Mwanamke niliyewahi kuishi naye zamani kama MKE, amefariki dunia. Sina raha siku ya 7 leo

Mwanamke niliyewahi kuishi naye zamani kama MKE, amefariki dunia. Sina raha siku ya 7 leo

Yule mwanamke namuombea maisha marefu coz amenikomaza kuwa mwanamme,nilijifunza namna ya ku take risk kama baba kwa kuchukua mikopo na kujenga maeneo ambayo hata watu hawakuona umuhimu wake Leo kumezungukwa na watu wengi na biashara zinafanyika!

Sitopenda aondoke mapema coz Kuna watoto tulizaa,spending watoto walelewe na mama mwingine zaidi ya mama yao!!

Riziki iliishia njiani ndio maana nikifanya maamuzi magumu coz nilijua sitostawi tena nikiwa nae zaidi ya kupigana pini nankishindana!!

Mwenyezimungu mape maisha marefu anilelee wale vijana wangu wanne!!

Namuombea hivyo hivyo alivyo hata kama yupo vile!!nitatega masikio yangu kusikia kinachoendelea kumhusu!!
 
Mm sikupi pole
Mshukru MUNGU kama huyn mwanamke alikuwa mchaga!

sasaiv ungekuwa umekufa wewe!
 
Miaka zaidi ya 10 iliyopita niliwahi kuishi na binti mmoja wa Mkoa wa kaskazini. Niliishi naye kama 4 months baada ya kuwa majirani next door kwa miezi 7.

Tuligombana na kuachana. Sasa last week rafiki yangu mmoja akanitumia message Whatsapp akisema kuwa "umesikia mtu Fulani amefariki na amekwishazikwa wiki ya pili sasa", jamani nililia kama chizi ingawa sijaonana naye kwa zaidi ya miaka 10 sasa zaidi ya kuchat naye kwa mara ya mwisho mwaka 2023 kule Instagram.

Hata kula nina kula kwa shida saana for the last 6 days. Sasa hivi at least nina kula kula kidogo.

Kumbe kufiwa na wife ndio inavyokuwaga hivi aisee??

Wife amelala.
Sote twatakiwa tujiulize?
Tumetokea wapi? Tokea wapi?
Ukipata jibu sawazisha kwa polepole oooh
Dunia ya Mola sio kwenda nayo kwa mapepe oooh
Mwisho wake sote tunarudi kwa udongooo....
 
Kweli umechanganyikiwa kijana ona hii uliyoandika Kumbe kufiwa na wife ndio inavyokuwaga hivi aisee?? halafu bado unasema umeishi nae 4months halafu anakuwa hapo hapo anakuwa wife. POLE SANA
 
Kweli umechanganyikiwa kijana ona hii uliyoandika Kumbe kufiwa na wife ndio inavyokuwaga hivi aisee?? halafu bado unasema umeishi nae 4months halafu anakuwa hapo hapo anakuwa wife. POLE SANA
She was my first wife/woman I shared a lot with, whatsoever
 
Hesabu tangu siku amefariki ikifika siku ya 40 hiyo hali itapotea yenyewe.
Ni nafsi ya marehemu inahangahika ikisubiri hukumu yake siku ya 40 kama anaenda Gahena/ kuzimu au peponi
 
Back
Top Bottom