Mwanamke niliyewahi kuishi naye zamani kama MKE, amefariki dunia. Sina raha siku ya 7 leo

Pole sana Dunia ni mapito na hayo ndio mapito yake
 
Unahisi Ungekufa wewe kwanza na yeye angepitia hali hiyo?
 
Kuna dada(classmate) alifariki baada ya kuugua cancer kwa mda kidogo, tukaenda Makongo kuaga ili asafirishwe Mara, mumewe alikuwa analia hadi kushikwa kila upande, I was shocked, ila kufiwa na mke/mume nadhani kutakuwa na maumivu makali.
 
Binadamu tunajua kua ipo siku tutakufa,kinachowatia uchungu watu ni yale mazowea na kuona kua huyu mtu sitomuona tena!
 
Nimesoma username yako nikakosa cha kukushauri zaidi ya kucheka tu.
 
Pamoja na akili zako ndogo ila pole sana mkuu
 
Nimeshuhudia mara mbili wanaume wakilia baada ya kuwapa taarifa ya vifo vya watalaka wao tena waliachana kwa vurugu na kunyamaziana miaka.

Acha tu watu wasiwaelewe masingo maza kuendelea kuwapa wazazi wenzao!😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…