Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Sio wanafaidi tumechoka utumwa aisee mm binafsi siwez Tena mvumilia mtu kijinga Yani mwanaume anihudumie na Huwa nasema wazi atimize majukumu yake japo sio too much sabbu najitafutia pia na huwa anasolve mamboyangu ya maana sio wigs au kucha

Unamvumilia mtu weee mwisho wa siku ankuona mpumbavu anakuletea ujinga Kuna wanaume akili hawana aisee Hela Tunaomba na mtoe kiroho safi
Hio pointi ya wewe kuhudumiwa umeiweka kama vile unataka kumkomoa mwanaume Aaliyyah
 
Back
Top Bottom