Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Jino kwa jino siyo😀Itategemea na jinsi alivyonitreat pindi akiwa mzima,, 😂
Hawa watu kuna ambao huwafanyia vibaya sana wenzao pindi wakiwa wazima na afya tele.. hayo mambo ya kuwa wote kwny shida na raha inakua kigezo kichungu sana, wakijapata shida wanataka kuwa treated well kwa kigezo icho icho😂..Jino kwa jino siyo😀
Miaka 50 bado anahangaika na wanaume!!!Imetokea somewhere jijini Dar es salaam, mwanamama mmoja in her 50s,mumewe kapatwa stroke. Mmama ana ana uwezo mkubwa tu which means kwamba anao uwezo wa kumuhangaikia mumewe apate tiba arudi kuwa Sawa lakini kamuacha mumewe kitandani anapigwa na vi benten.
What about u mwanamke? Wewe utamuacha mumeo au utamuhangaikia apone. Utajizuia hadi apone? Kiapo cha ndoa ni shida na raha.
Kwamba malipo izi hia hia🤣🤣🤣Itategemea na jinsi alivyonitreat pindi akiwa mzima,, 😂
Heeeh jamani!! Muacheni mama wa watu aenjoy.Miaka 50 bado anahangaika na wanaume!!!
Angeumalizia uzee wake kwa kumlea mumewe na watoto.
😁😁Heeeh jamani!! Muacheni mama wa watu aenjoy.
Mwaloko hiii😃😃Itategemea na jinsi alivyonitreat pindi akiwa mzima,, 😂
MwigotereKwamba malipo izi hia hia🤣🤣🤣
Bado sanaaaaa.😁😁
Tuseme ukweli tu, 50? 😁
Kama ni mzazi wangu namchana live.
Yanatufunza mengi.Maisha
Ni vile tunaishi kwenye dunia iliyojaa laana but mwanamke wa miaka 50 kuvuliwa chupi randomly na vijana masela mtaani huku ana watoto umri wa wanaomvua nguo siyo jambo zuri hata kidogo.Heeeh jamani!! Muacheni mama wa watu aenjoy.
ii changamoto mshua so poa.....Yanatufunza mengi.
Kilichoandikwa hapa tukiweke akilini kama bado tunapumua hii situation muda wowote popote mtu anakutana nayo Mungu atulinde.
Social networks.... Wazee wa miaka 60 wanatafuta vibinti vya elf 2 vya kwenda navyo taratibu na vijawa wanatafuta mashangazi ya kwendanayo.. 😂Ni vile tunaishi kwenye dunia iliyojaa laana but mwanamke wa miaka 50 kuvuliwa chupi randomly na vijana masela mtaani huku ana watoto umri wa wanaomvua nguo siyo jambo zuri hata kidogo.
Kinamama wa zamani walijua kujiheshimu,mama yangu aliachwa mjane aged 28 mwaka 1986 but leo nazeeka siijui scandal yake yoyote hata kwa kuhisi but mama wa leo mume anazikwa mwaka kesho ana mtoto mwaka unaofuata ana mtoto yaani hawajiheshimu kabisa.
Laana tupu.Social networks.... Wazee wa miaka 60 wanatafuta vibinti vya elf 2 vya kwenda navyo taratibu na vijawa wanatafuta mashangazi ya kwendanayo.. 😂
Mama zetu Mungu awabariki sana. Mimi maishani mwangu sijawahi sikia skendo ya mama hata mara moja.Ni vile tunaishi kwenye dunia iliyojaa laana but mwanamke wa miaka 50 kuvuliwa chupi randomly na vijana masela mtaani huku ana watoto umri wa wanaomvua nguo siyo jambo zuri hata kidogo.
Kinamama wa zamani walijua kujiheshimu,mama yangu aliachwa mjane aged 28 mwaka 1986 but leo nazeeka siijui scandal yake yoyote hata kwa kuhisi but mama wa leo mume anazikwa mwaka kesho ana mtoto mwaka unaofuata ana mtoto yaani hawajiheshimu kabisa.
Upo sahihi kabisa mkuu🙏🏽Laana tupu.
Ndiyo wakaona wapunguze ukali wa maneno waite ”mshangazi sijui mishangazi” huku mabinti wakiitwa “watoto wa 2000s”,hili jambo halina afya kabisa kimaadili kwa sababu serikali imelala kwa kuacha baadhi ya miziki ipenyeze kwenye jamii maneno fulani fulani yanayohamasisha ngono vijana kwa wamama watu wazima na mabinti kwa wazee watu wazima.