Mwanamke siyo mtu kwa mujibu wa Biblia

Bado hilo andiko halithibitishi kauli yako kuwa "mwanamke si mtu"

Ukiweza thibitisha mwanamke si mtu, unijibu pia mwandishi mwanamke ni nani.?
 
Mwanamke ni kopo tu
 
Lakini kumbuka huyo ambaye unamuita sio MTU ndio kakuzaa na kukulea mpaka ulipojitambua[emoji848][emoji2827]
 
Basi, Mungu akaumba mtu kwa mfano wake; naam, kwa mfano wake Mungu alimuumba. Aliwaumba mwanamume na mwanamke.[emoji1545]
 
Basi, Mungu akaumba mtu kwa mfano wake; naam, kwa mfano wake Mungu alimuumba. Aliwaumba mwanamume na mwanamke.[emoji1545]
Tatizo kubwa la watu wanashindwa kuelewa maana ya maneno kwenye Bible, ujue huu ujumbe umebeba maana kubwa sana. Kitu kingine watu wanafikiria kuwa uumbaji ulifanyika siku moja ila ulikuwa wa miaka mingi hususani wasomi wanaposema miaka elfu 1 ni siku moja kwa Mungu. .
 
Hata zama za mitume na na manabii ilikuwa ikipita sensa wanahesabu vichwa vya wanaume tu... Hivyo kwenye Bible ukisikia inatajwa idadi ya watu ujue hao walikuwa ni wanaume tu
Mama yake yesu hakutajwa kwenye biblia au yule mschana aliyemfuta yesu miguu na machozi yake?

Tukumbushane kidogo mkuu
 
Mwanzo 1:27
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
 

Adamu hakuzidiwa ujanja Ila aliamua kumuasi Mungu makusudically.
Ilikuwa time ya kuchagua moja Kati ya Mkewe au Mungu. Adamu akachagua Mke.

Kuhusu Mwanamke sio mtu nakubaliana na wewe, Ila alitwaliwa kutoka Kwa Mtu
 
watu wanafikiria kuwa uumbaji ulifanyika siku moja ila ulikuwa wa miaka mingi hususani wasomi wanaposema miaka elfu 1 ni siku moja kwa Mungu. .
Big no!! ume-over look!!…….unapaswa kujua mwandishi anamaanisha nini? na uijue vyema Lugha ya ki-Biblia Takatifu, Na ujue fika kuwa Biblia huwezi isoma kama kitabu cha Hadithi/hekaya

eti bila kutanguliza Maombi kwanza, ukifanya ivo unatwanga maji kwa kinu, sasa sikia wenye uelewa wa Roho Mtakatifu tukupe maneno ….aliposema……...

''Miaka Elfu moja kwa- (Mungu)……..ni sawa sawa na siku moja kwa -(Mwanadamu!!)……...na uumbaji ulipo fanyika hakusema kwamba anafanya uumbaji ule kwa siku zake za Mbinguni!!!

Bali alifanya kwa siku za kibinadamu ili uelewe wewe uliye na usiye Mtoto wake!!! msimlishe Mungu maneno bure ni hatari kwako! Hili neno ''kwa'' ndo linawasumbua wengi,

Yaani mnaosoma soma tu! maandiko km novel! na bila Maombi! wala kumkaribisha maongozi ya Roho Mtakatifu ........utakuwa kizazi kingine kabisaa!

Narudia tena msimlishe Mungu Maneno!! na tubuni kabla sijawapa adhabu ambayo hamta isahau au kuzimu imekutuma kijana?!
 
Miaka Elfu moja kwa- (Mungu)……..ni sawa sawa na siku moja kwa -(Mwanadamu!!)……...na uumbaji ulipo fanyika hakusema kwamba anafanya uumbaji ule kwa siku zake za Mbinguni!!!
Roho mtakatifu kakushauri useme hivi unajua ulichokizungumza
🤣 🤣 🤣 Nenda kasome 2 Petro 3:8
Mie nina cheti cha Bible knowledge mbali na kuwa msomaji wa Biblia pia na connect dots za Biblia kwa mfano: Safari za Paulo huwa naangalia alipopitia na geography ya dunia si safari alizopota ziko duniani?

Hoja ambayo nasoma Bible kama Novel ni ya kwako. Ila huu uzi upo kwa kuelimishana na sio kubishana ningekuelimisha ila ni ngumu mtu kuja kutaka kujifunza na kutaka kubishana. Tufanye hapo umeshinda wewe 😄
 
Mwanzo 1:27
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Soma huo mstari wa kwanza kwamba MUNGU akaumba mtu. Na sio watu? Ni kweli mwanamke aliumbwa na MUNGU lakini sio mtu. Mtu aliyeumbwa hapo ni mmoja nae ni Adam.

Hakuna sehem inayosema Mungu aliumb watu
 
Soma huo mstari wa kwanza kwamba MUNGU akaumba mtu. Na sio watu? Ni kweli mwanamke aliumbwa na MUNGU lakini sio mtu. Mtu aliyeumbwa hapo ni mmoja nae ni Adam.

Hakuna sehem inayosema Mungu aliumb watu
Lengo lako ni nini hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…