Mwanamke ni mtu wa kukaa nyumbani na kumsikiliza Mume wake, nani anabisha?

Kiuhalisia shetani hakumfata mwanaume kule kwene bustani bali alimfata mwanamke na kumdanganya

Kwahyo hata sasa tunaletewa hii mifumo ya kidunia kwa njia ya feminism ili tuone kwamba hawa wanawake ni sawa na wanaume

Anajua mwanamke akishamtawala mwanaume bas kazi yake inakua rahisi sana

Jiulize ni kwann mambo ya ushoga yanazidi kishamiri? Lengo ni kumaliza kizazi hasa wanaume, wanaume wakishakua wanawake kazi imekwisha

Wanaume tushtuke tuache ufala wa kusema mwanamke anatakiwa kufanya kazi ili kutunza familia, usaidizi anaotakiwa kutoa mwanamke ni kulea familia(watoto) na kumtunza mumewe
 
Wanawake afanye kazi kupata pesa yake ya matumizi madogo madogo ,na kusaidia ndugu zake pale anapoweza ,ila mambo mengne ya apo nyumbani wanaume ayafanye kwa 100%
 
Hakika
 
Tatizo wanaume tumebaki wachache. Kijana anainjoi kulelewa tuko na wanaume Marioo tu wanaume wavivu wa kufanya kazi.
 
Ukitaka kujua mwanamke Hawezi tunza familia na sio asili yao kutunza familia angalia mume akiporomoka kiuchumi alafu mke mwenye kazi akashikilia usukani japo Kwa miezi miwili.Hiyo nyumba mwanaume atalalamikiwa Sana na huyo mwanamke ilhali anaelewa hali anayoipitia mwanaume.Hii ni kwasababu mwanamke hajaumbiwa kutunza familia Bali kuilea familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…