Mwanamke siyo mtu kwa mujibu wa Biblia

[emoji23][emoji23][emoji23]..

Kwa utafiti wangu humu Jf nimegundua wanaume wengi wanalalamika kuhusu mapenzi kupita wanawake

Hii imekaake wakuu?? [emoji848]
 
mmemua kukashifu mama na binti zenu kwa kupodtosha Biblia?
 
Mtu na yesu na wafuasi wake wamfuatao Mungu na kushika sheria kikamikilifu

While mashetani NI wanamuunga mkono ibilisi yaani ujinga na kwa kukosa Imani wametupwa na hawatuona Mungu Tena kamwe
 
Kwakua mtu alizaa na ki- mtu basi kila mtu ana gene za ki-mtu hivyo uzao wa mtu na ki-mtu unaendelea.
 
Ulimuona wapii?

Ni kwanini anaitwa Mungu baba?
Biblia imetumia neno Baba na Mfalme kumzungumzia Mungu ila Mungu hana jinsia Yeye sio mwanaume wala sio mwanamke ni roho. Kitu ambacho hujui ni kuwa Roho haina jinsia hata kidogo ndo mana unazuzuka na neno baba. Biblia pia inamzungumzia yesu kama Kaka, kwa kutujumuisha sisi sote kama ndugu zake alipokuwa katika mwili. Pia Biblia inazungumzia kuwa Yesu ni katika ndoa na kanisa, Yeye ni Mume na kanisa ni Mke. .

Ila kufanana na mwanadamu na Mungu ni katikas roho sio katika maumbile ya mwili. Mungu kuitwa baba ni cheo tu ila haipo kwa kuwa ana jinsia anakwenda chooni kama wewe na mimi. Mbinguni kuna chakula ha kushibisha roho ambacho kinakupa ertenity life. Nadhani umenielewa kama hujanielewa siwezi kukueleza zaidi ya hapa. Biblia haisomwi kama genzeti kila kitu kimeandikwa kwa mafumbo ili uweze kutatua hili fumbo ni kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, ndio maana hata Yohana inazungumzia hapo mwanzo kulikuwa na Neno naye neno anatafsiriwa kama Yesu kwa sababu tumefunuliwa kuelewa hilo. .
 
1 Wakorinto 14:34...& 1Tim 2:11-12..!
Hizi pia ni verse/aya/sura chache kati ya nyingi zilizo katika Biblia kuhusu Mwanamke...
Mwanamke akielezwa kama kiumbe dhaifu,kiburudisho,asiye na neno/uhuru/hisia,kahaba,msaliti,uwezo mdogo kichwani n.k...Biblia inaunyanyapaa na makandimizo kwa wanawake,haifai.

WOE TO THE WOMEN THE BIBLE TELL ME SO.
 
Kwa hiyo huyo mwanamke aliyeumbwa na mungu siyo huyu hawa tunaeambiwa? . Maana hawa ametokana na sehemu ya meili wa adam
 
Astaghfirullah!! Umejitahidi kuandika as per your understanding ila hitimisho lako ni baya sana. Tubu kwa mola wako na usikate tamaa kwenye tova hata ujihakikishie kuingia motoni.
 
Unazungumzia Mwanamke au unazungumzia Eva.
 
umejitahidi sana kumjibu huyo ndugu,ila umeuwasha moto ambao huwezi kuuzima,kusema kulikuwa na watu kabla ya adam,na kaini hakuoa dadake,bali alioa hayo majitu,,hii mada ngumu sana..
 
umejitahidi sana kumjibu huyo ndugu,ila umeuwasha moto ambao huwezi kuuzima,kusema kulikuwa na watu kabla ya adam,na kaini hakuoa dadake,bali alioa hayo majitu,,hii mada ngumu sana..
Ni kweli unachosema na mimi sina nguvu za kuelezea watu maana kutype ni kazi sana. Ila nimejaribu kuwawekea link ya mtu mwenye idea kidogo kama yangu waone People before Adam | Thinkers Bible Studies. Ila iko siku nitafungulia uzi hili jambo. .
 

Mnapoandika vitu muwe mmesoma na kujipa maarifa ya kutosha.

Mtu = Mwanaume + Mwanamke kwa ujumla wao

Usilinganishe kati ya mtu na mwanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…