msakhara
JF-Expert Member
- May 26, 2019
- 277
- 381
So wanaita Mungu baba kimakosa au sio [emoji1]Mtaamo wako roho haina jinsia nadhan ni kusoma vizuri nachosema. Mungu si mwaume wala mwanamke. .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So wanaita Mungu baba kimakosa au sio [emoji1]Mtaamo wako roho haina jinsia nadhan ni kusoma vizuri nachosema. Mungu si mwaume wala mwanamke. .
Nafurahi sana kuona watu wanauliza maswali mazuri kama haya bila kejeli wala matusi.So wanaita Mungu baba kimakosa au sio [emoji1]
Ikiwa ni Mtu, huoni unajifunga mwenyewe mkuu. Kwakuwa neno Mtu ni umoja na si wingiMtu na sio watu...usibadilishe maana
Soma kwa makini haya maandiko, kisha niambie umeelewa mtu ni nani...Ikiwa ni Mtu, huoni unajifunga mwenyewe mkuu. Kwakuwa neno Mtu ni umoja na si wingi
Kwaiyo tunakubaliana sasa kuwa Mungu aliumba mtu mmoja ambaye ni Adamu
Maana maandiko yanasema mungu aliumba Mtu (umoja) na sio Watu.
Maana hata kwa material tu yaliyotumika kumuumba Eva yanaonesha wazi tu kuwa hawa raia walikuwa ni vitu viwili tofauti. Mmoja aliumbwa udongo mwingine kwa mbavu
🙏🙏🙏. Nimeelewa sasaSoma kwa makini haya maandiko, kisha niambie umeelewa mtu ni nani...
Kumbuka haya yakitokea, hakukuwa na huyo Adam wala Eva(Hawa)
Mwanzo 1
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.