Mwanamke ni mtu wa kukaa nyumbani na kumsikiliza Mume wake, nani anabisha?

Siongei na vijana msio jielewa
Unafikiri kumuweka mke wako ndani kama chupi kutakufikisha popote

Lazima achakalike maana hakuna anayejua kesho tatizo mnawaza wadada wenye vishundu na makope mkitegemewa kupewa visamvu ndio wawe wake zenu
Wapi kwenye Biblia pameruhusiwa mwanamke kuwa kiongozi wa kanisa au Mchungaji,? Ukitoa jibu nabatizwa hapahapa,,

Hakuna kitabu kinachoruhusu mwanamke kuwa hustler hutaki kukubali ukweli jinyonye,hiyo Biblia unayokoti hata huelewi imekufundisha nn
 
kwahiyo mkuu unasaidiwa maisha na mkeo😀😀 aisee
sisi tarime hilo halipo
 
Umevuta banginza wapi?
Wapi nimequote bible hapo?

Acha kukurupuka hapo nimeongea sense tu kuwa lazima wote mtafute mlete nyumbani ili siku usipokuwepo yeye ajue pa kuanzia

Siumeona lakini yule jamaa aliegongwa na mwendokasi mke wake alikua mama wa nyumbani sasa hivi anategemea misaada

Ila kama angekuwa anajishughulisha angesaidia kitu kipindi mumewe hajiwezi

SOMA KABLA UJACOMMENT SIKU NYINGINE UNATAFUTIA WATU BAN BURE TUKUTUKANE
 
Sijaoa
Pia akili za vijana wa tarime huwezi fananisha na wanaume ambao tumekulia mjini

Huku hakuna shamba kwamba nikifa mke wangu atakwenda kulima

Huku ni kuchakalika kwa akili na biashara lazima umuwekee mkeo hali ya kujua kuendesha vitu bila hasara
 
Umevuta banginza wapi?
Wapi nimequote bible hapo?

Acha kukurupuka hapo nimeongea sense tu kuwa lazima wote mtafute mlete nyumbani ili siku usipokuwepo yeye ajue pa kuanzia

Siumeona lakini yule jamaa aliegongwa na mwendokasi mke wake alikua mama wa nyumbani sasa hivi anategemea misaada

Ila kama angekuwa anajishughulisha angesaidia kitu kipindi mumewe hajiwezi

SOMA KABLA UJACOMMENT SIKU NYINGINE UNATAFUTIA WATU BAN BURE TUKUTUKANE
We kweli chenga. 😁 huo ni mfano.
endelea kupambana mke wako.
 
Sahihi. Ila hasitoke mazingira ya nyumbani.
Mfano tunauza maji. Mwanamke anafunga maji me napeleka sokoni naye anauza hapo nyumbani.

Hahaha nimekuelewa sana
Napenda wanaume wenye wivu kama wewe maana ndio upendo wenyewe
Mradi tu uwezo wa kutunza mke uwepo
 
Umevuta banginza wapi?
Wapi nimequote bible hapo?

Acha kukurupuka hapo nimeongea sense tu kuwa lazima wote mtafute mlete nyumbani ili siku usipokuwepo yeye ajue pa kuanzia

Siumeona lakini yule jamaa aliegongwa na mwendokasi mke wake alikua mama wa nyumbani sasa hivi anategemea misaada

Ila kama angekuwa anajishughulisha angesaidia kitu kipindi mumewe hajiwezi

SOMA KABLA UJACOMMENT SIKU NYINGINE UNATAFUTIA WATU BAN BURE TUKUTUKANE
Upo sahihi mkuu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom