Mwanamke msomi ni faida kwa ndugu zake na sio mume

Unajua maana ya ndoa? Nyie wanawake wanaharakati uchwara mnaopigania 50/50 ndio nyie wabinafsi ambao hata chumvi ikiisha ndani mtamsubiri mwanaume aje kununua (huu ndio ubinafsi nauongelea)

Mlivyo wabinafsi mtasomesha wadogo zenu na kujengea wazazi wenu lakini hamuwezi changia hata 100 mbovu kwenye elimu ya watoto wenu au hata kwenye maendeleo ya familia (ndoa yenu), mzigo wote mtamuachia mwanaume

Ukiondoa pu$$y (ya masimango) hakuna kingine mwanaume anafaidi kwa mke mwanaharakati uchwara

Ukiondoa pesa kwa mwanaume, mawanamke anafaidi kusitiriwa kama mke wa ndoa pamoja na kupata mlinzi na kiongozi wa familia.... Tukirudisha pesa kwa mwanaume, mwanamke atafaidi kuanzia matunzo hadi nusu ya uchumi wa huyu mwanaume.
 
Hawa sasa ndio wanawake. Mwanamke mwenye kazi huwa ana ndoa mbili, moja ndoa rasmi na nyingine ya kazini

Mume wa ndoa rasmi usipokuwa makini utalea watoto wa mume wa kazini...... Mume wa kazini akishakuwa na uchumi imara, mke atatafuta sababu akukimbie wewe wa ndoa rasmi aende funga ndoa rasmi na yule wa kazini 😂
 
📌📌📌 umenena vyema
 
Haya yote mnayataka wenyewe wala msisingizie 50 50 ninyi wanaume hamtaki haki sawa ila mnataka majukumu sawa tena ikibidi mwanamke afanye zaidi, yani hadi leo kazi za nyumbani na malezi ya watoto mnaona ni majukumu ya mwanamke hamtaki kusaidia halafu hapo hapo bado mnataka wanawake wawape hela kama ninyi mnavyowapa na bado wawatii na wawaheshimu hivi inaingia akilini kweli hiyo, unaposema mwanamke anafaidi kusitiriwa hebu niambie anafaidi nini hasa ikiwa siku hizi mpaka michepuko yenu nayo mnaitreat kama wake zenu tu yani siku hizi tofauti ya mke na mchepuko ni pete na majukumu tu
 
Ukimzungumzia mwanamke na ndoa kumbuka unazungumzia ,mama zetu,dada, shangazi ,na Bibi na ndoa zao.... Kitu kizito..
Hapa tunawazungumzia hawa wanawake wa kisasa, wanaharakati uchwara wanaopigania 50/50, wasomi wa kizazi cha kisasa..... Wenyewe wanakuambia wao kufanya house chores ni utumwa, kazi zote za nyumbani mtagawana, yeye akipika wewe mwanaume utaosha vyombo.... Akifua, wewe mwanaume utasafisha nyumba

Hapa tunazungumzia hivi vizazi viwili, Millennials na Gen Z..... Waogope kama ukoma
 
Huu ukweli mchungu kabisa.
 
We endelea kupiga Nyeto tu haya mambo yamekuzidi akili hutayaweza.
 
Sawa
 
Kila mtu na mawazo yake na mtazamo alio nao, katika kutafuta mwenzi wa maisha, sio kila mwanamke anafaa kuwa mke, ukisema mwanamke asiolewe kisa ni msomi sio sahihi, wapo ambao hawajasoma bado ni problem kwenye mahusiano ya ndoa, mwanamke yeyote ukimuonyesha msimamo anakuwa mpole awe na PHD au form 4, ukiitetemekea Elimu yake au kazi yake atakusumbua sana, kama umeoa mwenye digrii mfanye kama hiyo digrii hana, au hiyo kazi hana atakuwa mpole tu
 
Mimi binafsi nimebahatika kupata mke ambaye mshahara wake naupangia matumizi yq familia, na yeye yuko Joyful and respectful katika hili huu mwaka wa tano sasa sijaona badiriko.

Tusiwakatishe tamaa wadogo zetu waone kuishi na mke ni mzigo wa miiba ilihali sisi tulio wengi ni tokeo la ndoa za Baba na Mama.
 
Kuna kaukweli lakini🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…