Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Kukazwa mpaka maji niite mma love!!😛🤭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukazwa mpaka maji niite mma love!!😛🤭
Kama kwenye avatar ni wewe I love chi ghafula afu hom kuna jeep LA 2045 hata silitumii naomba nikupe kama zawad mana niliambiwa nimpe nitaempenda akitokea I m serious I nakupenda sana saaana nikubali ukinikataa hata mungu atakuchukia mana tumeambiwa mpende jiran ako usisahau jeep new model ninaloSasa asipojikwamua kiuchumi itakuaje ikitokea wewe haupo tena, ikitokea umepata maradhi ya kudumu na yakakukalisha,itakuaje ikitokea umefariki ?
Hivyo ni lazima ajifunze kujitafutia
Nakupenda pia 😂😋Wanaume wapare,waha na watanga huwa wabinafsi hawadumii wapenzi wao utasikia tu umependeza babe,
Wanaume wote wanatokea Kanda ya ziwa hawa ndo wanaume
WANAUME WOTE MNAO TOKEA KANDA YA ZIWAAAAAA NAWASALIMIAAA SALAMA ALEKO,MNAPENDWA NA MIMI
WEWE ni mpare bhana tokaaaaNakupenda pia 😂😋
I love you too mpenzi wangu ♥️ nimepewa weweKama kwenye avatar ni wewe I love chi ghafula afu hom kuna jeep LA 2045 hata silitumii naomba nikupe kama zawad mana niliambiwa nimpe nitaempenda akitokea I m serious I nakupenda sana saaana nikubali ukinikataa hata mungu atakuchukia mana tumeambiwa mpende jiran ako usisahau jeep new model ninalo
Acha ubaguzi....WEWE ni mpare bhana tokaaaa
Nimeghairi ila kwa sababu tofautiKwahyo sasahv HAUNA mpango huo ?
Hawataki uhustle, lazima walete vikwazo usifanikiwe. Hakupi pesa ya kila kitu na siku akikupa masimango hayaishi
Kwahyo utatafuta mwanamke mwingine wa kumuoa ?Nimeghairi ila kwa sababu tofauti
Kwahyo utatafuta mwanamke mwingine wa kumuoa??Nimeghairi ila kwa sababu tofauti
Alafu hela yetu ya vicoba atalipajeMi msimamo wangu sitaki mke wangu afanye kazi...
Yoyote ile 🙌🙌🙌
🤣🤣Kwenye maisha kuna kitu kinaitwa "Boredom"
Binadamu huwa wanahitaji msikosuko/changamoto za hapa na pale
Akipata kila kitu baada ya mda anakua Bored
Ila huyo wako ana jambo lake baada ya mda atakupiga na chenye ncha kali usisahau kuja tukupe ushauri
Trust your spirit.
Na vicoba sitaki afanye huo utumboAlafu hela yetu ya vicoba atalipaje
Kemeaaaa pepo tokaaaaNa vicoba sitaki afanye huo utumbo
Nimecancel kabisa huo mpango kwa sasa.Kwahyo utatafuta mwanamke mwingine wa kumuoa??
Ooh okay.Nimecancel kabisa huo mpango kwa sasa.
"I'll marry when i want"
Bila mkuyenge barabara haelewi.Pole kama hauko sawa, Mungu akufanyie wepesi.
Moja kwa moja kwenye mada
Binafsi nina mchumba wangu namhudumia kila kitu ambacho mwanamke yeyote aliyekamilika ataitaji pamoja na kuwa ni mwajiriwa sekta binafsi.
kiufupi Madem zangu wengine nawatesa kwa kutowazingatia sana kwa sababu ya huyu main maana nilikua nampango wa kumuoa mwakani, ndugu zake wananifahamu ingawa sijaenda kujitambulisha rasmi.
Mara nyingi tukikutana au tukiwa tunaongea kwenye simu mada zake nyingi ni za jinsi ya yeye kujikwamua kiuchumi hali iliyopelekea hivi karibuni nimsaidie mtaji wa kuanza kilimo cha mahindi huko mkoani kitu ambacho nilikipinga sana sababu nimewahi kuinvest kwenye kilimo nikaambulia hasara kubwa sana ila alinishinikiza nikasema isiwe kesi, pesa makaratasi.
Sasa leo nimekaa nafikiria apa nikawa najiuliza ivi inakuaje mwanamke unaehudumiwa kila kitu na mumeo/mpenzi wako kuanza kuhangaika na hustles za kujitaftia hela, what for?
Dada umeolewa, hamna kitu utamwambia Baba Gee asikutimizie ila bado unahangaika na pesa za Michezo, vikoba na mikopo ya kausha damu, come on.!!
View attachment 2993140