Mwanamke ni mtu wa kukaa nyumbani na kumsikiliza Mume wake, nani anabisha?

Hizo kazi za nyumbani tangia Enzi za mababu zetu ni kazi za wanawake na kazi za wanaume ni kuhakikisha tunatunza familia na kuiongoza.

Wanawake wapo Ili wazae na walee watoto.Cha ajabu maendeleo ya Dunia pamoja na elimu yamevuruga mfumo mzima wa kimajukumu kwenye familia sasa hivi.

Mwanamke na Mwanaume wote wanafanya kazi wanaondoka asubuhi mapema sana na kurudi usiku kutoka kazini wote wamechoka.

Wote wanahitaji kupumzika.Mume anakosa wa kumpumzisha na kumliwaza na hustle zake za siku sababu nyumba tayari Ina wanaume wawili (mmoja kasoro kiungo tu) wote wanafanya kazi.

Watoto wanakosa malezi ya mama.House gelo ndyo anakuwa kama mke wa Baba na Mama ni mivurugano tu.

Mwanamke wa sasa hivi Dunia imemtengeneza kuwa mwanaume.
 
Sasa uchumi hauruhusu mzazi mmoja kumudu mahitaji yote, lazima baba na mama wasaidiane, labda kama baba ni fogo, kitu ambacho hakipo kwenye asilimia kubwa ya familia.....
 
Ni kweli Mzee lakini Hilo jukumu familia nzima inamuangalia Baba Hadi huyo mke mwenye kazi.

Mimi nilikuwa nafikiria wote kama wanalipwa mshahara basi wakipokea tu mshahara wote wanaweka mezani na kuupangia bajeti hakuna kuficha hata chembe.

Na mshahara wa mke uwe controlled na mwanaume.Sio kumwonea ila.
 
Hizo kazi za nyumbani tangia Enzi za mababu zetu ni kazi za wanawake na kazi za wanaume ni kuhakikisha tunatunza familia na kuiongoza.

Wanawake wapo Ili wazae na walee watoto.Cha ajabu maendeleo ya Dunia pamoja na elimu yamevuruga mfumo mzima wa kimajukumu kwenye familia sasa hivi.

Mwanamke na Mwanaume wote wanafanya kazi wanaondoka asubuhi mapema sana na kurudi usiku kutoka kazini wote wamechoka.

Wote wanahitaji kupumzika.Mume anakosa wa kumpumzisha na kumliwaza na hustle zake za siku sababu nyumba tayari Ina wanaume wawili (mmoja kasoro kiungo tu) wote wanafanya kazi.

Watoto wanakosa malezi ya mama.House gelo ndyo anakuwa kama mke wa Baba na Mama ni mivurugano tu.

Mwanamke wa sasa hivi Dunia imemtengeneza kuwa mwanaume.
Shukhuran. Amen ubarikiwe🙏🙏
 
Sasa uchumi hauruhusu mzazi mmoja kumudu mahitaji yote, lazima baba na mama wasaidiane, labda kama baba ni fogo, kitu ambacho hakipo kwenye asilimia kubwa ya familia.....
We siku moja upate mimba ya mke wako labda maana sikusaidizana.
 
Mnaosema zama zimebadikika kwan hao wanawake wamebadilika kwamba hawazai tena au wanaume wanapata hedhi sikuizi??

Tuache porojo mtoa mada ameleta ukweli halisi na ukikengeuka ukweli huu lazima kuna kitu kitakupata

Mwanaume atabaki kua kichwa cha familia daima na mwanamke atabaki kuwa msaidizi(mlezi) wa familia
 
Back
Top Bottom