Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Chunguza hizo couple,zimejaa majuto hamna la zaidi...kwanza hawaaminiani.....yaani huwezi kumuacha mkeo na rafiki yako uende chooni kwa amani,au huwezi muacha mumeo na rafiki yako uende chooni kwa amani unakuwa fastafasta maana unajua muda wowote meza inapinduliwa si unajua Tena Jasiri haachi asili.......
Matokeo yake mkioana no outing ni kuzaa tu na kulea
Matokeo yake mkioana no outing ni kuzaa tu na kulea