Mwanamke ni muaminifu kwa hisia zake tu na sio juhudi zako..

Naona tunaanza kuwaelewa wazungu na concept yao ya ndoa za mkataba
 
This is not applied to me.

Personally I prioritize my responsibilities because they are what strengthen and define the bond between us [Me and She].
Just prioritize your responsibility another man will help you to prioritize your woman
 

Wanawake hawanaga huruma.
Ila ni wazuri kuonyesha huruma bandia

Ishi kimaster
 
Sio wote wanatumika

Yaani mwanamke umtumie Miaka nenda Rudi alafu akutishie kuwa usipomhudumia ataondoka au atachukuliwa na wanaume mwingine alafu nawe Roho ikutoke si utakuwa hamnazo.

Wewe kama umepata mwanaume mwingine unayeona wa maana nenda, mwanaume naye apate Fursa ya kuchagua kibinti kingine kibichi

Wanaume washamba ndio huteswa na vikauli mshenzi
 
sikupingi ila some women are irreplaceable come rain come sunshine Kuna mwanamke ukimpoteza huwezi kumpata kama huyo

Tumuulize kaka yetu Jux🤣🤣🤣🤣
 
Absolutely Mwanaume haitaji Queen treatment(Queen treatment is against masculinity). Kama ilivyo kuwa Sio kila mwanamke anastahili queen treatment.
Yupi ambae hana uhitaji na yupi ana uhitaji wa queen treatment?
So biased. Mimi nazungumzia Wanawake hawa wa Zama zetu sizungumzii Bibi Zetu wa zama hizo kwa sababu wao walikuwa more than just wives material.
Kipi kimelete tofauti kati ya wanawake wa sasa na wa zama tukilenga katika (uwife material)?
No. Elimu inahitajika kwa sababu mfumo haupo upande wao. Mfumo unawasukuma Wanaume wawe Watumwa wa Wanawake kwa kisingizio cha Majukumu na Wajibu.
Me naona mwanaume ambae hawajibiki ipasavyo atajiona mtumwa siku zote
Ufeminist ni sawa sawa na toxicity
Mwanaume Gani akubali ufanye biashara ? Labda an intelligent man ila hwa wa kupita ni wanasema uzae ulee watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…