Mwanamke ulie kwenye ndoa, mumeo akipatwa na tatizo la nguvu za kiume, ukiwa na uwezo wa kumtibu utamuhangaikia ama ukamuacha ateseke?

Haya mambo siyo miujiza watu watengeneze wakiwa na nguvu. Halafu stroke inaanzia mbali mpaka ikishajidhihirsha sio rahisi kupona na hivo matibabu ya hapa na pale.
 
Wakati mwingine ninyi wanaume ndio tatizo Mimi kwenye ndoa yangu ya kwanza mume wangu alipatwa na tatizo la ukhanithi. Tatizo lilianza taratibu baadae akawa khanithi kabisa. Nikawa pamoja nae nikahangaika nae sana baadae nikaelekezwa mahali nikampeleka akapona kabisa tena akawa mara dufu ya alivyo kuwa zamani. Asianze kutembea na hadi rafiki zangu. Akawa kidume yeye jogoo yeye beberu yeye . Nikaona ataniletea magonjwa huyu nikaomba talaka sipo nae toka 2017 na hadi sasa nasikia hayo ndio maisha yake ya kujifanya mwakitombile. Mpaka najuta kwanini nilimpeleka kutibiwa tena kwa kutumia hela yangu ndogo ninayo ipata kwa tabu. So huyo mwanamke asilaumiwe sana
 
Wanadamu mnapenda sana ku judge na kuyajua maisha ya wengine kuliko wanvojijua, wakati Prof Jay akiumwa mkewe aliigiza mumewe yuko ICU maneno aliyorushiwa bila kujua magumu anayopitia na mapenzi aliyonayo kwa mumewe sijui huwa mnataka mtu akifanya jambo awe anawareportia mjue leo nimefanya hiki, leo nimemuogesha mume wangu,

ilivokuja postiwa ile clip akiwa na hali mbaya kuliko wakiwa na mkewe woooote watz waligeuka kumpa hongera wakasahau walivomshutumu kwa kumwacha mumewe mahututi, ni kama hii ya kwako, ni sawa mumewe anaumwa anatakiwa kumhudumia kwaivo ukimuona nje tu anatabasamu usha judge kamuacha mumewe hamuhudumii.

Jifunzeni kufanya yenu msipende kuhukumu mambo ya ndani ya mtu msiyoyajua. Kwanza unaongelea tatizo la nguvu za kiume ama stroke
Hujaelewa hoja
 
Duh
 
Laana tupu.

Ndiyo wakaona wapunguze ukali wa maneno waite ”mshangazi sijui mishangazi” huku mabinti wakiitwa “watoto wa 2000s”,hili jambo halina afya kabisa kimaadili kwa sababu serikali imelala kwa kuacha baadhi ya miziki ipenyeze kwenye jamii maneno fulani fulani yanayohamasisha ngono vijana kwa wamama watu wazima na mabinti kwa wazee watu wazima.
100% Fact
 
Wanadamu mnapenda sana ku judge na kuyajua maisha ya wengine kuliko wanvojijua, wakati Prof Jay akiumwa mkewe aliigiza mumewe yuko ICU maneno aliyorushiwa bila kujua magumu anayopitia na mapenzi aliyonayo kwa mumewe sijui huwa mnataka mtu akifanya jambo awe anawareportia mjue leo nimefanya hiki, leo nimemuogesha mume wangu,

ilivokuja postiwa ile clip akiwa na hali mbaya kuliko wakiwa na mkewe woooote watz waligeuka kumpa hongera wakasahau walivomshutumu kwa kumwacha mumewe mahututi, ni kama hii ya kwako, ni sawa mumewe anaumwa anatakiwa kumhudumia kwaivo ukimuona nje tu anatabasamu usha judge kamuacha mumewe hamuhudumii.

Jifunzeni kufanya yenu msipende kuhukumu mambo ya ndani ya mtu msiyoyajua. Kwanza unaongelea tatizo la nguvu za kiume ama stroke
Sio kumuona nje akitabasamu acha kutetea umalaya kenge wewe.... Amesema anapigwa na vibenten .....
 
Wakati mwingine ninyi wanaume ndio tatizo Mimi kwenye ndoa yangu ya kwanza mume wangu alipatwa na tatizo la ukhanithi. Tatizo lilianza taratibu baadae akawa khanithi kabisa. Nikawa pamoja nae nikahangaika nae sana baadae nikaelekezwa mahali nikampeleka akapona kabisa tena akawa mara dufu ya alivyo kuwa zamani. Asianze kutembea na hadi rafiki zangu. Akawa kidume yeye jogoo yeye beberu yeye . Nikaona ataniletea magonjwa huyu nikaomba talaka sipo nae toka 2017 na hadi sasa nasikia hayo ndio maisha yake ya kujifanya mwakitombile. Mpaka najuta kwanini nilimpeleka kutibiwa tena kwa kutumia hela yangu ndogo ninayo ipata kwa tabu. So huyo mwanamke asilaumiwe sana
Mwakitombile ha ha.
 
Ni vile tunaishi kwenye dunia iliyojaa laana but mwanamke wa miaka 50 kuvuliwa chupi randomly na vijana masela mtaani huku ana watoto umri wa wanaomvua nguo siyo jambo zuri hata kidogo.

Kinamama wa zamani walijua kujiheshimu,mama yangu aliachwa mjane aged 28 mwaka 1986 but leo nazeeka siijui scandal yake yoyote hata kwa kuhisi but mama wa leo mume anazikwa mwaka kesho ana mtoto mwaka unaofuata ana mtoto yaani hawajiheshimu kabisa.
Kabisa wanatamaa sana ya vitu wanawake wa sasa,hawajali umri wao,,maadili hakuna siku hizi,inasikitisha sana kwa kweli,kizazi cha kinateketea kabisa,we fikiria kijana wa miaka 20,anajirusha na jimama la miaka 60,hivi uyu kijana ataoa kweli ili nae awe na familia yake?!!,,yarabbi twakuomba ujaalie kizazi hiki kijitambue,ili kijinasue katika janga hili.
 
Miaka 50 ana uzee gani wa kukosa hamu ya tendo, tena wengine hata hedhi haijakoma, mimba nje nje 🤣🤣🤣, kama ni kweli anafanya hayo muacheni umri wake sahihi ukifika atatulia.... huyo mzee unajua na yeye aliitembezaje na mkewe alikua anamvumilia, malipo ni hapa hapa
 
Punguzeni spana
 
😁😁
Tuseme ukweli tu, 50? 😁
Kama ni mzazi wangu namchana live.
Subiri ufike 50 ndio utajua age is just a number. Labda km unakunywa visungura na gongo hata 35 tu inakutosha kuwa babu/ bibi kizee. Acha watu waishi to the fullest.

Na ujue kuwa...wengine wanzeeka nje, wengine qanazeeka ndani na wengine wanazeeka nje na ndani.
 
Sawa mkuu.
 
Aisee kua mwanaume ni automatic war zone, inabidi uwe na nguvu za kiume, kibunda, kausafiri, akili, ukakamavu e.t.c ndo mana sku hz hutongozi dem yanajitongozesha menyewe too desperate.

50yrs ajuza hujarizika tu mishenyeto? ulafi huo
 
Imetokea somewhere jijini Dar es salaam, mwanamama mmoja in her 50s,mumewe kapatwa stroke. Mmama ana ana uwezo mkubwa tu which means kwamba anao uwezo wa kumuhangaikia mumewe apate tiba arudi kuwa Sawa lakini kamuacha mumewe kitandani anapigwa na vi benten.

What about u mwanamke? Wewe utamuacha mumeo au utamuhangaikia apone. Utajizuia hadi apone? Kiapo cha ndoa ni shida na raha.
Unaweza ukaona hivyo kwako lakini akiwa nje anapeleka moto hadi raha jaman
 
Mimi nikishindwa kupata mtoto haina ubishi ataenda kuzaa nje.
So atajua mwenyewe kiukweli..
 
Back
Top Bottom