mwanamke unahitaji nini kingine ikiwa unahudumiwa kila kitu na mpenzi wako kuanzia chakula, malazi hadi mavazi?

mwanamke unahitaji nini kingine ikiwa unahudumiwa kila kitu na mpenzi wako kuanzia chakula, malazi hadi mavazi?

Sasa asipojikwamua kiuchumi itakuaje ikitokea wewe haupo tena, ikitokea umepata maradhi ya kudumu na yakakukalisha,itakuaje ikitokea umefariki ?

Hivyo ni lazima ajifunze kujitafutia
Kama kwenye avatar ni wewe I love chi ghafula afu hom kuna jeep LA 2045 hata silitumii naomba nikupe kama zawad mana niliambiwa nimpe nitaempenda akitokea I m serious I nakupenda sana saaana nikubali ukinikataa hata mungu atakuchukia mana tumeambiwa mpende jiran ako usisahau jeep new model ninalo
 
Wanaume wapare,waha na watanga huwa wabinafsi hawadumii wapenzi wao utasikia tu umependeza babe,

Wanaume wote wanatokea Kanda ya ziwa hawa ndo wanaume

WANAUME WOTE MNAO TOKEA KANDA YA ZIWAAAAAA NAWASALIMIAAA SALAMA ALEKO,MNAPENDWA NA MIMI
Nakupenda pia 😂😋
 
Kama kwenye avatar ni wewe I love chi ghafula afu hom kuna jeep LA 2045 hata silitumii naomba nikupe kama zawad mana niliambiwa nimpe nitaempenda akitokea I m serious I nakupenda sana saaana nikubali ukinikataa hata mungu atakuchukia mana tumeambiwa mpende jiran ako usisahau jeep new model ninalo
I love you too mpenzi wangu ♥️ nimepewa wewe
 
Kwenye maisha kuna kitu kinaitwa "Boredom"
Binadamu huwa wanahitaji msikosuko/changamoto za hapa na pale
Akipata kila kitu baada ya mda anakua Bored


Ila huyo wako ana jambo lake baada ya mda atakupiga na chenye ncha kali usisahau kuja tukupe ushauri
Trust your spirit.
🤣🤣
 
Inasadikika upendo wa kweli ni kujari,. Kabla pingu za ndoa hazijakufunga jiulize mkeo angekuwa na wewe kama ungelikuwa chini.. Poor Brain
 
Pole kama hauko sawa, Mungu akufanyie wepesi.

Moja kwa moja kwenye mada

Binafsi nina mchumba wangu namhudumia kila kitu ambacho mwanamke yeyote aliyekamilika ataitaji pamoja na kuwa ni mwajiriwa sekta binafsi.
kiufupi Madem zangu wengine nawatesa kwa kutowazingatia sana kwa sababu ya huyu main maana nilikua nampango wa kumuoa mwakani, ndugu zake wananifahamu ingawa sijaenda kujitambulisha rasmi.

Mara nyingi tukikutana au tukiwa tunaongea kwenye simu mada zake nyingi ni za jinsi ya yeye kujikwamua kiuchumi hali iliyopelekea hivi karibuni nimsaidie mtaji wa kuanza kilimo cha mahindi huko mkoani kitu ambacho nilikipinga sana sababu nimewahi kuinvest kwenye kilimo nikaambulia hasara kubwa sana ila alinishinikiza nikasema isiwe kesi, pesa makaratasi.

Sasa leo nimekaa nafikiria apa nikawa najiuliza ivi inakuaje mwanamke unaehudumiwa kila kitu na mumeo/mpenzi wako kuanza kuhangaika na hustles za kujitaftia hela, what for?

Dada umeolewa, hamna kitu utamwambia Baba Gee asikutimizie ila bado unahangaika na pesa za Michezo, vikoba na mikopo ya kausha damu, come on.!!

View attachment 2993140
Bila mkuyenge barabara haelewi.
 
Back
Top Bottom