Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Mwanamke hakuna mahali kwenye maandiko, asili ya maisha ya Mwanadamu alipopewa nafasi ya kuongoza kiibada au kiutawala.
Baada ya kuletewa hizi dini za wageni, dini za michongo tunawaona wanawake wanakuwa (Wachungaji) manabii shetani ameshika hatamu kwa kupitia Wanawake. Wanaume tumekuwa dhaifu wanawake ni wakukaa nyumbani tu na kumsikiliza mme wake over.
Shetani yupo karibu na mwanamke,kwahiyo ndugu zangu amkeni utumwa bado unatutafuna, wanaume baadhi wamekuwa kama wanawake.
Unampa Mwanamke elimu ili awe kiongozi wako 🤔 tena hii elimu ya kiutawala. Mwanamke apewe elimu ya kumjua Mungu na njia sahihi sio elimu ya kidunia.
Mwanamke mwenye hofu ya Mungu ni bora kuliko mwanamke mwenye elimu ya degree n.k kama unabisha njoo kwa hoja yenye fact.