Mwanamke ukimuendekeza atakupanda kichwani. Mke wa jamaa yangu kafuga msitu hataki kunyoa, eti hadi apewe laki akanyolewe kwa Wahindi

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Leo rafiki yangu wa tangu tukiwa watoto alinipigia simu kwamba anataka tuangalie mpira pamoja na ana jambo ambalo anataka nimshauri, hivyo basi nitafute sehemu nzuri tulivu ili tuwe tunaangalia mpira na kuongea.

Basi nikamwelekeza sehemu jirani na nyumbani, pametulia sana. Tukawa tunaangalia Yanga wakufanya yao, ndipo akaanza kupasuka.

Mke wake ana mavuzi marefu lakini hataki kuyanyoa hadi apewe laki aende kwenye saluni gani huko Upanga ya Wahindi ndio huwa wananyolewa.

Nikapigwa na butwaa, yaani uvuzi hadi saluni? Tena kunyolewa kwa laki?

Akaniambia mara kwa mara mke wake huwa anajigharamikia kwa huduma hiyo, ila sasa kahamishwa kitengo kazini hamna hela ya kuchezea.

Jamaa yangu ni mwalimu wa shule ya msingi serikalini, mshahara mdogo.

Basi sasa jamaa unyumba hapati kwani anakinyaa sana kwenye vuzi. Na mķe hataki anyolewe na mumewe
Chai
 
Najisikia kichefuchefu,hivi akiwa kwenye hedhi inakuwaje???
 
Calcium bicarbonate, also called calcium hydrogencarbonate, has the chemical formula Ca(HCO3)2. The term does not refer to a known solid compound; it exists only in aqueous solution containing calcium (Ca2+), bicarbonate (HCO−
3), and carbonate (CO2−
3) ions, together with dissolved carbon dioxide (CO2). The relative concentrations of these carbon-containing species depend on the pH; bicarbonate predominates within the range 6.3

6–10.25 in fresh water
Hii nchi ambao hatujasoma bila katibampya manyanyaso yatazidi
 
mwambie anipe hio laki ninunue kiwembe cha 100 niparure kipara
nigeuke Shangingi nimfungie kwangu siku3
Halafu akirudi kwake atakuta mkewe kanyoa safi!
 
Wanaume hua hawaongei Mambo ya ndani ya wake zao.
Usha wahi kusikia mtu akikwambia mke wake Yuko kwenye siku zake?
Huyo jamaa yako hajaoa.
 
Back
Top Bottom