Mwanzo 1:26 - 27
Kisha Mungu akasema, “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; atawale samaki wa baharini, ndege wa angani, wanyama wa kufugwa, dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo.” Basi, Mungu akaumba mtu kwa mfano wake; naam, kwa mfano wake Mungu alimuumba. Aliwaumba mwanamume na mwanamke.
Ukiwa unaandika vitu ukumbuke kuonyesha ushahidi wa unachokizungumza na hivi huficha ujinga wako. Mungu aliumba mwanamke na mwanaume kwa mfano wake kabisa hapo mwanzo kwa mda mmoja na wakapuliziwa pumzi ya uhai. Huu uumbaji umetokea mwanzo 1: 26-27
Mungu alipoona kuna duniani mbali na kujiweka karibu na binadamu hawakuwa karibu nae hivyo akafanya uumbaji wa pili. Hapa ndio tunamuona Mungu anamuumba Adam na Eva, ila hawa hawakuwa watu wa kwanza duniani kwa kuwa duniani teyari kulikuwa na watu wengine kama magiant n.k. Pale kaini alipomuua Abeli basi Mungu alimuweka Cain chapa siuliwe na mataifa na Kain alitoka na kwenda kuoa watu ambao walikuwepo teyari (soma Mwanzo 4 16-17). Kwa hiyo Cain alienda kwenye nchi yenye watu na akaoa. .
Sasa baada ya Mungu kuona kuwa watu wamemsahau akafanya uumbaji ambao unazungumziwa mwanzo 2. Hapa tunaona Mungu alifanya bustani ya Eden na alikuwako mtu mwanaume anaitwa Adam. Baadae Mungu akachukua mfupa kwenye ubavu wa mwanaume na kumfanya mwanamke (Soma mwanzo 2:15-25). A woman is reffered to as Helper in this Bible chapter. Therefore this is important a woman is for this man to be helping him and God to notice. Wewe unasema mwanamke sio mtu kwa mujibu wa Biblia which is not true. Ila ukumbuke kuna WOMEN BIBLE na MEN BIBLE siku hizi usije changanya na THE HOLLY BIBLE. .
Sasa Mungu alimuumba Adam na Eva ili kupitia wao Yesu azaliwe akomboe dunia. Aliwaumba hawa ili ajenge ukaribu na binadamu na ndio maana akachagua taifa teule la Israel ili kupitia Israel wamjue Mungu. Mungu alitaka ajidhihirishe kwa wanadamu kupitia taifa lenye usafi na kutimiza ahadi alizotoa ikiwemo ujio wa masihi. Science inatambua kipindi cha Adam na ndio maana katika historia wanazungumzia Adamic period. Ila kuna period ambazo ziko kabla ya Adam. Kama hujaelewa tena hpa basi tufanye umefika ukomo wa kuelewa mambo na tuishia hapa. .
Sitaki kuulizwa nimeandika vitu vinavyoeleweka kabisa. Kama hujaelewa vunga tutakutana motoni nina dhambi kibao hapa nilipo. .