Mwanamke msomi ni faida kwa ndugu zake na sio mume

Inasikitisha sana, ....

Kumlalamikia mwanamke, kumlaumu kwa kusaidia ndugu zake, kumjengea hisia za wivu, sio sifa ya mwanaume anayejitambua, mchapakazi, mpambanaji, mwenye upendo wa kweli na anayejiamini. Wakati unaoa ulikula kiapo cha kumlisha, kumvisha, kumhifadhi, kumlinda na kumwongoza mkeo na familia kwa jumla. Mwanaume unaposimama kwenye nafasi yako kama mume, unawajibika ipasavyo, unatimizia majukumu yako kwa kujiamini bila kulalamika, mwenye heshima, upendo wa dhati usiotetereka kwa mkeo, na uliyemwoa kwa sababu sahihi, tambua mkeo atakuheshimu kwa dhati, atakusikiliza na kufuata maelekezo yako hata kama ana PHD, hata kama ana cheo kazini na kipato kikubwa. Kama umekosea kumchagua hata ukimpata mwanamke asiye na kipato, bado atakusumbua sana tu.

Kama unalalamika kwasbabau anajinunulia vitu vyake mwenyewe, anatoa misaada kwao, n,k jitafakari kwani ulipaswa kushukuru maana amekupunguzia mzigo hilo ni jukumu lako kuyafanya hayo.

Kama unahisi mwanamke wako si mwema kama unavyotuaminisha, basi wewe ni sehemu ya tatizo, maana ni wewe ndiye ulimchagua na kumleta. Inawezekana tatizo la msingi si mwanamke, hebu tulia utafakari, labda tatizo lako la msingi ni kutojiamini kwako, wivu (Dalili ya kutojiamini), huna upendo naye, ulikosea kuchagua, au hali ngumu ya maisha, hivyo rekebisha tatizo la msingi badala ya kumlaumu mwanamke.

Vinginevyo kama hali itanendelea hivi ya kulaumu na kulalamika itakuwa vigumu kutofautisha kati ya mwanaume na mwanamke
 
Nakubaliana na wewe na je huu utii kuwepo ama kutokuwepo kuna jinsi mmoja wa wana ndoa au wote wanaweza sababisha hali ya utii kutokuwepo? Na vipi mada ya pesa za mwanamke kutoonekana ktk familia mkuu?
 
Binafsi sina cha kuoffer mate, Kama maazimio ya kikao yamebadilika tujulishwe 😅
 
siyo kila ukisikia samaki mmoja akioza basi wanaoza wote kuna zaidi ya hilo, ni muhimu utumie yako vizuri.
 
Nakubaliana na wewe na je huu utii kuwepo ama kutokuwepo kuna jinsi mmoja wa wana ndoa au wote wanaweza sababisha hali ya utii kutokuwepo? Na vipi mada ya pesa za mwanamke kutoonekana ktk familia mkuu?
Kwanza Ndoa ni muungano mmoja kutoka kwa mwanamke na mwanaume.
Mambo ya fedha/uchumi/kipato vyote huwekwa kwa pamoja na kiongozi wa nyumba anakua mume, kisha mke anabaki kua mshauri wa mumewe.
Mke anae mtii mume wake hauwezi kuta hata siku moja anasema hii pesa ni yakwake, bali atasema kipato anachi kipokea ni chakwao "yeye na mume wake.
Ukikuta mwanamke anaepeleka pesa kwao pasipo mume wake kutoa ruhusa basi huyo mwanamke hafai kua mke kwasababu hana utii. Lakini ukikuta familia ya mke inayo pokea chochote kutoka kwa binti yao pasipo kufahamu mume wa binti yao, basi hapo ujue mume hana mke na anapaswa aivunje hiyo ndoa.
Mimi ukweni kwangu mke wangu hawezi akaenda bila ruhusa yangu na nyumba yenye mamlaka mbili kamwe haijawahi kusimama na kufanikiwa mkuu.
 
Binafsi sina cha kuoffer mate, Kama maazimio ya kikao yamebadilika tujulishwe 😅
Naona wameanza kutoa milio tuchangie pesa zetu..!! 😹
Wao si ndio wamesema mwanamke hasomeshwi, sasa mshahara kwani unawahusu wao ndo walikuwa watoa school fees 🤣

Kina kassongo bhana yamewafika shingoni tairi zimepata pancha..!!
 
Hatutaki turudi kule kule kwenye ile kauli yenu, “Wanawake zaidi ya papuchi hawana cha kutuoffer” 😹😹
 
Mwanamke ana kiwango kidogo sana cha uwezo wa kuhimili nyakati zake za mafanikio akiwa na hekima. Kwa usalama wa mahusiano/ndoa weka kambi kwa mwanamke ambae umemzidi kila kitu kwa mbali. Hata ukiamua kumuinua/kumuwezesha basi fanya kwa kiasi ambacho hawezi kufika kwenye level yako. Is not inferiority complex, it's wisdom.
 
Nashukuru mkuu naamini kuna la kujifunza hapa, kila kitu kianatokana na misingi watu waliyojiwekea
 
Kuna huu msemo nimeusikia juzi unasema "Wanawake wanapenda madaraka, ila hawapendi majukumu."

Bado naufikiria kwa kina.
Wakati wanapigania usawa hawakuwaza kwamba ili balance iwepo basi ni sharti haki sawa iambatane na wajibu sawa. Matokeo yake ndio haya sasa wanataka nafasi ya mwanaume lakini hawataki wajibu unaomfanya mwanaume kupewa iyo nafasi. Wanawataka privilege ya mwanamke lakini hawataki wajibu unaomfanya mwanamke kupewa iyo privilege.
 
So wew dingi alijipigia tu ukapatikana mkuu ama inakuwaje , since immemorial time or dawn mwanaume inabidi alishe familia yake, mbona jogoo halalamiki yeye , pia swala dume anamiliki majike 30 kazi yake anatafuta nyasi wanakula ujira wake ni kujilia maku tu, yaani tumepewa mbavu,kifua kipana , mabega yetu hata mikono Iko quite different from women Ila wao wamebArikiwa kiuno kipana wazae na sie tupige tuwinde tulete mnyama nyumbani yeye apike chakula man , atakuwa ana Kuni na maji pia yatakuwepo , ni viumbe dhaifu mno na ndio mana kukimbia ni ishu ya kubonyeza ukiwa na shida.

In short nature imechukua asilimia nyingi za maumivu kwa wanaume wao maumivu yao ni kuzaa tu mkuu, ww ungua jua. Binafsi nilikuwa na wasomi nikaona hatuwezi enda nao mbali nikajichukulia binti mbichibichi bikra alikuwa na 16 mie ninayo 27 nikaoa baada ya kumaliza chuo so I know everything is over my shoulders.
Hata babu na baba walikuwa ivyo ivyo , mie sihitaji aje kunisaidia Bali atimize majukumu yake Kama mke basi, ananizalia ananipikia unachotaka kwa mwanamke ni nini Sasa??

So wewe unakuwa comfortable mnapokutana jioni Naye akatoka kuwinda pori la Serengeti na wewe ulikuwa pori la ngorongoro mnaanza kuelezana changamoto ama vituko ulivyokutana navyo na yeye aalivyokutana navyo,.
That's what you want, do you think where is your manly or manhood mkuu akiwa Naye anaingia porini mara ameua mbogo na wewe umeua swala, hili suala liko kwenye nature ivi unaelewa nature kweli ama unatania.
Yaani ndio uumbaji ulivyoumba so wewe ni nani hata ugeuze uumbaji ni sawa uanze kupambana tuwe na macho matatu lingine nyuma yetu Mana tuwe tunaona tunapotoka.

Elewa baada ya uumbaji Muumbaji mwenyewe alisema Kila kitu kipo sahihi machoni pako so sio lazima uumbaji wake uwe sahihi machoni pako so waweza umba dunia yako ili iwe sahihi machoni pako,.

Utaleta swaga eti nikifa wanangu wataishije na je mkifa wote kwani wataishije mkuu shida yetu tunajua kuwa watt wanaishi kwa sababu yetu sisi Ila aliyewaumba ndiye ajuaye kesho yetu

Anything can happen at anytime without your concern.
You don't need to know what's going to happen for you to live.
Nature denied to know what/how tomorrow will be.
Yaani hata uwe nani huwezi jua kesho Kuna nini hata watabiri huwa hawajui siku yao ya kufa najua hii itakuwa ni ajenda
 
Hatutaki turudi kule kule kwenye ile kauli yenu, “Wanawake zaidi ya papuchi hawana cha kutuoffer” 😹😹
Papuchi hiii, tena mwanaume ukicheza cheza hata hiyo papuchi unaweza usipewe, au ukapewa kwa masimango na ratiba

Na wadada wengi wajanja wanajua wanaume wengi watafanya chochote wapate papuchi, so wanautumia huyo mwanya kujinufaisha.

Ndo maana mashalubela wengi tumeamua kuwa wanunuaji wa maafisa utamu, unachagua shape unayotaka, mzigo ni uhakika kwa mda unaotaka, usumbufu hamna, kikubwa ni kujilinda na gono, HIV, UTI etc Lamomy
 
Wewe ndo umenielewesha.

Jukumu la ME ni kutunza familia yake, ndugu zake na ndugu wa mke.

Lakini KE msomi anahudumia ndugu zake.

Kwahiyo ME anabaki kuhudumia familia na ndugu zake basi.

Aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…