😂😂😂😂 kuna ukweli hapa 😂😂😂Chunguza hizo couple,zimejaa majuto hamna la zaidi...kwanza hawaaminiani.....yaani huwezi kumuacha mkeo na rafiki yako uende chooni kwa amani,au huwezi muacha mumeo na rafiki yako uende chooni kwa amani unakuwa fastafasta maana unajua muda wowote meza inapinduliwa si unajua Tena Jasiri haachi asili.......
Matokeo yake mkioana no outing ni kuzaa tu na kulea
Shemeji,si umetoka likizo juzi juzi😝😝😝Ni dada huyo angalia hata mwandiko wake! Ni kama wale mademu shombeshombe halafu ni lesbian 🤗🤗
Nakupendaga una kichwa chepesi😁😁😁😂😂😂😂 kuna ukweli hapa 😂😂😂
😂😂😂 Clepatina amenitelekeza kisa nimechagua robot awe mke mwenza😂😂😂Shemeji,si umetoka likizo juzi juzi😝😝😝
Huu Tena ushakuwa mtihani...
Weeh! 😂😂😂 nakuelewa sana shemeji😂😂😂Nakupendaga una kichwa chepesi😁😁😁
Upi tena😂😂😂 kwamba ulinipiga kibuti 😂😂😂Si bora ingekua roboth😭.
Mwambie ukweli
Kabisa, sielewi shida yake nin IamBrianLeeSnrMkuu, hebu mtake ladhi Surya
AaahKama unajiongeza then hapo hakuna tatizo. Sisi tusichotaka ni hiki kizazi cha pangu pakavu tia mchuzi, chuma ulete na matonya.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Hata mi nasubiri langu🤣Upi tena😂😂😂 kwamba ulinipiga kibuti 😂😂😂
Nimeshapoa nasuburi robot langu😂😂😂😂
Hebu kula dedication ya wimbo wa Shem kama shem toka kwa mabantu.Weeh! 😂😂😂 nakuelewa sana shemeji😂😂😂
Mbona ghafla Sana?🤣Hata mi nasubiri langu🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Mbona ghafla Sana?🤣
Mzigo gani wewe dada??nyie mbona mnatanguliza mzigo mbele na sio mapenzi ya dhati[emoji23]
Dunia inaenda speed Sana mdogo wangu...ndani ya masaa 24 matukio 48🤣🤣🤣🤣🤣
Pametokea mambo mengi hapa kati tukikutana nitakueleza
If ndoa sio big deal then mbona hampo single as in muishi kama watawa?!
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Aya bhanaIf ndoa sio big deal then mbona hampo single as in muishi kama watawa?!
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app