawa alipangwa ili kukamilisha tukio nk.
Kwamba mzungu ni malaika ambae hawezi kudanganya au kuhadaa umma.
Kujilinda ni kutokana na uovu na uchafu wao! Kupigwa vitasa ni kawaida hasa ukizangatia wao ndiyo chanzo cha haya yote! Madawa ya kulevya ni kwa sababu ya uongozi wao! So, mtumia madawa ya kulevya akiwajeruhi kwa namna yoyote wamestahili!Mtawatia vitasa nyie ndo maana wanajilinda sana.
Dongo kwa Afrika hilo.Video Dada wa kiafrika kakutana na waziri mkuu wa Netherland, anakwenda ofisini kwa mguu akitokea nyumbani kwake... Dada anashangaa anahema kwa mshangao akikumbuka Afrika huku😃 mpaka katibu tarafa ana king'ora
Mitaa wanayotembea siyo ya misongamanoYaani nikutane na Majaliwa Tandika maeneo ya Sudani au kule Mabibo mwisho na mitaa ya kwamtogole.....hahahaha.
Mama naye siku moja apige jalamba tu peke yake akienda msikitini
Sio fisadi hana umungu mtu, wala hofu ya kufa kama huku Afrika.Video Dada wa kiafrika kakutana na waziri mkuu wa Netherland, anakwenda ofisini kwa mguu akitokea nyumbani kwake... Dada anashangaa anahema kwa mshangao akikumbuka Afrika huku😃 mpaka katibu tarafa ana king'ora
Becoming poor trying to proof you are a richTunapenda kuonekana tumeendelea kuliko kuendelea
Ujinga wa hivyo utadanganywa wewe.Politic ata work. Kila taifa la Ulaya, America au Asia linatafuta njia ya kuboresha uhusiano wake na Africa kwa kupitia njia mbali mbali kama hizi.
Huyo dada wa kiafrica kapangwa mahususi kwa ajili ya kazi hiyo.
Haina tofauti na kumkuta Lowasa, Lisu au Majaliwa kapanda daladala wakati wa kampeni za uchaguzi.
Hii yakwako ndo kuigiza sasa.Kama kiongozi anaishi maisha ya kawaida yataonekama tu na kukitokea kaigiza pia itajulikana.sasa wewe unawatetea wale waigizaji ukijilazimisha wafanane nawale wanaoishi maisha yao ya kawaida.Wafrica kama wewe huwa mnaingizwa mkenge kizembe sana.