Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Mwwusi, mfupi
Mwwusi, mfupi
Welcome to my ignore listJoined: June 2, 2026 acha utoto wa kifala basi unatuchukuliaje humu sisi wote mandezi au?
Wewe bado ni rafiki yanguUlikua unatumia ID gani?
Sasa hivi mimi sio rafiki yako?
😀
MjedaUlikua unatumia ID gani?
JF wote ni familia mkuu,Wewe bado ni rafiki yangu
Umefiwa na wife? Basi utakuwa nao wengi sanaMiaka zaidi ya 10 iliyopita niliwahi kuishi na binti mmoja wa Mkoa wa kaskazini. Niliishi naye kama 4 months baada ya kuwa majirani next door kwa miezi 7.
Tuligombana na kuachana. Sasa last week rafiki yangu mmoja akanitumia message Whatsapp akisema kuwa "umesikia mtu Fulani amefariki na amekwishazikwa wiki ya pili sasa", jamani nililia kama chizi ingawa sijaonana naye kwa zaidi ya miaka 10 sasa zaidi ya kuchat naye kwa mara ya mwisho mwaka 2023 kule Instagram.
Hata kula nina kula kwa shida saana for the last 6 days. Sasa hivi at least nina kula kula kidogo.
Kumbe kufiwa na wife ndio inavyokuwaga hivi aisee??
Wife amelala.
Kwa vile una akili ndogo sana!Kila siku asubuhi machozi yananitoka.
SawaJapo umefiwa ila mi umenichekesha poles sana . 😃
Tangia ninatumia ile ID yangu ya zamani, huwa una kawaida saana ya kucheka pindi mimi nipatapo matatizo. I know you very well. Nimekwisha kuzoeq.Japo umefiwa ila mi umenichekesha poles sana . 😃
Licha yakua ana akili ndogo sana ila ana utu mnoPole sana Mkuu,
Unaonekana ni mtu mwenye imani sana,
watu kama wewe hua ni rahisi sana hata kuwasaidia wenye uhitaji coz mnakua na hisia ya ubinadamu.
umesahau kumkumbusha aendelee kulipa kodi,...Jikaze mkuu. Maisha lazima yaendelee. Pole sana kwa kuondokewa na mtu wako wa karibu, aliyekuwa msiri wako.
I'm getting overrated here. Wengi wanasema kuwa nina roho mbaya sana.Licha yakua ana akili ndogo sana ila ana utu mno
😂😂😂 Jamani nsamehe broTangia ninatumia ile ID yangu ya zamani, huwa una kawaida saana ya kucheka pindi mimi nipatapo matatizo. I know you very well. Nimekwisha kuzoeq.
Sina la kusema M-makonde mimi😂😂😂 Jamani nsamehe bro
Weeee kumbe we ni mmakonde....Dah ngoja nije inboxSina la kusema M-makonde mimi