Mwanamke siyo mtu kwa mujibu wa Biblia

Mwanamke siyo mtu kwa mujibu wa Biblia

Mnapoandika vitu muwe mmesoma na kujipa maarifa ya kutosha.

Mtu = Mwanaume + Mwanamke kwa ujumla wao

Usilinganishe kati ya mtu na mwanadamu
Mkuu acha basi!!!!
Ni Watu sio Mtu
 
Habari,
Kwanza lazima tutambue kitu, biblia ni kitabu kinachofuata mfumo wa kawaida kabisa wa uandishi. Kwa mfano inaposema "Hapo mwanzo" maana yake inakupa inakupa introduction ya past na Kisha inakuleta sasa, inakupa malengo ya inachokwambia nk. Ni kama project proposal Kwa wale waandishi wa hiyo.

Sasa ukisoma kitabu Cha Mwanzo 1, utagundua ni summery ya mambo ambayo baadhi yake yanakuja kuelezewa Kwa urefu mbele au kwenye vitabu vinavyofuata. Kwa ufupi ni kama hints ya following sura na Aya.

Sasa mfano, inaposema kwenye mwanzo 1:27 kwamba Mungu akafanya mtu Kwa sura na mfano wake akaumba mwanaume na mwanamke, maelezo marefu ya namna Gani alifanya unayaoata kwenye sura ya 2 ya hicho kitabu Cha Mwanzo. Ndio huko unakutana na namna Mungu alivyoona Adam ni mpweke akampa usingizi mzito akamtoa ubavu wake akamuumba Eva/Hawa. By the way hata jina Mwanamke alilitoa Adam alipoamka kutoka kwenye huo usingizi.

Kwa mantiki hii si busara kuishia kusoma msitari mmoja wa biblia na kufanya conclusion. Biblia haiko hivyo, biblia imeandikwa Kwa mafumbo ambayo yanahitaji ufahamu wa akili na WA kiroho kuielewa. Sasa Kuna wale ambao wanasema kuwa Hawa wanawake waliumbwa wawili yule wa Mwanzo 1 na yule wa Mwanzo 2. Mi sitaki kuingia kwenye Hilo sababu halina uthibitisho sana kibiblia zaidi ya ngano za kale. Inawezekana ikawa kweli ama la kwasababu mwisho wa siku biblia imeandikwa na wanadamu na imetafsiriwa na wanadamu pia.
 
Wakuu kama heading inavyoeleza mwanamke sio mtu haya sio maneno yangu kwa mujibu wa biblia kitabu cha mwanzo mungu alimuumba mtu ambaye ni Adamu.

Baada ya kuona Adamu amezubaa zubaa ndipo aliamua kumuumba mwanamke kwa kutumia mbavu na material mengine ambayo mimi na wewe hatuyajui

Kwa ajili hii ndio maana Adam akaambiwa aishi naye kwa akili sababu sio mtu kama yeye.

Adam akazidiwa ujanja mwishowe kilichomkuta sote tunakijua
Mwanzo 1:27
[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
So God created man in his own image, in the image of God created he him; male and female created he them.
 
Hoja ambayo nasoma Bible kama Novel ni ya kwako. Ila huu uzi upo kwa kuelimishana na sio kubishana ningekuelimisha ila ni ngumu mtu kuja kutaka kujifunza na kutaka kubishana. Tufanye hapo umeshinda wewe 😄
Ndiyo ni hoja yangu mie sijaambiwa na mtu!! but kwa jinsi ulivo weye!..kuwa na kaji-cheti ka chuo cha Biblia cha kibinadamu siyo sababu ya kuwa na uelewa kuzidi wanao tembea na Roho Mtakatifu!....

Wapi nimeandika kuwa nabishana??….., Na uko sahihi kuelimisha wenzio km weye!.. ili muendelee kuidanganya Dunia…….. binafsi kamwe sinto Elimishwa na kizazi cha Nyoka mie!

sababu kinaijua Biblia mnoo na KInyume. kinaongoza kwa kuichakachua Biblia Duniani kote tangu zama! tena kinakupa na references kabisaa!......Shetani alipokuwa ana mjaribu Yesu alimwambia Yesu kwa kurejelea Biblia.....

na weye leo umefanya vile vile km alivyo fanya Baba yako Satan …..Nenda zako shetani sidanganyiki!!!!……..
 
Roho mtakatifu kakushauri useme hivi unajua ulichokizungumza
🤣 🤣 🤣 Nenda kasome 2 Petro 3:8
Nachelea kusema kwamba hukuelewa rudi tena hapo chuoni uwaambie walikosea kukufundisha!warudishe hela ya kanisa haraka…....na hao wachungaji wako waelimishe au waje niwafundishe!!

sikia sasa…..Siku Elfu moja kwa Bwana ni kama ( au..ni sawa na....) siku moja tu! Mbona rahisi tu?? unashindwa nini hapo dogo?km siyo kizazi cha naniliu kweli??...…..

Kamwe Biblia ya Mungu wa kweli haijasema siku moja ya kibinadamu ni miaka Elfu moja ya kibinadamu!!…...hayo ni yako na wenzako wa kuzimu, najua utanishtaki huko kuzimuni kwenu hawaniwezi!!

Usiisome Biblia Takatifu kichwa kichwa! km Novel Narudia hapo sijakosea!! lengo langu mie ni ili wewe uende Mbinguni tena ni bure hakuna gharama yeyote! utaangamia kijana! ...hutaki!! nikufanyje sasa??

Kwenda mbinguni peke yangu hakuni faidii kitu!! ...na wala sifurahi weye kuangamia km wengi wanavyo furahi nyie waovu kuangamia!! ila nacho taka utubu tu kuwa utaacha kumlisha Mungu wangu maneno!

Na pia achana na biblia za chocho hizo kijana zitakuingiza chaka mnoooooo! halafu unayaleta humu JF bila hata chembe ya aibu humu kwa waelewa?? unadhania sie vilaza au?? weweeee!!...

Tubu haraka sana uende mbinguni!! ukifanya moyo wako kuwa mgumu nita kucheck jehanamu!...WKt ukila vihepe vya Bwana devil na kusaga meno! Km mwenzio jiwe!...
 
Habari,
Kwanza lazima tutambue kitu, biblia ni kitabu kinachofuata mfumo wa kawaida kabisa wa uandishi. Kwa mfano inaposema "Hapo mwanzo" maana yake inakupa inakupa introduction ya past na Kisha inakuleta sasa, inakupa malengo ya inachokwambia nk. Ni kama project proposal Kwa wale waandishi wa hiyo.

Sasa ukisoma kitabu Cha Mwanzo 1, utagundua ni summery ya mambo ambayo baadhi yake yanakuja kuelezewa Kwa urefu mbele au kwenye vitabu vinavyofuata. Kwa ufupi ni kama hints ya following sura na Aya.

Sasa mfano, inaposema kwenye mwanzo 1:27 kwamba Mungu akafanya mtu Kwa sura na mfano wake akaumba mwanaume na mwanamke, maelezo marefu ya namna Gani alifanya unayaoata kwenye sura ya 2 ya hicho kitabu Cha Mwanzo. Ndio huko unakutana na namna Mungu alivyoona Adam ni mpweke akampa usingizi mzito akamtoa ubavu wake akamuumba Eva/Hawa. By the way hata jina Mwanamke alilitoa Adam alipoamka kutoka kwenye huo usingizi.

Kwa mantiki hii si busara kuishia kusoma msitari mmoja wa biblia na kufanya conclusion. Biblia haiko hivyo, biblia imeandikwa Kwa mafumbo ambayo yanahitaji ufahamu wa akili na WA kiroho kuielewa. Sasa Kuna wale ambao wanasema kuwa Hawa wanawake waliumbwa wawili yule wa Mwanzo 1 na yule wa Mwanzo 2. Mi sitaki kuingia kwenye Hilo sababu halina uthibitisho sana kibiblia zaidi ya ngano za kale. Inawezekana ikawa kweli ama la kwasababu mwisho wa siku biblia imeandikwa na wanadamu na imetafsiriwa na wanadamu pia.
Mwanamke wa kwanza yupi mkuu Lilith
 
Mwanamke wa kwanza yupi mkuu Lilith
Ndio mkuu, Kwa mujibu wa hadithi za kimesopotani inadaiwa Lilith ndio aliumbwa pamoja na Adam lakini hakuwa anamtii Adam as it was supposed to be so akafukuzwa na ndio akaja kuumbwa Eva/Hawa. Sasa sitaki kuingia huko maana mjadala wake mgumu sana
 
Hata zama za mitume na na manabii ilikuwa ikipita sensa wanahesabu vichwa vya wanaume tu... Hivyo kwenye Bible ukisikia inatajwa idadi ya watu ujue hao walikuwa ni wanaume tu
Kwenye kugawa vyandarua wanaulizia wanaume tu.....Safi sana tz...
 
Nachelea kusema kwamba hukuelewa rudi tena hapo chuoni uwaambie walikosea kukufundisha!warudishe hela ya kanisa haraka…....na hao wachungaji wako waelimishe au waje niwafundishe!!

sikia sasa…..Siku Elfu moja kwa Bwana ni kama ( au..ni sawa na....) siku moja tu! Mbona rahisi tu?? unashindwa nini hapo dogo?km siyo kizazi cha naniliu kweli??...…..

Kamwe Biblia ya Mungu wa kweli haijasema siku moja ya kibinadamu ni miaka Elfu moja ya kibinadamu!!…...hayo ni yako na wenzako wa kuzimu, najua utanishtaki huko kuzimuni kwenu hawaniwezi!!

Usiisome Biblia Takatifu kichwa kichwa! km Novel Narudia hapo sijakosea!! lengo langu mie ni ili wewe uende Mbinguni tena ni bure hakuna gharama yeyote! utaangamia kijana! ...hutaki!! nikufanyje sasa??

Kwenda mbinguni peke yangu hakuni faidii kitu!! ...na wala sifurahi weye kuangamia km wengi wanavyo furahi nyie waovu kuangamia!! ila nacho taka utubu tu kuwa utaacha kumlisha Mungu wangu maneno!

Na pia achana na biblia za chocho hizo kijana zitakuingiza chaka mnoooooo! halafu unayaleta humu JF bila hata chembe ya aibu humu kwa waelewa?? unadhania sie vilaza au?? weweeee!!...

Tubu haraka sana uende mbinguni!! ukifanya moyo wako kuwa mgumu nita kucheck jehanamu!...WKt ukila vihepe vya Bwana devil na kusaga meno! Km mwenzio jiwe!...
Sasa anayesoma kwa kukariri ni nani kati yangu na wewe?Hebu rudi nyuma uangalie ulichoandika mwenyewe
''Miaka Elfu moja kwa- (Mungu)……..ni sawa sawa na siku moja kwa -(Mwanadamu!!)……...na uumbaji ulipo fanyika hakusema kwamba anafanya uumbaji ule kwa siku zake za Mbinguni!!
😄
😄
 
Biblia imetumia neno Baba na Mfalme kumzungumzia Mungu ila Mungu hana jinsia Yeye sio mwanaume wala sio mwanamke ni roho. Kitu ambacho hujui ni kuwa Roho haina jinsia hata kidogo ndo mana unazuzuka na neno baba. Biblia pia inamzungumzia yesu kama Kaka, kwa kutujumuisha sisi sote kama ndugu zake alipokuwa katika mwili. Pia Biblia inazungumzia kuwa Yesu ni katika ndoa na kanisa, Yeye ni Mume na kanisa ni Mke. .

Ila kufanana na mwanadamu na Mungu ni katikas roho sio katika maumbile ya mwili. Mungu kuitwa baba ni cheo tu ila haipo kwa kuwa ana jinsia anakwenda chooni kama wewe na mimi. Mbinguni kuna chakula ha kushibisha roho ambacho kinakupa ertenity life. Nadhani umenielewa kama hujanielewa siwezi kukueleza zaidi ya hapa. Biblia haisomwi kama genzeti kila kitu kimeandikwa kwa mafumbo ili uweze kutatua hili fumbo ni kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, ndio maana hata Yohana inazungumzia hapo mwanzo kulikuwa na Neno naye neno anatafsiriwa kama Yesu kwa sababu tumefunuliwa kuelewa hilo. .
Kama Mungu siyo mwanamme wala mwanamke mbona wakati anamtuma Yesu kuja ulimwenguni alichagua kuwa mwanamme na siyo mwanamke.
Halafu wale malaika waliotumwa na Mungu kwenda kuangamiza Sodoma na Gomola pia walikuwa wanamme kwa mujibu wa bible.
Manabii na watu wote waliotumwa na Mungu walikuwa wanamme , mfano Elia , Musa , Samson n.k hii yote inamnasibisha Mungu na Uanamme wake.
Ni kweli Mungu ni roho lakini yeye mtofautishe na roho wengine yeye ni wa peke yake, asante.
 
Sasa anayesoma kwa kukariri ni nani kati yangu na wewe?Hebu rudi nyuma uangalie ulichoandika mwenyewe

😄
😄
ni kama nilivo sema hapo awali!! kizazi cha nyoka kamwe hakita ijua Biblia(neno).....pamoja na kazi kuuubwa nayoifanya ya kukufafanulia inadhihirisha kabisaaa weye ndo mwenyewe!!

kila aya kafungu ni hako! hako!! tyuuuuu!!..huyo Petro wako wa agano jipya na Mungu nani Zaidi??
 
Ndiyo ni hoja yangu mie sijaambiwa na mtu!! but kwa jinsi ulivo weye!..kuwa na kaji-cheti ka chuo cha Biblia cha kibinadamu siyo sababu ya kuwa na uelewa kuzidi wanao tembea na Roho Mtakatifu!....

Wapi nimeandika kuwa nabishana??….., Na uko sahihi kuelimisha wenzio km weye!.. ili muendelee kuidanganya Dunia…….. binafsi kamwe sinto Elimishwa na kizazi cha Nyoka mie!

sababu kinaijua Biblia mnoo na KInyume. kinaongoza kwa kuichakachua Biblia Duniani kote tangu zama! tena kinakupa na references kabisaa!......Shetani alipokuwa ana mjaribu Yesu alimwambia Yesu kwa kurejelea Biblia.....

na weye leo umefanya vile vile km alivyo fanya Baba yako Satan …..Nenda zako shetani sidanganyiki!!!!……..
Mwamba umemind vibaya mno 😂😂 daah msamehe tu mambo ya kawaida hayo.
 
Hata zama za mitume na na manabii ilikuwa ikipita sensa wanahesabu vichwa vya wanaume tu... Hivyo kwenye Bible ukisikia inatajwa idadi ya watu ujue hao walikuwa ni wanaume tu
Kwa hyo Tanzania [emoji1241] inaongozwa na na nadharaia ya ubavu wa adamu it's means kitu kisichojjlikan
 
Back
Top Bottom