Mwanamke niliyewahi kuishi naye zamani kama MKE, amefariki dunia. Sina raha siku ya 7 leo

Mwanamke niliyewahi kuishi naye zamani kama MKE, amefariki dunia. Sina raha siku ya 7 leo

Miaka zaidi ya 10 iliyopita niliwahi kuishi na binti mmoja wa Mkoa wa kaskazini. Niliishi naye kama 4 months baada ya kuwa majirani next door kwa miezi 7.

Tuligombana na kuachana. Sasa last week rafiki yangu mmoja akanitumia message Whatsapp akisema kuwa "umesikia mtu Fulani amefariki na amekwishazikwa wiki ya pili sasa", jamani nililia kama chizi ingawa sijaonana naye kwa zaidi ya miaka 10 sasa zaidi ya kuchat naye kwa mara ya mwisho mwaka 2023 kule Instagram.

Hata kula nina kula kwa shida saana for the last 6 days. Sasa hivi at least nina kula kula kidogo.

Kumbe kufiwa na wife ndio inavyokuwaga hivi aisee??

Wife amelala.
Pole sana Dunia ni mapito na hayo ndio mapito yake
 
Unahisi Ungekufa wewe kwanza na yeye angepitia hali hiyo?
 
Kuna dada(classmate) alifariki baada ya kuugua cancer kwa mda kidogo, tukaenda Makongo kuaga ili asafirishwe Mara, mumewe alikuwa analia hadi kushikwa kila upande, I was shocked, ila kufiwa na mke/mume nadhani kutakuwa na maumivu makali.
 
Binadamu tunajua kua ipo siku tutakufa,kinachowatia uchungu watu ni yale mazowea na kuona kua huyu mtu sitomuona tena!
 
Nimesoma username yako nikakosa cha kukushauri zaidi ya kucheka tu.
 
Pamoja na akili zako ndogo ila pole sana mkuu
20250927_105128.jpg
 
Nimeshuhudia mara mbili wanaume wakilia baada ya kuwapa taarifa ya vifo vya watalaka wao tena waliachana kwa vurugu na kunyamaziana miaka.

Acha tu watu wasiwaelewe masingo maza kuendelea kuwapa wazazi wenzao!😀
 
Back
Top Bottom