Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Imetokea somewhere jijini Dar es salaam, mwanamama mmoja in her 50s,mumewe kapatwa stroke. Mmama ana ana uwezo mkubwa tu which means kwamba anao uwezo wa kumuhangaikia mumewe apate tiba arudi kuwa Sawa lakini kamuacha mumewe kitandani anapigwa na vi benten.
What about u mwanamke? Wewe utamuacha mumeo au utamuhangaikia apone. Utajizuia hadi apone? Kiapo cha ndoa ni shida na raha.
What about u mwanamke? Wewe utamuacha mumeo au utamuhangaikia apone. Utajizuia hadi apone? Kiapo cha ndoa ni shida na raha.