Wapi kwenye Biblia pameruhusiwa mwanamke kuwa kiongozi wa kanisa au Mchungaji,? Ukitoa jibu nabatizwa hapahapa,,Siongei na vijana msio jielewa
Unafikiri kumuweka mke wako ndani kama chupi kutakufikisha popote
Lazima achakalike maana hakuna anayejua kesho tatizo mnawaza wadada wenye vishundu na makope mkitegemewa kupewa visamvu ndio wawe wake zenu
kwahiyo mkuu unasaidiwa maisha na mkeo๐๐ aiseeSiongei na vijana msio jielewa
Unafikiri kumuweka mke wako ndani kama chupi kutakufikisha popote
Lazima achakalike maana hakuna anayejua kesho tatizo mnawaza wadada wenye vishundu na makope mkitegemewa kupewa visamvu ndio wawe wake zenu
Ukikaa nyumani kuna kazi unafanya. Au unataka utoe msaada gani MamaUnamaanisha tukae nyumbani kabisaaa!!???
Hutaki usaidizi wewe!?
Umevuta banginza wapi?Wapi kwenye Biblia pameruhusiwa mwanamke kuwa kiongozi wa kanisa au Mchungaji,? Ukitoa jibu nabatizwa hapahapa,,
Hakuna kitabu kinachoruhusu mwanamke kuwa hustler hutaki kukubali ukweli jinyonye,hiyo Biblia unayokoti hata huelewi imekufundisha nn
Samahani we Mwanamke au Mwanaume?Hivi mpaka leo hii bado kuna wanaume wenye msimamo huu?!๐ซข
shukhuran ๐ huyu kijana ni mtumwa ndo maana tegemezikwahiyo mkuu unasaidiwa maisha na mkeo๐๐ aisee
sisi tarime hilo halipo
Ukikaa nyumani kuna kazi unafanya. Au unataka utoe msaada gani Mama
Sijaoakwahiyo mkuu unasaidiwa maisha na mkeo๐๐ aisee
sisi tarime hilo halipo
We kweli chenga. ๐ huo ni mfano.Umevuta banginza wapi?
Wapi nimequote bible hapo?
Acha kukurupuka hapo nimeongea sense tu kuwa lazima wote mtafute mlete nyumbani ili siku usipokuwepo yeye ajue pa kuanzia
Siumeona lakini yule jamaa aliegongwa na mwendokasi mke wake alikua mama wa nyumbani sasa hivi anategemea misaada
Ila kama angekuwa anajishughulisha angesaidia kitu kipindi mumewe hajiwezi
SOMA KABLA UJACOMMENT SIKU NYINGINE UNATAFUTIA WATU BAN BURE TUKUTUKANE
๐๐๐ Kweli nyani aoni kunduleWe kweli chenga. ๐ huo ni mfano.
endelea kupambana mke wako.
Sahihi. Ila hasitoke mazingira ya nyumbani.Kwa waliojiajiri mke ni msaidizi bora zaidi kwenye kazi zao
Hapo lawama kwa nani. We ndo dishi layumba Nyie ndo mnapenda wanalamba lips. Afu utegemee Mwanaume ๐Dishi lako limeyumba. Wanaume wenyewe ndo hawa walamba midomo? Nikae nakusubiri nyumbani uje na harufu ya bangi mxiew
Ndo umeandika nini? ๐ฎHapo lawama kwa nani. We ndo dishi layumba Nyie ndo mnapenda wanalamba lips. Afu utegemee Mwanaume ๐
Matusi ni maoni ๐ค kuwa na adabu basiPunguza jazba[emoji23] hili ni jukwaa la maoni....
Sahihi. Ila hasitoke mazingira ya nyumbani.
Mfano tunauza maji. Mwanamke anafunga maji me napeleka sokoni naye anauza hapo nyumbani.
Upo sahihi mkuuUmevuta banginza wapi?