Mwanamke niliyewahi kuishi naye zamani kama MKE, amefariki dunia. Sina raha siku ya 7 leo

Nina Akili Ndogo Sana

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2026
Posts
865
Reaction score
1,125
Miaka zaidi ya 10 iliyopita niliwahi kuishi na binti mmoja wa Mkoa wa kaskazini. Niliishi naye kama 4 months baada ya kuwa majirani next door kwa miezi 7.

Tuligombana na kuachana. Sasa last week rafiki yangu mmoja akanitumia message Whatsapp akisema kuwa "umesikia mtu Fulani amefariki na amekwishazikwa wiki ya pili sasa", jamani nililia kama chizi ingawa sijaonana naye kwa zaidi ya miaka 10 sasa zaidi ya kuchat naye kwa mara ya mwisho mwaka 2023 kule Instagram.

Hata kula nina kula kwa shida saana for the last 6 days. Sasa hivi at least nina kula kula kidogo.

Kumbe kufiwa na wife ndio inavyokuwaga hivi aisee??

Wife amelala.
 
HTye6ibXAAA2tJv.jpg
 
You're still in love.Upate nguvu maisha yaendelee.
 
Furahi ametangulia ameenda kukuandalia makao..., ili siku ukifika huko usihangaike sana!

Kuna watu hawatapata makao kabisa huko maana kila siku tunazika!

Bora wewe wife kakukabia nafasi mapema mkuu!
 
Miaka zaidi ya 10 iliyopita niliwahi kuishi na binti mmoja wa Mkoa wa kaskazini. Niliishi naye kama 4 months baada ya kuwa majirani next door kwa miezi 7.

Tuligombana na kuachana. Sasa last week rafiki yangu mmoja akanitumia message Whatsapp akisema kuwa "umesikia mtu Fulani amefariki na amekwishazikwa wiki ya pili sasa", jamani nililia kama chizi ingawa sijaonana naye kwa zaidi ya miaka 10 sasa zaidi ya kuchat naye kwa mara ya mwisho mwaka 2023 kule Instagram.

Hata kula nina kula kwa shida saana for the last 6 days. Sasa hivi at least nina kula kula kidogo.

Kumbe kufiwa na wife ndio inavyokuwaga hivi aisee??

Wife amelala.
Mungu akupe faraja
 
Back
Top Bottom