Mwanamke ulie kwenye ndoa, mumeo akipatwa na tatizo la nguvu za kiume, ukiwa na uwezo wa kumtibu utamuhangaikia ama ukamuacha ateseke?

Haya mambo siyo miujiza watu watengeneze wakiwa na nguvu. Halafu stroke inaanzia mbali mpaka ikishajidhihirsha sio rahisi kupona na hivo matibabu ya hapa na pale.
 
Wakati mwingine ninyi wanaume ndio tatizo Mimi kwenye ndoa yangu ya kwanza mume wangu alipatwa na tatizo la ukhanithi. Tatizo lilianza taratibu baadae akawa khanithi kabisa. Nikawa pamoja nae nikahangaika nae sana baadae nikaelekezwa mahali nikampeleka akapona kabisa tena akawa mara dufu ya alivyo kuwa zamani. Asianze kutembea na hadi rafiki zangu. Akawa kidume yeye jogoo yeye beberu yeye . Nikaona ataniletea magonjwa huyu nikaomba talaka sipo nae toka 2017 na hadi sasa nasikia hayo ndio maisha yake ya kujifanya mwakitombile. Mpaka najuta kwanini nilimpeleka kutibiwa tena kwa kutumia hela yangu ndogo ninayo ipata kwa tabu. So huyo mwanamke asilaumiwe sana
 
Hujaelewa hoja
 
Duh
 
100% Fact
 
Sio kumuona nje akitabasamu acha kutetea umalaya kenge wewe.... Amesema anapigwa na vibenten .....
 
Mwakitombile ha ha.
 
Kabisa wanatamaa sana ya vitu wanawake wa sasa,hawajali umri wao,,maadili hakuna siku hizi,inasikitisha sana kwa kweli,kizazi cha kinateketea kabisa,we fikiria kijana wa miaka 20,anajirusha na jimama la miaka 60,hivi uyu kijana ataoa kweli ili nae awe na familia yake?!!,,yarabbi twakuomba ujaalie kizazi hiki kijitambue,ili kijinasue katika janga hili.
 
Miaka 50 ana uzee gani wa kukosa hamu ya tendo, tena wengine hata hedhi haijakoma, mimba nje nje 🀣🀣🀣, kama ni kweli anafanya hayo muacheni umri wake sahihi ukifika atatulia.... huyo mzee unajua na yeye aliitembezaje na mkewe alikua anamvumilia, malipo ni hapa hapa
 
Punguzeni spana
 
😁😁
Tuseme ukweli tu, 50? 😁
Kama ni mzazi wangu namchana live.
Subiri ufike 50 ndio utajua age is just a number. Labda km unakunywa visungura na gongo hata 35 tu inakutosha kuwa babu/ bibi kizee. Acha watu waishi to the fullest.

Na ujue kuwa...wengine wanzeeka nje, wengine qanazeeka ndani na wengine wanazeeka nje na ndani.
 
Sawa mkuu.
 
Aisee kua mwanaume ni automatic war zone, inabidi uwe na nguvu za kiume, kibunda, kausafiri, akili, ukakamavu e.t.c ndo mana sku hz hutongozi dem yanajitongozesha menyewe too desperate.

50yrs ajuza hujarizika tu mishenyeto? ulafi huo
 
Unaweza ukaona hivyo kwako lakini akiwa nje anapeleka moto hadi raha jaman
 
Mimi nikishindwa kupata mtoto haina ubishi ataenda kuzaa nje.
So atajua mwenyewe kiukweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…