Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Nifah wewe ni Allien...au unaandika hivi Kwa vile kaka mzuri anasomaaaa🙄🙄🙄🙄🙄sema kweli hupendi Hela na kufika kibo?
My dear, hukuzingatia mwanzo niliposema watu hatufanani?

Sina cha kudanganya as ananijua kuliko ninavyoandika hapa. Hakuna asiyependa hela ila sio kuweka katika vigezo.
 
Kwanini isiwezekane?

Tatizo kubwa la vijana ni *lishe duni na *ubishoo.

Kama mtu ni bishoo hawezi kupata hela.

Na kama hana hela hawezi kula vizuri.

Na pia iwapo akili hana basi hajui ale nini ili amudu kufanya mapenzi kwa ufanisi.
Watanzania hawaamini Hilo...wanajua ukiwa na Hela lazima uwe mlemavu wa viungo vya uzazi,na ukiwa na nguvu kwenye viungo vya uzazi lazima uwe maskini
 
Mtafika Mbinguni hoiii
 
🤣🤣🤣Eti samahani mume wangu....halafu akimaliza na yeye anasema samahani mke wangu Kuna mchongo nakusikiliza,una buku hapo?
Hapana akimaliza anaulizwa "vipi, mbona ulikuwa unaomba msamaha"?
"utasikia aaagh yani ukichonifanyiaaaa mmmmmhhh!"

Basi hapo kidume kinajiandaa kisha kinaacha hela ya matumizi mezani, kisha busu la komwe na kuaga.
 
Mi sijasema nataka kibabu Cha kunipa Hela mkuu umenisoma vibaya,nimesema ukipata wa kukupa vyote?kwani wenye Hela ni vibabu tu?hakuna vijana wenye Hela?
 
Hapana akimaliza anaulizwa "vipi, mbona ulikuwa unaomba msamaha"?
"utasikia aaagh yani ukichonifanyiaaaa mmmmmhhh!"

Basi hapo kidume kinajiandaa kisha kinaacha hela ya matumizi mezani, kisha busu la komwe na kuaga.
Daah huyo ndio mwenyewe Sasa,,hapo ni mwendo wa kuwa nae bampa to bampa😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…