Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
Should be priotized because women deserve queen treatmentSee how selfish you are.
Men should prioritize woman in return of what??
Tukiwa submissive inatoshaDo women have to prioritize their men??
Itaskikaje kati hamtilii maananiComplain kuwa yupo Busy ilibidi isivuke mwaka tayari iwe imesikika.
Ila ndoa ishafika miaka 20 ndio unasema hayo huo ni unafiki.
Do men deserves King treatment? From whom??Should be priotized because women deserve queen treatment
Angalau hata mngekuwa ila ukiwa na Submissive women(feminine) yule wa naturally sio wale wa ku fake life hamuwezi kufika huko.Tukiwa submissive inatosha
Hivi kwa akili ya kawaida mwanaume anaejitafuta na mwanaume ambae ameshajipata nani anakuwa yupo Busy??? Sasa kwanini Hatusikii kesi kama hizi kwa Vijana ambao bado wapo kwenye kujitafuta tunazisikia kwa wale ambao tayari wamepiga hatua kubwa kwenye maisha yao??Itaskikaje kati hamtilii maanani
Men should be treated with respect n admiration tuDo men deserves King treatment? From whom??
Utajuaje huyu ana fake life? ..what if the woman is trying to bring her best version n you end up thinking she's fakingAngalau hata mngekuwa ila ukiwa na Submissive women(feminine) yule wa naturally sio wale wa ku fake life hamuwezi kufika huko.
We us ladies we have another life outside marriage ..Ila Ladies now days mnaangalia upande wenu tuu. Hauoni kama yule ni life paternal wako. Maisha yake ndio yako. Cha kusikitisha Mwanaume anawaza juu ya familia yake ila Mwanamke anawaza Maisha yake yeye anatoboaje yeye kama yeye. Very sad.
Wore wapo busy ila sio busy kwa mwanamke anae mpendaHivi kwa akili ya kawaida mwanaume anaejitafuta na mwanaume ambae ameshajipata nani anakuwa yupo Busy???
Kesi za hivyo zinaskika kama mwanamke ni mama wa nyumbaniSasa kwanini Hatusikii kesi kama hizi kwa Vijana ambao bado wapo kwenye kujitafuta tunazisikia kwa wale ambao tayari wamepiga hatua kubwa kwenye maisha yao??
Tukiwa focused mnatuita wabinafsiAll in all punguzeni ubinafsi aisee.
Kwanini Isiwe King treatment??Men should be treated with respect n admiration tu
Fake and OG are obvious isipokuwa kwa wasiowafahamu wanawake.Utajuaje huyu ana fake life? ..what if the woman is trying to bring her best version n you end up thinking she's faking
Sasa haya ndio tunayoyasema. Hiyo another life ni kwa ajili ya manufaa ya familia au ya kwako.?? Jee Wanaume Nao wawe na Maisha yao outside Marriage???We us ladies we have another life outside marriage ..
Wewe unataka kuthink about Yourself lakini unataka mwanaume akufikirie wewe Sasa si ndio ubinafsi huo.we need to think about ourselves we can't end up with house chores everday ..
Tunawaza kutoboa ili baadae tunawasaidie majukumu
Wanaume wote wanaanza kuwa busy baada ya miaka 20 ya ndoa??Wore wapo busy ila sio busy kwa mwanamke anae mpenda
Wanawake tabia zao zinafanana and to me ni bora huyo unaemuita Mama wa nyumbani kuliko yule anaetoka saa 12 asubuhi anarudi saa 3 usiku alafu hakuna cha maana kinacholetwa kwenye table Pesa yake inaishia vacations,, birthdays za Mashoga zake na Kitchen parties na kununua iPhone. Huku malezi ya watoto Yakisuasua watoto wanalelewa na Dada wa kazi Kama vile yatima.Kesi za hivyo zinaskika kama mwanamke ni mama wa nyumbani
Ameridhia kukaa kuosha vyombo badala ya kujitafuta
You're not focused you're just corrupted.Tukiwa focused mnatuita wabinafsi
Respect is enough for a manKwanini Isiwe King treatment??
Kipi unakiacha alafu una offer only respect na admiration as you have Said??.
Yangu na familiaFake and OG are obvious isipokuwa kwa wasiowafahamu wanawake.
Sasa haya ndio tunayoyasema. Hiyo another life ni kwa ajili ya manufaa ya familia au ya kwako.??
Apo atakuwa Anakimbia wajibu wakeJee Wanaume Nao wawe na Maisha yao outside Marriage???
Sio ubinafsi ..it's all about putting oneself firstWewe unataka kuthink about Yourself lakini unataka mwanaume akufikirie wewe Sasa si ndio ubinafsi huo.
Wajibu wa mwanamke sio kuhudumia ni kuhudumiwKuvunja ndoa na kugawana Mali ndio kusaidiana majukumu??
Mnakuwa mshatuchokaWanaume wote wanaanza kuwa busy baada ya miaka 20 ya ndoa??
Ukifa huyo mama wa nyumbani ataendeshaje familia?Wanawake tabia zao zinafanana and to me ni bora huyo unaemuita Mama wa nyumbani kuliko yule anaetoka saa 12 asubuhi anarudi saa 3 usiku alafu hakuna cha maana kinacholetwa kwenye table Pesa yake inaishia vacations,, birthdays za Mashoga zake na Kitchen parties na kununua iPhone. Huku malezi ya watoto Yakisuasua watoto wanalelewa na Dada wa kazi Kama vile yatima.
I'm just saying the realityYou're not focused you're just corrupted.
What else shouldn't be offered to man. Nataka nijue vitu gani Mwanaume hatakiwi kupewa as a king ila anatakiwa apewe heshima pekee??Respect is enough for a man
Sio kweli. Labda kama unamaanisha familia ya kwenu (Baba yako mama yako na Wadogo na Dada zako).Yangu na familia
Kwanini wewe uwe na maisha yako nje ya ndoa alafu mwanaume asiwe nayo.Apo atakuwa Anakimbia wajibu wake
Putting oneself first is only for women??Sio ubinafsi ..it's all about putting oneself first
Wajibu wa Mwanamke ni Upi??Wajibu wa mwanamke sio kuhudumia ni kuhudumiw
Kama ushawahi kuishi kwenye ndoa kuchokana kwa Wanandoa huwa ni mapema (almost less than 3yrs) sana Kinachobaki ni Upendo wenu na kuvumiliana. Ila 20 au 30yrs ndo useme hayo huo ni Utapeli.Mnakuwa mshatuchoka
Wanawake bwana so kwenye Ndoa Always lazima mwanaume afariki kwanza??Ukifa huyo mama wa nyumbani ataendeshaje familia?
It's not reality.I'm just saying the reality
Hela mwanaume hapewiWhat else shouldn't be offered to man. Nataka nijue vitu gani Mwanaume hatakiwi kupewa as a king ila anatakiwa apewe heshima pekee??
Sababu mwanaume muda wowote anabadilika kama kinyongaSio kweli. Labda kama unamaanisha familia ya kwenu (Baba yako mama yako na Wadogo na Dada zako).
Kwanini wewe uwe na maisha yako nje ya ndoa alafu mwanaume asiwe nayo.
Ni utumwa na ukandamizaji kwa pande zote mbiliIt's seems Ndoa ni Ukandamizaji au ndoa ni Utumwa kwa Mwanaume??
Yes cause men don't know how to put themselves firstPutting oneself first is only for women??
Kuwa submissive kwa mwanaume tuWajibu wa Mwanamke ni Upi??
Ndoa ina Siri nyingi being committed to someone for a life time unadhani mchezo..Kama ushawahi kuishi kwenye ndoa kuchokana kwa Wanandoa huwa ni mapema (almost less than 3yrs) sana Kinachobaki ni Upendo wenu na kuvumiliana. Ila 20 au 30yrs ndo useme hayo huo ni Utapeli.
🤣🤣🤣Kwani nani anatanguliaga sana sana kama sio mwanaumeWanawake bwana so kwenye Ndoa Always lazima mwanaume afariki kwanza??
Ataendeshaje na Mali ulizoacha yet hana exposur yoyote ya kujitafutia labbda kama umeacha urithi wa kutosha na kula bataOkay nikitangulia mimi ataendesha Familia kwa zile mali nilizoziacha.
Then it's factIt's not reality.
😁😁Mfumo wa siku hizi ndo upo hivyo mkuujamii now iko very corrupted kwa ideologies za namna hii.
King treatment ni kupewa hela?Hela mwanaume hapewi
Jee Wanawake huwa hawabadiliki?? Ikiwa wanabadilika Mwanaume nae ajiandalie maisha ya Pembeni??Sababu mwanaume muda wowote anabadilika kama kinyonga
Sasa nimekuelewa unaposimamia.Ni utumwa na ukandamizaji kwa pande zote mbili
Then Do we have to Educate men that they should prioritize themselves first and second and third??Yes cause men don't know how to put themselves first
May be but Now submission is against 'haki sawa' kwanini mmoja awe Submissive kwa mwenzake??Kuwa submissive kwa mwanaume tu
Mwanamke kuwa Mama wa Nyumbani ndio kukosa Exposure??. It's not absolutely like that. Kuwa na uwezo wa kusimamia Na kuwa exposed ni vitu ambavyo sio lazima viendee sambamba. So expand your dimensions.Ndoa ina Siri nyingi being committed to someone for a life time unadhani mchezo..
🤣🤣🤣Kwani nani anatanguliaga sana sana kama sio mwanaume
Ataendeshaje na Mali ulizoacha yet hana exposur yoyote ya kujitafutia labbda kama umeacha urithi wa kutosha na kula bata
Yes mfumo umekubali and that why Jamii ipo corrupted mno.Then it's fact
😁😁Mfumo wa siku hizi ndo upo hivyo mkuu
Any man who wants queen treatment should be ruled by a womanKing treatment ni kupewa hela?
Mwanamke sio rahisi labda kama umemkoseaJee Wanawake huwa hawabadiliki?? Ikiwa wanabadilika Mwanaume nae ajiandalie maisha ya Pembeni??
An intelligent man does not need that kind of educationSasa nimekuelewa unaposimamia.
Then Do we have to Educate men that they should prioritize themselves first and second and third??
Being submissive ni wajibu wa mwanamke ata kwenye bible imeandikwaMay be but Now submission is against 'haki sawa' kwanini mmoja awe Submissive kwa mwenzake??
Unapataje exposure ya kujitafuta kati unashinda ndani kutwa nzima kutoka ni kuenda sokoni?Mwanamke kuwa Mama wa Nyumbani ndio kukosa Exposure??. It's not absolutely like that. Kuwa na uwezo wa kusimamia Na kuwa exposed ni vitu ambavyo sio lazima viendee sambamba. So expand your dimensions.
What's your idea on this?Yes mfumo umekubali and that why Jamii ipo corrupted mno.
sio kweliNo man is busy for the woman she loves
Sio kweli kivipisio kweli
If a man loves ......a woman can't ask for any effort ata huo ubize hutakuwepomambo mengi muda mchache
kuna kazi, ndugu nk
sasa mtu ahangaikie mapenzi 24/7 kweli?If a man loves ......a woman can't ask for any effort ata huo ubize hutakuwepo
Mwanamke sio rahisi labda kama umemkosea.If a man loves ......a woman can't ask for any effort ata huo ubize hutakuwepo
Absolutely Mwanaume haitaji Queen treatment(Queen treatment is against masculinity). Kama ilivyo kuwa Sio kila mwanamke anastahili queen treatment.Any man who wants queen treatment should be ruled by a woman
So biased. Mimi nazungumzia Wanawake hawa wa Zama zetu sizungumzii Bibi Zetu wa zama hizo kwa sababu wao walikuwa more than just wives material.Mwanamke sio rahisi labda kama umemkosea
No. Elimu inahitajika kwa sababu mfumo haupo upande wao. Mfumo unawasukuma Wanaume wawe Watumwa wa Wanawake kwa kisingizio cha Majukumu na Wajibu.An intelligent man does not need that kind of education
At least Unaelewa hilo. Ila Feminists Hawakubaliani na Hilo.Being submissive ni wajibu wa mwanamke ata kwenye bible imeandikwa
Mbona kuna shughuli nyingi watu wanazifanyia Nyumbani. Trust me Ni makubaliano tuu yanatakiwa ila Mwanamke anaweza kusimamia Biashara na Kuziongoza na kujifunza mambo mengi huku akiwa nyumbani kwake. Very applicable hasa kwa ulimwengu huu wa technologia.Unapataje exposure ya kujitafuta kati unashinda ndani kutwa nzima kutoka ni kuenda sokoni?
Even if i say it. it wont help anymore.What's your idea on this?
This is not applied to me.No man is busy for the woman she loves
Kwanini unapinga ? ThibitishaMwanamke sio rahisi labda kama umemkosea.
Huu uongo huu nakupinga 100%